makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,716
- 103,568
Bora aibu ya kukimbia kuliko FEDHEHA ya kupigwa.acha uoga kaka, usiwe kama kobisi 😂 😂
Chukua hiyo.
Bora aibu ya kukimbia kuliko FEDHEHA ya kupigwa.acha uoga kaka, usiwe kama kobisi 😂 😂
simba wa jangwani akikosa nyama, hali mchanga bro.Bora aibu ya kukimbia kuliko FEDHEHA ya kupigwa.
Chukua hiyo.
Jifunze kutofautisha kati ya KITAMBI na MIMBA mdogo wangu.simba wa jangwani akikosa nyama, hali mchanga bro.
I heard you dreamt that I was hitting that weird coochie of yoursHahahaha, you wish!
Nisikilize bro mwanaume wa ukweli hakai ukweni.Jifunze kutofautisha kati ya KITAMBI na MIMBA mdogo wangu.
Jinzi nyeusi haipigwi KIWINisikilize bro mwanaume wa ukweli hakai ukweni.
Wait, you heard what🤣🤣🤣🤣I heard you dreamt that I was hitting that weird coochie of yours
Worry out, Just transform me into a little secret genie, so that I can fulfil that weird wish of yours.
Don't feel shy, it's not a shame if you just ask me in a kind way.Wait, you heard what🤣🤣🤣🤣
That is something you made up in your sleep because the only place you could hear lies like that is in a fever dream.
Kwanini ujifanyishe unahofia nini ukiwa huko?Swali zuri sana, ngoja nikohoe kidogo na nilitengeneze hili dera langu nipate kukujibu.....
Uhuru wa kua mimi kama mimi bila kujifanyisha kua mtu mwengine ambaye sie mimi
Watakuja kusema "haiombwi hivyo"Dr nakumbuka nilisha wahi kukukosea ila now ni rafiki yangu mkubwa
HahahaaaDon't feel shy, it's not a shame if you just ask me in a kind way.
acting tough ain't cool at all.
Aliyekuambukiza ukorofi mwambie haendi mbinguni!😂 Kwani ni mwanamke au mwanaume?? Mimi sijui...
Ndio.Umeolewa?
Ivooo, basi tutakualika tu japo utie sunnahNisha hama Kigamboni since 2023 mama, niko zangu nanjilinji 😂🔥
Hajambooo, nishandaa mazingira ni wewe tu kuja kuoa😅 Nisamehe shemeji yangu, hali vipi, mwali wangu anaendeleaje 😁
Mwambie aache ukorofi atoe muongozoAliyekuambukiza ukorofi mwambie haendi mbinguni!
Sawa, nikukute ume vaa sari na kupaka hinna.Ivooo, basi tutakualika tu japo utie sunnah
Tuseme InshallahHajambooo, nishandaa mazingira ni wewe tu kuja kuoa