Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Kwa ambaye hata isikiliza hii interview ndio atapelekeshwa na hisia kuwa Lissu amefanya damage,ila ukweli uko wazi,hawa wazungu wanataarifa nzuri zaidi za kinachoendelea Tanzania na nchi inanyooka against uozo wa kila aina ambao umewashinda viongozi wengine wa Africa.
Then mwishoni Sakur akammaliza kabisa na suala la ushoga
Kuna kitu pia interviewer anamshangaa Lissu..mwanasheria mahiri unaongeaje serious allegations without evidence..
 
Wasaliti na maadui wakubwa wa nchi hii ni wale wanaoua raia hovyo kwa kusingizio cha kunyoosha nchi

Msaliti namba moja wa nchi ni yule anayewapa baraka polisi za kuua washukiwa wa ujambazi na kuwaahidi kuwalipa fadhila ya vyeo

Msaliti wa nchi hii ni yule alisema hawezi kuheshimu haki za binadamu za wananchi wa nchi hii

Msaliti mkubwa ni huyu anayeagiza mamlaka ya spika wa bunge iwafukuze wapinzani ndani ya bunge ili yeye huko nje akawashughulikie kwa kuwadhuru miili na hata kuwaua, na baada ya agizo hilo mamlaka zilitaka kumuua Lissu

Wasaliti wakubwa ni hawa mafisi wa kijani waliopitisha sheria na mikataba ya kunyonya nchi huku wakijivika uzalendo mavi

Taifa linamuhitaji sana Tundu Lissu kuliko yule muuaji aliyejificha kwenye koti la mamlaka ya utawala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuki kwa nguruwe aisee mbona akiwa mahututi hamkuleta nyoko nyoko leo amepata nafuu et rudi nyumbani spika ana nguvu zake nguvu zipi unazo ww za kiume au kutumiwa kisiasa ni jambo baya sana aiseee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili Tukio La Shambulizi Kama Ni Wahusika Kukamatwa, Watakamatwa Wengi Sana, Wengine Kwa Uzembe Tu. Kuna Wenye Mamlaka Ya Usalama Eneo Hilo Hawataachwa, Watashirikishwa Tu Kula Njama. Ni Mlolongo Mrefu Mpaka Kumfikia Mastermind Wa Mpango Mzima Wa Kupanga Mauaji.
 
Hapo kwenye ushoga ndio kachemka kabisa, badala ya kujibu swali straight anaanza na Magufuli..mpaka interviewer kamwambia its not about Magufuli.. Lissu is obsessed with JPM..a nightmare to him
Acha uongo, Steve kwenye swali kuhusu Ushoga hajatamka maneno hayo!!

Swalil lilianzia dakika ya 20 hadi dakika ya 20:54.
 
Indeed
Huyo tundulissu msaliti amesha laaniwa na Watanzania wote, Maana hakuanza leo walahi
Na hiyo laana itabaki kwake mpaka kizazi cha nne walahi
Anajaribu kutuletea na ushoga, kisa litumbo lake tu, sasa kamfikisha MAMA TANZANIA MWISHO WALAHI

Jizungumzie wewe watanzania wote we na nani!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nape,Membe,Mwigulu, January hawa wote ni nondo Kwa pogba.


Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mshahara


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kamanda ndio hivyo tena kaahidi mkimpa urais atawatengenezea sheria muufanye ushoga bila bugudha.
Hahahaha
Hiyo kampeni ataifanya na wheelchair?
Let’s be real walahi
Tundulissu msaliti anatembeza bakuli tu kwa ajili ya tumbo lake walahi
Hana lolote
 
Indeed
Huyo tundulissu msaliti amesha laaniwa na Watanzania wote, Maana hakuanza leo walahi
Na hiyo laana itabaki kwake mpaka kizazi cha nne walahi
Anajaribu kutuletea na ushoga, kisa litumbo lake tu, sasa kamfikisha MAMA TANZANIA MWISHO WALAHI
Usitusemee,wengine tunamuombea TAL kila siku bila hata yeye kutuomba tumuombee!
 
Anawashwa washwa
Inabidi akunwe.. hako ka MP kakitoe

Mbona hajiiti mgonjwa tena?

Baada:
Kaa huko huko na ukimbizi
Ukirudi hata kura ya udiwani hatukupi

Leo Lissu katoka kituko.. kweli hana akili.. Mzungu kakuumbua ukijiangalia tena utalia. Umetoka kituko eeeeeh Lissu 💀💀💀

Hukuwa na akili za kuongea kwenye Hardtalk.. hongera kwa Mzungu kwa kuongea mazuri aliyoyasikia na wewe hata kaneno ka wananchi hukutoa.. kisa tupo lako tu.

La ushoga hilo... mmmmh!! Eeeeh jiongeleeee pia umeulizwa wewe.. eeeh ungejibu wewe kiwewe.. lissu bomu.. uraisi hupati ng'oooo

La wanafunzi.. Lissu wewe hata upinzani haukufai.. ni bomu tu wewe

Unaomba nini.. eeeh husipopewa hutarudi.. umejaa upupwu.. liongo la karne..

Kituko umetoka.. tamaa mbaya.. umejiumbua.. ukome🤣🤣🤣
hivi kwa namna gani ilishindikana kununua hawa madiwani kwenye jimbo la Lissu ili tuanze tumsambaratisha?
 
Bunge limfurumushe tu hili lijamaa walahi
 
Kunyamaza nayo busara sasa umeongea nini hapa kama sio kuonyesha kwamba una tatizo kwenye mfumo wa akili yako? Jitahidi kunyamaza unadhalilisha familia yako kuwa hauko salama
 
Back
Top Bottom