Tunaweza kupiga story?

Tunaweza kupiga story?

Bro acha uwaki, mtu chee mbona mwakinyo ana kaa kabisa.

ka vipi tuibuke na boyka wa vikindu Vishu Mtata, tuna liamsha dude.
Mdogo wangu, nakupa ushauri wa bure, mwili sio kitu cha kuchezea, kichwa sio kitu cha kuweka rehani, ugomvi mzuri uanzwe, sio ulianzishe, na hakuna duniani mtu anaechekwa kwa kuepusha shari, ila anachekwa aliyepigwa...
Chukua maneno ya BAKAA hayo
😄🤣😂

Masuala ya kupigana nimeyaacha miaka 15 hivi iliyopita.
We jichanganye na kifua chako hicho kama meza ya kamari, ukapigwe uppercut nzito, tukufukie futi 6 chini
 
Dah kweli ka mkubwa Ume kuwa kunguru 😂😅
 
My fav enemy fanya uje tupigane tumalize tofauti zetu. Uadui gani miaka zaidi ya miwili hauishi? Aaah mimi hadi nachoka.
my fav enemy bora tuendelee hivi hivi, maana niki kudunda ntakubeba nirudi nawe kwangu.

I think you understand the consequences of losing a war, so wacha tu stick na propaganda.
 
Back
Top Bottom