Tunda alilokula Adam ni tunda gani?

Tunda alilokula Adam ni tunda gani?

West standard

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2021
Posts
441
Reaction score
649
Wanajukwaa kama kuna tafsiri zingine ambazo mpaka hii lewo, sijawai kuzielewa vizuri, Moja wapo ni hili la Adam kula tunda la mti wa katikati, tunda ambalo Mungu alimkataza Adam kuwa asilile.

Je hili tunda ni tunda gani? Je nikienda sokoni hii leo nitaweza kulinunua?

Ufafanuzi wa kina.
 
Nyoka alimtafuna Eva,Eva akapata raha ,akadanganyika akaenda kumpa Adam ,Adam akala akaoga akala.Pale Ni lugha ya picha tu.Na baada ya kula tunda ndo Adam akamjaza Eva akazaa mtoto.
Aisee sasa kama Mpango wa Mungu ulikua Adam na Hawa wazae kwanini alikua amemkataza asile hilo tunda, Wangepataje watoto na kuijaza Dunia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee sasa kama Mpango wa Mungu ulikua Adam na Hawa wazae kwanini alikua amemkataza asile hilo tunda, Wangepataje watoto na kuijaza Dunia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ana njia nyingi ,wangeweza kuzaa Kama mimea au wale wa binary fussion .Baada ya kuonja utamu Mungu akaona isiwe kesi ,kazi iendelee
 
Hayo ni maandishi ya zamani sana, binadamu hawakuwa na uelewa wa sayansi. Pia hatujui kitabu cha mwanzo kiiandikwa kwalugha ghani mpaka kije kwenye tafsiri unayoielewa.

Kiufupi hizo ni hadithi tu za kufikirika hazina mantiki zaidi ya kutufafanulia kwanini inabidi tusitendeane maovu.
 
Hapo sasa
IMG-20211010-WA0038.jpg
20211013_200833.jpg
 
Mimba ya n
Nyoka alimtafuna Eva,Eva akapata raha ,akadanganyika akaenda kumpa Adam ,Adam akala akaoga akala.Pale Ni lugha ya picha tu.Na baada ya kula tunda ndo Adam akamjaza Eva akazaa mtoto.
Mimba ya nyoka sio, Adam alipigiwa changa dah kumbe haya mambo yalianzaga miaka mwingi sana
 
Watu mnabugia kvant mnaanza kutamani kila demu,hamjiulizi formular yake hapo ikoje,ila mkiambiwa tunda lilifungua upeo wa adam na hawa mnashangaa kivipi[emoji2][emoji2]

Binaadam wengi siku ya kiama watachomwa sababu ya kiranga.
 
Nyoka alimtafuna Eva,Eva akapata raha ,akadanganyika akaenda kumpa Adam ,Adam akala akaoga akala.Pale Ni lugha ya picha tu.Na baada ya kula tunda ndo Adam akamjaza Eva akazaa mtoto.
Umejuaje Kama adam nd aliemjaza Eva inawezekan ata nyoka nd alimjaza Eva alafa nyoka akaona noma akamwambia Eva akampe na Adam ili msala uwe wake yote hapo yawezekan
 
Back
Top Bottom