dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,409
- 19,430
Safii umeitendea haki kauli mbiu ya Mkulu, tanzania ya viwanda inawezekana
Endeleeni kuwanufaisha ccm kwa ujinga wenuHivi unadhani shati kutoka Indonesia linatengenezwa na kifaa gani?
Sasa TUFANYE KAAZIII.Safii umeitendea haki kauli mbiu ya Mkulu, tanzania ya viwanda inawezekana
Bila Shaka huyo Ana maisha mazuri sana...hivyo, anatuona sisi tunaosema maisha magumu ni wajinga! Yeye kwasababu Ana akili nyingi ndiyo maana kafanikiwa...tumshukuru kwa matusi yake tu, hakuna namna!!!Kujifanya unaakiri sasa
Cc:NshonziMwenye namba ya waziri wa biashara anisaidie nimwalike jamani
Tuweke tanzania ya viwanda mbele
Hapa kazi tuuu
CCM haina watu tena huko ndani.Viongozi wa dizaini hii ni nani haswa huwa anawachagua?
Eti waziri,ptuuu.
Ndiyo tanzania ya viwandaBila Shaka huyo Ana maisha mazuri sana...hivyo, anatuona sisi tunaosema maisha magumu ni wajinga! Yeye kwasababu Ana akili nyingi ndiyo maana kafanikiwa...tumshukuru kwa matusi yake tu, hakuna namna!!!
we vikusanye tu vikifika vi4 tiyali una kiwanda.Kiwanda gani mkuu wakati hapo kuna vyerehani tu?Au umemaanisha kitu kingine?
Kwa definition ya waziri hicho ni kiwanda. Tena hicho ni kikubwa. Hata ukifyatua tofali ni kiwanda.Kiwanda gani mkuu wakati hapo kuna vyerehani tu?Au umemaanisha kitu kingine?
Kinahitaji umeme wa three phaseMwenye namba ya waziri wa biashara anisaidie nimwalike jamani
Tuweke tanzania ya viwanda mbele
Hapa kazi tuuu