min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 47,188
- 130,125
Yuke mkuu anae it was jamali kwenyeTajiri yangu uwe unanisaidia kunitolea basi 😎
ye movie ya empire , namwona kwenye kongamano lake la mwisho na ile kesi yake 2017 akiunga mkono hao nyumbu
Yuke mkuu anae it was jamali kwenyeTajiri yangu uwe unanisaidia kunitolea basi 😎
Kumbe Hannah wa Kigamboni pia, ndio maana una code flan hivi ngumu za wasiojulikana😄Mpitie hapa kwangu🤣🤣🤣
DR, umefeli mtihani, Unguja kuna chimbo linaitwa Entebe! By the way mbona kuna sehemu zimechangamka kuliko Dar hasa kama unapenda starehe???nitafika na Entebbe
Ukilewa usichat, hebu weka simu chini tuendelee na vyombo tu 😂Yuke mkuu anae it was jamali kwenye
ye movie ya empire , namwona kwenye kongamano lake la mwisho na ile kesi yake 2017 akiunga mkono hao nyumbu
Hayo mahusiano sio mapya ila sasa hivi watu wanaongeza tu awareness na wanataka watambulike, wanaitwa Triad yaani kunakua na watu watatu kwenye mahusiano, inaweza ikawa one man and two women au one woman and two men au three women au three men inategemeana na wao,Basi tupige story Dr. Mariposa
Kuna aina mpya ya mahusiano nmeyaona wiki iliopita instagram kuna page ilipop ghafla kwenye feed yangu
Naweza kusema ni modern polygamy
Jamaa ana wake wawili ila ni kama vile wale wake zake ni malesbian, wao wanaita trouple (badala ya couple). Kwenye page yao niliona shorts kuna muda wakigombana jamaa anawapatanisha na anawaforce hadi walane denda, na wanalala wote watatu, wanaishi wote, jamaa anahudumiwa na wote.
Yale maisha japo ya dhambi ila aisee kuna wahuni wanakula maisha.
Kwani hakuna lesbian ambao ni bisexual?Hayo mahusiano sio mapya ila sasa hivi watu wanaongeza tu awareness na wanataka watambulike, wanaitwa Triad yaani kunakua na watu watatu kwenye mahusiano, inaweza ikawa one man and two women au one woman and two men au three women au three men inategemeana na wao,
Ikiwa one man na two women hao wanawake hawawezi kua Lesbians kumbuka Lesbians ni wanawake ambao wapo attracted na wanawake wenzao na sio vinginevyo, hao wanakua ni wanawake straight walioamua kujifurahisha.
Kumbe walai sikua najua,DR, umefeli mtihani, Unguja kuna chimbo linaitwa Entebe! By the way mbona kuna sehemu zimechangamka kuliko Dar hasa kama unapenda starehe???
Starehe zipo shamba naamini kama wewe ni mzawa utakuwa unazifahamu!
Mangi hakuna mtu anakushawishi, wewe piga pombe mpaka maini yaungue, hayana kazi nyingine 😅Kula huo urojo tu , ila mimi mchaga haunishawishi na mambo ya kijinga hivyo
Hakuna Lesbian ambaye ni Bisexual hizo ni terms mbili tofauti, Bisexuals ni watu ambao wapo attracted na both genders,Kwani hakuna lesbian ambao ni bisexual?
Yaani yeye analamba mpini na jembe lake.
Ile page ni vile nmeisahau tu ila wale wanaonekana kabisa wasagaji walikutana na mwanaume mchele sababu hata mwanaume mwenyewe naona kabisa kuna uwezekano na yeye analiwa
Ndiyo utu uzima huo! Siku nyingine njoo shamba usahau harufu za madawa!ikiwa home nakua mpoleeeee
Basi tupige story Dr. Mariposa
Kuna aina mpya ya mahusiano nmeyaona wiki iliopita instagram kuna page ilipop ghafla kwenye feed yangu
Naweza kusema ni modern polygamy
Jamaa ana wake wawili ila ni kama vile wale wake zake ni malesbian, wao wanaita trouple (badala ya couple). Kwenye page yao niliona shorts kuna muda wakigombana jamaa anawapatanisha na anawaforce hadi walane denda, na wanalala wote watatu, wanaishi wote, jamaa anahudumiwa na wote.
Yale maisha japo ya dhambi ila aisee kuna wahuni wanakula maisha.
Mimi sio Fala nipo nyie kila hatuaMangi hakuna mtu anakushawishi, wewe piga pombe mpaka maini yaungue, hayana kazi nyingine 😅
Nilikuambia kipenzi ukilewa ukaandika hapa sifuti 😅Nimefuta na wewe futa kipenzi
Futa panya wewe😅😅😅 mimi leo nalewa tu ,hapa nachemsha nyama ya kutosha nikirudi nikute umefuta kipenziNilikuambia kipenzi ukilewa ukaandika hapa sifuti 😅
Dada ngu ngoja nkurekebishe ux x sasa mbaze ktu ka hna uhakika nacho ile ni prank huyo jamaa black n you tuber maaruf hua anadred hao madem wapo xaid ya kumi wanaigizaKwani hakuna lesbian ambao ni bisexual?
Yaani yeye analamba mpini na jembe lake.
Ile page ni vile nmeisahau tu ila wale wanaonekana kabisa wasagaji walikutana na mwanaume mchele sababu hata mwanaume mwenyewe naona kabisa kuna uwezekano na yeye analiwa
Ewaaaaaaaaaahhhhhhh!!!Kumbe Hannah wa Kigamboni pia, ndio maana una code flan hivi ngumu za wasiojulikana😄