Wanajamii forums ni muda mrefu sana nimekuwa nikipata ukakasi na kile kitendo walichokifanya Adam na Hawa pale Eden.Hivi "kula tunda la katikati" ukweli wake ni upi?Wengine hudai ni kweli walichuma tunda la mti uliokuwa katikati na wengine hudai walizini.Dhana ipi ina ukweli hapa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.