Tunda alilokula Adam ni tunda gani?

Nafikiri dhambi ya Adam na Eva ilikua ni kukosa utii Kwa Mungu.

Walikatazwa kutokula tunda la Mti wa katikati wakala, dhambi ya kutotii inasababisha dhambi zote.

Pia tunaambiwa "Basi, mwanamke alipoona kuwa mti huo ni mzuri kwa chakula, wavutia macho, na kwamba wafaa kwa kupata hekima, akachuma tunda lake, akala, akampa na mumewe, naye pia akala. Mara macho yao yakafumbuliwa, wakatambua kwamba wako uchi; hivyo wakajishonea majani ya mtini, wakajifanyia mavazi ya kiunoni."

*Mwanamke akachuma tunda lake akala" maana yake alikula mwenyewe Peke yake na akampa na mumewe akala.
Haliwezi kuwa tunda la katikati ndio tendo la kujamiiana ilikuaje Eva akajamiiana yeye mwenyewe Peke yake? Kisha akampa Hilo tunda na mumewe akala ikiwa na maana hawakula pamoja.

Nadhani hoja kubwa hapa itakua ni utii ukikosekana Kwa Mungu utatengwa mbali na Mungu.

Tunaambiwa utii ni Bora kuliko SADAKA.
 
Wanajukwaa kama kuna tafsiri zingine ambazo mpaka hii lewo, sijawai kuzielewa vizuri, Moja wapo ni hili la Adam kula tunda la mti wa katikati, tunda ambalo Mungu alimkataza Adam kuwa asilile.

Je hili tunda ni tunda gani? Je nikienda sokoni hii leo nitaweza kulinunua?

Ufafanuzi wa kina.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usidanganyike kijana, Adam hajala tunda lolote, we fikiria hii....wao ndiyo walikuwa binadamu wa kwanza hapa duniani nobody else was there with them. Watu ambao walikuwa hawapo by then walijuwaje kama Adam alikula tunda? Hizi hadithi za Biblia na Qur'an msitilie maanani, ni kamba tu.
 
Nyoka alimtafuna Eva,Eva akapata raha ,akadanganyika akaenda kumpa Adam ,Adam akala akaoga akala.Pale Ni lugha ya picha tu.Na baada ya kula tunda ndo Adam akamjaza Eva akazaa mtoto.
Kwa hio kumbe yule mtoto anaweza kuwa ni wa shetani?

au shetani hakuwa na nguvu za kiume so mimba haikuingia?
 
Tunda hilo ni parachichi mkuu hulioni lilivyo na mafuta mafuta ndio tunda la Kati kuku wewe lete maada za maana
 
Wanajukwaa kama kuna tafsiri zingine ambazo mpaka hii lewo, sijawai kuzielewa vizuri, Moja wapo ni hili la Adam kula tunda la mti wa katikati, tunda ambalo Mungu alimkataza Adam kuwa asilile.

Je hili tunda ni tunda gani? Je nikienda sokoni hii leo nitaweza kulinunua?

Ufafanuzi wa kina.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunda unalo waza ndio hilo tunda walilo kula.
 
Adam na eva walikula apple na maisha magumu hivi, je wanagekula pilipili ingekuaje kulaleki
 
Umejuaje Kama adam nd aliemjaza Eva inawezekan ata nyoka nd alimjaza Eva alafa nyoka akaona noma akamwambia Eva akampe na Adam ili msala uwe wake yote hapo yawezekan
Yawezekana jamaa akawa mshua wetu sababu wanaitwa "kizazi cha nyoka"
 
Historia inaonesha watu waliomkosea Mungu, hakuonekana kwao; kama uko mbali naye usifikir una jinsi yoyote ya kumjua; humjui hakujui
Kiufupi hizo ni hadithi tu za kufikirika hazina mantiki zaidi ya kutufafanulia kwanini inabidi tusitendeane maovu.
 
Nadhan mada fikirishi ni Adam kwenda kinyume na maagizo, asile tunda la mti wa katikati ya bustani; habari ya kwmba ni tunda gani ije baadaye
Na kwa kuwa primry source(bible) haitaji aina ya tunda, usifikir utapata ukweli kwa secondary source
 
Usidanganyike kijana, Adam hajala tunda lolote, we fikiria hii....wao ndiyo walikuwa binadamu wa kwanza hapa duniani nobody else was there with them. Watu ambao walikuwa hawapo by then walijuwaje kama Adam alikula tunda? Hizi hadithi za Biblia na Qur'an msitilie maanani, ni kamba tu.
Oral history imetumika hapo kijana wangu
 
Back
Top Bottom