Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

mambo ya kishenzi ndo huwa mnashadadi hata ukiambiwa uandike juu ya
upotevu wa 1.5T
mauaji holela
kuminywa demokrasia
kutopandishwa madaraja kwa watumishi
ajira kusuasua
uchumi kusinyaa
viongozi kupishana kauli


huwezi fikisha hata aya 2 ila hilo umeshadia kama vile lissu ndo kalileta.

ushoga upo tangu dunia inaumbwa na utakuwepo hadi kiama/mwisho wa dunia hata uupinge vp? ni suala la muda tu
 
Watu waliokwenda kumpiga Risasi Tundu Lisu wanajulika baadhi yao ingawa wachache kati yao ndiyo bado kujulikana, yalikwenda magari mawili toka Dsm vx Toyota na Nissan nyeupe, siku ya Tukio la kushambulia ile vx ilipaki Getini katikati ndani yake akiwemo Le mutuz na Daud Arbaty Bashite na wasiojulikana na kwenye Nissan nyeupe walikuwemo jerry muro, cyprian Musiba wasiojulikana wawili na Heri kisanduku ambaye ndiye aliyempiga Risasi kwa maelekezo ya pupa toka kwa Cyprian musiba ambaye kitaaluma alipata kuwa asikari wa Jwtz miaka ya nyuma kidogo, cctv ziliwaona na picha zao zote zimeonekana vizuri ingawa cctv imefichwa nyumbani kw Bashite.
Aiseee!
Huu ushahidi unafaa kabisa kuelekezwa mahakamani.
Sijajua kwanini haupelekwi kama unavoongelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umaarufu wa kutetea ushoga sio umaarufu kwa watanzania

Hivi ile kauli ya serikali ya Tanzania iliyotolewa na waziri wa mambo ya nchi za nje kumtosa Mkuu wa Mkoa na kampeni yake ya kusaka mashoga ilikuwa ni ya kuunga mkono ushoga? Primitive.
 
Unakumbuka Waziri Mahiga alisemaje kuhusu suala la ushoga Tanzania?
 
Mimi mwenyewe nasubiri kopi aliyotafsiriwa mzee wa magogoni ili niweze kuisoma kila neno na niielewe
 
Kaunga mkono lakini kuna watu hawakuelewa kama kasema ndiyo. Kwas hilo kweli kakamatika! Alitaka kukimbilia la wanafunzi kukatishwa masomo kwa mimba, lakini hoja ilikufa jamaa aliposema anamfahamu mMagufuli ni conservative, hardliner. Wewe Lissu sema yes au NO kwa ushoga kama utapewa uongozi. Kajiuma weeeee! Mwishowe kaukubali. Sijui lengo ni nini? Kuwafurahisha magharibi au kweli anaupenda ushoga.
Nilikuwa najiuliza kitu gani vijana wanampendea Lisu wakati hana lolote la maana alilolofanya zaidi ya kukurupuka na kupayuka...
Jibu nimelipata...
"Kwakuwa anaunga mkono ushoga"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshangaa sana kumuona Lissu akiulizwa swali kuhusu Ushoga na kushindwa kunyoosha maneno kuwa hilo liko kinyume na maadili yakitanzania. Ajabu anasema anafikiri sheria ya kukataza ushoga iko kinyume na katiba. Ni wazi kiongozi huyu wa upinzani ananguvu kubwa ya mabeberu ambao kwa sasa wamekosa pakupitia. Swali ni kwamba je upinzani watanzania umeshindwa kupata nguvu hadi kutafuta kwa mabeberu za ziada?? Au ndo lile neno ukoloni mamboleo linarudi kwenye maisha yetu ya kila siku??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom