Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Mtoa mada na wale wa kufanana
Rudini shule mkasome tena
HARD TALK sio TBC Talk
Read between the lines ndipo
Akili zenu za kuungaunga mnadhani Lissu kaaibishwa
What the guy was looking for nikupata as much information as possible
Someni magazeti ya wazungu kesho ndio mtajua 'What is Hard Talk'
Kelele zenu za kimbuzimbuzi mziache kha!
Kamanda unataka kuniambia wataendelea kumuamini bila ushahidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Intaprenuaaaaa mwingine huyu! Uliza kwanza kabla ya KUKURUPUKA

Wale wataalamu wa kingereza nisaidieni hapa..au Mimi sijaelewa?
Kiukweli anawapa wakati mgumu sana vijana wa chadema.

Wamekimbiana hawajui pa kushika,walikuamini sana na walikupenda sana ila umewakatisha tamaa,najua watajibaraguza ila moyoni mwao umewaumiza sana

Najua mapovu yatawatoka coz hampendi kuambiwa ukweli ila lisu amekosea..ushoga sio tabia ya MTU mweusi...
..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kipindi cha mahojiano HARDtalk cha BBC kurusha hewani nimegundua Watanzania wengi hawaelewi kabisa maudhui ya kipindi kile
Pengine wengi wao ndio mara ya kwanza kukitazama kwa undani au hawajawahi kukitazama kabisa

HARDtalk sio sawa na Marine Hassan kumuhoji Jaffo au Tanzania Daima kumuhoji Mdee, Wala sio sawa na Ayoub Rioba kumuhoji Mkurugenzi wa uwekezaji

HARDtalk ni hardtalk kweli, hakuna leading questions pale, siku zote wanao hojiwa mahojiano huwa against wao na sio vinginevyo
Ikitokea kesho Magufuli ndio anahojiwa hutaamini kwanini jamaa alikua anambana vile Tundu lissu wakati kumbe anajua kila kitu.....that's Hard talk

Tundu Lissu amefanya vizuri sana kupita maelezo pamoja na maswali yale magumu lakini bado ameweza kuyajibu na kufikisha ujumbe aliokusudia kwa dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimetoka na conclusion kuwa the questions were a sort of leading questions. Steven, it is obvious knew all what is happening in tanzania. To me he wanted the very number one victim of what is happening in tanzania to tell it all for himself for the world to listern to first hand information. Therefore he was asking him question that will lead directly to tell the world what is happening so as to confirm them since Steven knows them all already!
 
Baada ya kipindi cha mahojiano HARDtalk cha BBC kurusha hewani nimegundua Watanzania wengi hawaelewi kabisa maudhui ya kipindi kile
Pengine wengi wao ndio mara ya kwanza kukitazama kwa undani au hawajawahi kukitazama kabisa

HARDtalk sio sawa na Marine Hassan kumuhoji Jaffo au Tanzania Daima kumuhoji Mdee, Wala sio sawa na Ayoub Rioba kumuhoji Mkurugenzi wa uwekezaji

HARDtalk ni hardtalk kweli, hakuna leading questions pale, siku zote wanao hojiwa mahojiano huwa against wao na sio vinginevyo
Ikitokea kesho Magufuli ndio anahojiwa hutaamini kwanini jamaa alikua anambana vile Tundu lissu wakati kumbe anajua kila kitu.....that's Hard talk

Tundu Lissu amefanya vizuri sana kupita maelezo pamoja na maswali yale magumu lakini bado ameweza kuyajibu na kufikisha ujumbe aliokusudia kwa dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
Anajua kila kitu ni mtazamo wako.
 
Unatetea nini wewe wakati lissu kavuliwa nguo. Angefanya vizuri vipi wakati kaonekana pale muongo na mpayukaji. Pia kajulishwa dunia inajua utendaji mzuri wa magufuli. Bila shaka hilo lilimvuruga hadi akuulizwa kama je hapendi magufuli kupunguza rushwa? Mtoa posts asifikiri watu wote hawakijui kipindi cha hardtalk.
 
Hapa kuna mmoja aliwahi kuulizwa na pascal kwamba kwanini anavunja Katiba akaishia kujibu,
"Kisukuma mayala maana yake ni njaa..."

Huyo akienda kwenye HARDtalk ataishia getini.
Duuuuh ngoja niishie hivyo tu.
 
Mama umepigwa chenga na lugha ya malikia tu

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
Duh! Lugha ya nani? LIssu? Ukimsikiliza hugundui grammatical errors kibao? Chunguza post zangu zote, utaiona lugha yangu iko level gani. Nipe taabu na kiswahili lakini siyo english na french. Upo au umehama?
 
Back
Top Bottom