Buku Saba Saba shida Sana, hivi njie lumumba lisu akiwa hai mnawashwa ama mnapungukiwa nini ? Kutwa kumnanga , Sasa badala ya kujibu hoja unajibu ushuzi !Naomba uwe shoga kwa sababu Lissu ataruhusu
Huyu mleta uzi lugha ya malkia inampiga chengaKaingia ama kakwepa, kasema katiba itakavyoikuwa inasema basi ndio hivyo; right to privacy inasemaje? hapo nimemujona mjanja kweli maana aliambiwa sema yes or no, umesikia yes or no???? HAKUSEMA YES WALA NO
Wale ambao hatujasikiliza hard talk na tunaendelea ku comment humu naomba tutambuane😂
Acheni matusi bhna shindaneni kwa hoja tu,upinzani sio uadui wapendwaKama wewe ulivyo huko gheto kwa cyprian Musiba au? Angalia mimba isije toka kwa kuwachanganya na le mutuz
Sasa interview kama hio aitwe zero brain makonda asee ingekua ni kituko cha mwaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni matusi bhna shindaneni kwa hoja tu,upinzani sio uadui wapendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitatafuta mkalimani kama Mgaufuli ili anitafsirie na nielewe vizuri.Wewe wala english hujui wala uwezo wa kumwelewa stephen suckur wa hard
tallk huna. Ungelewa ulivyo nyumbu ungelia.
Wapuuzi kama nyie mnaojifanya wajuaji hii ndiyo dawa yenu toa nje ya reli tu.pumbavu
Nitatafuta mkalimani kama Mgaufuli ili anitafsirie na nielewe vizuri.
Ahsante kwa kutambua udhaifu wangu, sikuiti kwenye kamati ya maadili kwa kusema ukweli
Tulia iingie mpaka ndani.
lisu kachemkaa
Kama ilivyoingia kwako?