Tunawaalika kwenye ufunguzi wa kiwanda chetu kikubwa

Hizi fikra za wengi wenu zinasikitisha, badala muulizane kwanini amesema hayo mnapondea. Wengine mpo hata kutaka kujua kidogo, fikra haziwajii bali mnabaki kulalamika tuuuuuuuuuuuuuu kuwa maisha magumu.


Nchi hii kwa kweli wengi mnajitakia yanayo wakumba, umefika wakati muanze kubadilika kwa manufaa yenu na vizazi vyenu.
Wewe kwanza ubadilike uwe na mawazo huru usitumike fuata ukweli kila unapouona
 
Back
Top Bottom