Tunawaalika kwenye ufunguzi wa kiwanda chetu kikubwa

Orh aise hebu tushauri mkuu, wee ndo upo nje ya nchi kabisa unajua mambo mengi
Eeeh unaona fursa gani bongo?

Tabu hampendi ukweli.

Unajua kuwa kuna taasisis za kushauri mtu katika mengi juu ya unayotaka kufanya!?

Mimi sio wa mjini ni wa kijijini, nyie mlio mjini ndio mna nafasi nzuri kufikia sehemu hizo kama mnataka.
 
Yaani kazi kweli kweli.Awamu ya Tano wana mambo mengi sana.Ukinunua puchi tano wewe mnunuzi wa jumla wa puch Tanzania
 
Back
Top Bottom