Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Hiyo ni kwa mujibu wa waziri wa viwanda jana juzi bungeni kuwa ukiwa na vyerahani 4 hicho ni kiwanda tayariKiwanda gani mkuu wakati hapo kuna vyerehani tu?Au umemaanisha kitu kingine?
Hiyo ni kwa mujibu wa waziri wa viwanda jana juzi bungeni kuwa ukiwa na vyerahani 4 hicho ni kiwanda tayariKiwanda gani mkuu wakati hapo kuna vyerehani tu?Au umemaanisha kitu kingine?
Vyerahani 4 hicho ni kiwanda....ndiyoooooooooooooHizi fikra za wengi wenu zinasikitisha, badala muulizane kwanini amesema hayo mnapondea. Wengine mpo hata kutaka kujua kidogo, fikra haziwajii bali mnabaki kulalamika tuuuuuuuuuuuuuu kuwa maisha magumu.
Nchi hii kwa kweli wengi mnajitakia yanayo wakumba, umefika wakati muanze kubadilika kwa manufaa yenu na vizazi vyenu.
Huyo mtu sijui ni kutoka rwanda?Tatizo lako unajitoa ufahamu ..
Nenda kuzimu
Hapo kaombe kabisa mkopo mkubwa toka Benki maana hicho ni bonge la kiwanda Chenye viwango vyoteNa mi ninavyo 5
Zaidi ya 4 alivyosema mheshimiwa
Hivyo ntamwalika
Hizi fikra za wengi wenu zinasikitisha, badala muulizane kwanini amesema hayo mnapondea. Wengine mpo hata kutaka kujua kidogo, fikra haziwajii bali mnabaki kulalamika tuuuuuuuuuuuuuu kuwa maisha magumu.
Nchi hii kwa kweli wengi mnajitakia yanayo wakumba, umefika wakati muanze kubadilika kwa manufaa yenu na vizazi vyenu.
Kuna uwezekano huo maana huyu binti hana tofauti na shonzaWe sio Juliana shonza??
Viongozi wa dizaini hii ni nani haswa huwa anawachagua?
Eti waziri,ptuuu.
Hizi fikra za wengi wenu zinasikitisha, badala muulizane kwanini amesema hayo mnapondea. Wengine mpo hata kutaka kujua kidogo, fikra haziwajii bali mnabaki kulalamika tuuuuuuuuuuuuuu kuwa maisha magumu.
Nchi hii kwa kweli wengi mnajitakia yanayo wakumba, umefika wakati muanze kubadilika kwa manufaa yenu na vizazi vyenu.
We hutaki kumiliki kiwanda?Hizi fikra za wengi wenu zinasikitisha, badala muulizane kwanini amesema hayo mnapondea. Wengine mpo hata kutaka kujua kidogo, fikra haziwajii bali mnabaki kulalamika tuuuuuuuuuuuuuu kuwa maisha magumu.
Nchi hii kwa kweli wengi mnajitakia yanayo wakumba, umefika wakati muanze kubadilika kwa manufaa yenu na vizazi vyenu.
Mwenye namba ya waziri wa biashara anisaidie nimwalike jamani
Tuweke tanzania ya viwanda mbele
Hapa kazi tuuu
alichaguliwa na yule ambaye alimchagua bashite pia rc gambo na wengine wengiViongozi wa dizaini hii ni nani haswa huwa anawachagua?
Eti waziri,ptuuu.
Mkuu hicho ni kiswahili au kidhungu?Hapo unatakiwa utokee Font fedi
Ni viwanda si ndio maana jamaa amemuomba mh. Waziri au rais wake kuweka jiwe la msingi.?Kwani vyerehani sio kiwanda?
Wazee wa Noah nyeusi wanaweza kua wanajuaMkuu hicho ni kiswahili au kidhungu?