Tunda alilokula Adam ni tunda gani?

Oral history imetumika hapo kijana wangu
Nani aliyetoa hiyo oral story ikiwa hakukuwa na mwanadamu yeyote there zaidi ya Adam na Eva. Kwa kweli hizi Abrahamic religions ni usanii tu, they tried to lie for a long time na sasa ukweli unakuja in the open. Ebu fikiria mtu kama Mohammed anaitwa nabii wakati alikuwa mbakaji na pedophile, inakuja kichwani kweli hii?
 
Early authors of Holy writings according to my faith were inspired by The HOLY SPIRIT to hand down those narratives that have been summed in one Holy Book called Holy Bible.
 
Usidanganyike kijana, Adam hajala tunda lolote, we fikiria hii....wao ndiyo walikuwa binadamu wa kwanza hapa duniani nobody else was there with them. Watu ambao walikuwa hawapo by then walijuwaje kama Adam alikula tunda? Hizi hadithi za Biblia na Qur'an msitilie maanani, ni kamba tu.
Binadam wa kwanza si aligundulika Olduvai Gorge .
 
Early authors of Holy writings according to my faith were inspired by The HOLY SPIRIT to hand down those narratives that have been summed in one Holy Book called Holy Bible.
Mkuu, that story is merely a bloody phonification tu, Warumi came up with this shit in order to control wenzao because at that time in Europe, wazungu walikuwa barbaric, wanakulana wenyewe kwa wenyewe na kuuana for fun. Watawala wa Rome wakatafuta njia ya kustopisha na kuwacontrol raia wao ndipo wakaja na hizi story kutishia watu wao. Hizi dini bwana inabidi zipigwe ban hapa Tanzania, ni usanii mtupu tu.
 
Those narratives are not about Romans. They are for anyone who seeks salvation
 
Nyoka alimtafuna Eva,Eva akapata raha ,akadanganyika akaenda kumpa Adam ,Adam akala akaoga akala.Pale Ni lugha ya picha tu.Na baada ya kula tunda ndo Adam akamjaza Eva akazaa mtoto.
Kaini alikuwa mtoto wa zinaa, aliyetokana na shetani, baada ya Eva kuhisi mabadiliko mwilini akaamua kumbambika ujauzito Adamu kwa kumuadaa amle kunako kisima cha utamu wa mwili, njia aliyopitia shetani kwa mara ya kwanza. Ndiyo maana Kaini alichukiwa na Mungu na Abeli akapenda, na mwisho Kaini akamuua Abeli na kulaanika mpaka leo. "Just thinking between verses from the holy bible, king James version!"
 
Hapa kwa haraka haraka nishasoma akili zako zinawaza kuwa halikuwa tunda bali adamu alikula mbususu ila jua tu lile lilikuwa ni tunda lililokuwa katikati ya bustani (mti wa uzima na mauti)
Sasa kama sio K,kwanini hawakupata watoto kabla ya Kula tunda kimasihara!?
 
Kaini alikuwa mtoto wa zinaa, aliyetokana na shetani, baada ya Eva kuhisi mabadiliko mwilini akaamua kumbambika ujauzito Adamu kwa kumuadaa amle kunako kisima cha utamu wa mwili, njia aliyopitia shetani kwa mara ya kwanza. Ndiyo maana Kaini alichukiwa na Mungu na Abeli akapenda, na mwisho Kaini akamuua Abeli na kulaanika mpaka leo. "Just thinking between verses from the holy bible, king James version!"

Mkuu acha kupotosha, andiko hili hapa
Mwanzo : 4 : 1 - Adamu akamjua Hawa mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Kaini, akasema, Nimepata mtoto mwanamume kwa Bwana.
via OneLink.To
 
Jua tu ni tunda la kutambua jema na baya, kulingana na wenye dini zao. Ajabu! Walipokula tu like tunda wakagundua wapo uchi, ila mwanzo hawakutambua.
 
Umejuaje Kama adam nd aliemjaza Eva inawezekan ata nyoka nd alimjaza Eva alafa nyoka akaona noma akamwambia Eva akampe na Adam ili msala uwe wake yote hapo yawezekan
Au ndo maana mtoto qliyezaliwa (Kaini) alikuwa na roho mbaya, wivu na husuda kiasi cha kuua kama babà yake?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom