ANCIENT FROM EGYPT
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 871
- 1,026
Tufanye walikula Bungo
Verification of non-existence.humjui hakujui
Nani aliyetoa hiyo oral story ikiwa hakukuwa na mwanadamu yeyote there zaidi ya Adam na Eva. Kwa kweli hizi Abrahamic religions ni usanii tu, they tried to lie for a long time na sasa ukweli unakuja in the open. Ebu fikiria mtu kama Mohammed anaitwa nabii wakati alikuwa mbakaji na pedophile, inakuja kichwani kweli hii?Oral history imetumika hapo kijana wangu
Kwa hiyo ndiyo wakawa uchi? Wacheni hizi hadithi za kipuuzi, tumedanganywa sana na wazungu na waarab mpaka wengi wetu hawajitambui hadi leo hii.Tufanye walikula Bungo
Early authors of Holy writings according to my faith were inspired by The HOLY SPIRIT to hand down those narratives that have been summed in one Holy Book called Holy Bible.Nani aliyetoa hiyo oral story ikiwa hakukuwa na mwanadamu yeyote there zaidi ya Adam na Eva. Kwa kweli hizi Abrahamic religions ni usanii tu, they tried to lie for a long time na sasa ukweli unakuja in the open. Ebu fikiria mtu kama Mohammed anaitwa nabii wakati alikuwa mbakaji na pedophile, inakuja kichwani kweli hii?
Binadam wa kwanza si aligundulika Olduvai Gorge .Usidanganyike kijana, Adam hajala tunda lolote, we fikiria hii....wao ndiyo walikuwa binadamu wa kwanza hapa duniani nobody else was there with them. Watu ambao walikuwa hawapo by then walijuwaje kama Adam alikula tunda? Hizi hadithi za Biblia na Qur'an msitilie maanani, ni kamba tu.
Bwege sana weweMungu ana njia nyingi ,wangeweza kuzaa Kama mimea au wale wa binary fussion .Baada ya kuonja utamu Mungu akaona isiwe kesi ,kazi iendelee
au Parachichi!😯tufanye lilikuwa tikiti...
Si unaona sasa, dini ni usanii tu uliotungwa na Warumi kisha Waarab nao wakaja kuiga.Binadam wa kwanza si aligundulika Olduvai Gorge .
Mkuu, that story is merely a bloody phonification tu, Warumi came up with this shit in order to control wenzao because at that time in Europe, wazungu walikuwa barbaric, wanakulana wenyewe kwa wenyewe na kuuana for fun. Watawala wa Rome wakatafuta njia ya kustopisha na kuwacontrol raia wao ndipo wakaja na hizi story kutishia watu wao. Hizi dini bwana inabidi zipigwe ban hapa Tanzania, ni usanii mtupu tu.Early authors of Holy writings according to my faith were inspired by The HOLY SPIRIT to hand down those narratives that have been summed in one Holy Book called Holy Bible.
Those narratives are not about Romans. They are for anyone who seeks salvationMkuu, that story is merely a bloody phonification tu, Warumi came up with this shit in order to control wenzao because at that time in Europe, wazungu walikuwa barbaric, wanakulana wenyewe kwa wenyewe na kuuana for fun. Watawala wa Rome wakatafuta njia ya kustopisha na kuwacontrol raia wao ndipo wakaja na hizi story kutishia watu wao. Hizi dini bwana inabidi zipigwe ban hapa Tanzania, ni usanii mtupu tu.
Kaini alikuwa mtoto wa zinaa, aliyetokana na shetani, baada ya Eva kuhisi mabadiliko mwilini akaamua kumbambika ujauzito Adamu kwa kumuadaa amle kunako kisima cha utamu wa mwili, njia aliyopitia shetani kwa mara ya kwanza. Ndiyo maana Kaini alichukiwa na Mungu na Abeli akapenda, na mwisho Kaini akamuua Abeli na kulaanika mpaka leo. "Just thinking between verses from the holy bible, king James version!"Nyoka alimtafuna Eva,Eva akapata raha ,akadanganyika akaenda kumpa Adam ,Adam akala akaoga akala.Pale Ni lugha ya picha tu.Na baada ya kula tunda ndo Adam akamjaza Eva akazaa mtoto.
Sasa kama sio K,kwanini hawakupata watoto kabla ya Kula tunda kimasihara!?Hapa kwa haraka haraka nishasoma akili zako zinawaza kuwa halikuwa tunda bali adamu alikula mbususu ila jua tu lile lilikuwa ni tunda lililokuwa katikati ya bustani (mti wa uzima na mauti)
Kaini alikuwa mtoto wa zinaa, aliyetokana na shetani, baada ya Eva kuhisi mabadiliko mwilini akaamua kumbambika ujauzito Adamu kwa kumuadaa amle kunako kisima cha utamu wa mwili, njia aliyopitia shetani kwa mara ya kwanza. Ndiyo maana Kaini alichukiwa na Mungu na Abeli akapenda, na mwisho Kaini akamuua Abeli na kulaanika mpaka leo. "Just thinking between verses from the holy bible, king James version!"
Au ndo maana mtoto qliyezaliwa (Kaini) alikuwa na roho mbaya, wivu na husuda kiasi cha kuua kama babà yake?Umejuaje Kama adam nd aliemjaza Eva inawezekan ata nyoka nd alimjaza Eva alafa nyoka akaona noma akamwambia Eva akampe na Adam ili msala uwe wake yote hapo yawezekan
inawezekn ilikua ivy MkuuAu ndo maana mtoto qliyezaliwa (Kaini) alikuwa na roho mbaya, wivu na husuda kiasi cha kuua kama babà yake?