Tunawaalika kwenye ufunguzi wa kiwanda chetu kikubwa

Kujifanya unaakiri sasa
Bila Shaka huyo Ana maisha mazuri sana...hivyo, anatuona sisi tunaosema maisha magumu ni wajinga! Yeye kwasababu Ana akili nyingi ndiyo maana kafanikiwa...tumshukuru kwa matusi yake tu, hakuna namna!!!
 
  • Thanks
Reactions: GUI
Bila Shaka huyo Ana maisha mazuri sana...hivyo, anatuona sisi tunaosema maisha magumu ni wajinga! Yeye kwasababu Ana akili nyingi ndiyo maana kafanikiwa...tumshukuru kwa matusi yake tu, hakuna namna!!!
Ndiyo tanzania ya viwanda
 
Muite mwijage aje kufungua kiwanda na bwana yule alisema ukifungua kiwanda anakusamehe kodi usikose fursa ya msamaha wa kodi.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom