Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Wewe hapo ulipo utakuwa unajiandaa kuingizwa Mirembe ndani kabisa ya ICU.

Ujue Tatizo la CCM ni kumwamini Le mutuz wakampa Tenda kubwa ya mabilioni kuandaa kuajiri vijana wa kuitetea CCM mitandaoni, lakini Le mutuz ametafuna pesa zote kwenye michepuko kisha akakimbilia kuokoteza vijuha, mbumbumbu vilaza kuwalundika mitandaoni kuwasumbua watu.
 
Nimesikiliza Hard Talk ya BBC. imethibitisha uwezo mdogo wa Lissu kuelewa mambo. Kinachoshangaza ni jinsi mtu huyu anavyokuwa nje ya maswali. Kila wakati anahangaika kusimulia alivyopigwa risasi badala ya kujibu anachoulizwa.

Anapoulizwa suala la ushoga, alitaka kukwepa kwa kuonyesha eti serikali inaingilia mambo ya bedroom lakini mtangazaji ana uelewa kuliko yeye anamrudisha kwenye swali. Jibu lake anajiuma-uma, anajiuma-uma tena na kujikuta analazimisha kujibu kwamba atatetea haki za kila mtu, akimaanisha hata ushoga ni haki kwa mujibu wa haki zetu. Hiyo iko tofauti na jinsi alivyoanza kukubali kwamba kuna sheria ya miaka mingi inayozuiya ushoga. Jibu hili naamini alikuwa akijaribu kumfurahisha muulizaji badala ya kuisemea jamii ya Tanzania. Je, Kweli Lissu anaamini anachofikilia ndicho wa-TZ wanachokitaka? Au basi ni kiumbe asiyejielewa?
 
View attachment 1000477
Tundu Lissu MP
HARDtalk

HARDtalk's Stephen Sackur speaks to Tanzanian opposition MP, Tundu Lissu. Tanzania is one of Africa's fastest growing nations economically and demographically - it's also governed by one of the continent's most controversial leaders: president John Magafuli, otherwise known as the 'Bulldozer'.

Tundu Lissu is one of his leading domestic opponents, at least he was, until gunmen pumped more than 20 bullets into his body in 2017.

Lissu survived and has rejoined the fight against a ruler he describes as a petty dictator. But maybe Tanzanians like strong man rule?

m

Tundu lissu limejionyesha mbele ya ulimwengu lilivyo jinga. He has been grilled like meat. Chezea hardtalk stephen sackur. Alifikiria atawadanganya hardtalk kama anavyowadanganya nyumbu wa cdm. Hardtalk yuko well versed kuhusu mambo ya tanzania. Hapo lissu ni kingereza tu ndio anajua lakini siasa ni kibaraka takataka. Imeacha walimwengu wakijua jpm anapendwa na amefanya makubwa nchini. Sasa hapo lissu limepata nini. Nimefurahi sana huyu mpuuzi kwenda hardtalk.
 
Nimesikiliza Hard Talk ya BBC. imethibitisha uwezo mdogo wa Lissu kuelewa mambo. Kinachoshangaza ni jinsi mtu huyu anavyokuwa nje ya maswali. Kila wakati anahangaika kusimulia alivyopigwa risasi badala ya kujibu anachoulizwa.

Anapoulizwa suala la ushoga, alitaka kukwepa kwa kuonyesha eti serikali inaingilia mambo ya bedroom lakini mtangazaji ana uelewa kuliko yeye anamrudisha kwenye swali. Jibu lake anajiuma-uma, anajiuma-uma tena na kujikuta analazimisha kujibu kwamba atatetea haki za kila mtu, akimaanisha hata ushoga ni haki kwa mujibu wa haki zetu. Hiyo iko tofauti na jinsi alivyoanza kukubali kwamba kuna sheria ya miaka mingi inayozuiya ushoga. Jibu hili naamini alikuwa akijaribu kumfurahisha muulizaji badala ya kuisemea jamii ya Tanzania. Je, Kweli Lissu anaamini anachofikilia ndicho wa-TZ wanachokitaka? Au basi ni kiumbe asiyejielewa?
sema wewe ndiye hujamwelewa....
 
Wewe unaijua itikadi ya Chadema?!!
 
Kaingia ama kakwepa, kasema katiba itakavyoikuwa inasema basi ndio hivyo; right to privacy inasemaje? hapo nimemujona mjanja kweli maana aliambiwa sema yes or no, umesikia yes or no???? HAKUSEMA YES WALA NO
 
Usiomba utoe maoni awamu hii, hasa yale ya kukosea lazima utajuta tu, Lazima utaitwa, la sivyo kwa pigu utaenda!

Tumeona hii inayoitwa ziara ya Tundu Lissu huko ughaibuni, huku akihojiwa na vyombo vya habari vikubwa kama BBC swahili NK,
Kama kawaida ya Mhe Lissu yeye ni kufunguka yaliyoko moyoni mwake, Yani yeye maoni yaki anayatoa tu wazi wazi bila kusoma nyakati, kua awamu hii hicho kitu ni risk sana,

Kama siei G aliitwa vile, ww toa maoni yako yasiendane na sisi uone, Tungumbike leo ndio Siei G anaenda huko kwenye kiti cha moto kwa maoni yake, angekua amesifia nadhani angepelekewa na zawadi kabiss, au kungekua na cheo juu yake angepandishwa! ila kwasababu alikosoa yamemkuta ya kumkuta!

Mhe Lissu hiki sio kipindi kama kile cha Mzee wetu wa pwani, Watu walikua wako ni kutoa maoni yao, kuonya , kuponda na hata kuchamba, ila kwa sasa Mmh hali sio, ndio mana Hata jukwaa la siasa limetia adabu!

Kwanza kabisa, Mungu ashukuriwe kwa kua unaendelea vizuri, naamini maombi ya watanzania yalikusaidia zaidi kupigania uhai wako! Afya yako izidi kuimarika ili urudi uendelee na mapambano ya kuwaletea wananchi maendeleo na tanzania kwa ujumla!

Ila sana maoni unayoendelea nayo huko kuyatoa mengine tafadhali weka akiba, ili ukija uendelee kuwaletea wananchi wako maendeleo,

Kumbuka kipindi tu kabla hujawa na mkasa wa kushambuliwa ulikua na kesi zisizoisha kwa makosa ya lugha za uchochezi, yani hata hatujui kua zile bado zipo au zimefutwa, au zinakusubitu utue tu uendelee nazo!

Sasa hayo mahojiano huko chukua tahadhari na weka akiba ya maneno, mana yakizidi sitashangaa ukitua tu wanaita uko mikononi salama! mara uchochezi, mana maneno ya kuudhi, na mengine mengi,

Haitakua faida kwa wale wengi wanaokusubiria kwa hamu angalau kusikia sauti yako live na kukuona live, wakisikia upo ndani unapambana na kesi,

Mana hata hayo mahojiano utasikia ulifanya mkutano wa hadhara! ulifanya siasa( mana ulizungumzia swala la uraisi) pia utasikia umeanza siasa kabla ya mda wake!

Amini kuna mikono mingi inakusubiri kwa hamu, minine salama na mininge si salama, na pia kumbuka ulisema watesi wako bado hawajajulikana!

Naamini upo pia hapa ila ni hayo tu!
Hebu chukua nafasi yake Umejeruhiwa vibaya hujapewa pesa ya matibabu kikatiba na hao watu wasiojulikana bado hawajajulikani
 
Back
Top Bottom