Tunautaabisha mwili kwa manufaa ya nani?

Tunautaabisha mwili kwa manufaa ya nani?

Nimewazungumzia hao walioenda na watoto wadogo ambao walitakiwa kuwa nyumbani.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Demi binadamu angejua kesho yake.. Madhila mengi yasingetokea... Lakini na kamati ya msiba wangewaza kwa hekima wasingeweka siku mbili za kuaga... ! Majanga yote hayo yametokea jana na sio juzi
 
Utaanza ww kupigwa mijeredi kibaraka wa wazungu
Hivi baadhi ya watu wana akili kweli?

Unaenda kuaga mtu asiyeongea?unaenda kuaga mfu?kwanini mmekua wajinga namna hii?

,si tulishakubaliana kwamba mtu wa kuaga ni ndugu pekee?

Nyie vipi?wagonjwa nini?

Ona sasa mshakanyagiwa huko....mkanyagwe kabisa mpondeke ili mkome mmezidi sijui huu utahira mmeutoa wapi

Kama kuita malofa hakukosea

Magufuli kuwaita wanyonge hakukosea kweli kuna wanyonge malofa nchi hii

Kama ni kufa ashakufa tu kwanza sahiv yupo zake huko sijui ndo anaongoza hao malaika.....muache ujinga na upumbavu na mbadilike

Nimekereka sana....hii nchi wakati mwingine naona wazungu warudi tu kutupiga mijeledi kuna mijitu ipo km mikondoo tu
 
ila kuna watu wapiga-DEAL......aiseeee...kama kweli ni kumuenzi.....wangeshikilia ile misimamo yake ya MATUMIZI YA HOVYO YA PESA ZA WATANZANIA.....tatizo hata akifufuka sio rais tena.....kuna watu wanatembea na voucher book,,,,,kuna staff wako kazini haswa BOT......ili kufanikisha......kuna mpuuzi alisema.....Mama anajua kiwango cha MALI NA FEDHA ZA TAIFA, baada ya Mzee kutimka??? mpuuzi kapuuzwa......msiba una mwisho.....na mwanzo MPYA waja......HAZINA.....!!!!!
 
Demi binadamu angejua kesho yake.. Madhila mengi yasingetokea... Lakini na kamati ya msiba wangewaza kwa hekima wasingeweka siku mbili za kuaga... ! Majanga yote hayo yametokea jana na sio juzi
Basi na tusiwalaumu wanakamati wa msiba maana hawakujua yatatokea yote hayo.
Kama ulivyosema kuwa binadamu haijui kesho yake.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Umemuona marehemu kaanikwa juani?

Halafu hivi mbona vya kawaida kwa sisi wakatoliki ,kuna misiba kibao inakaa zaidi ya wiki na marehemu utakuta anaagwa mara nne,kwa kuwa nyinyi mnatwist mitizamo yenu iendane na matakwa yenu ya kisiasa ndio mnaona sio kawaida.

Kuhusu masaa inategemea na umarufu au hadhi ya mtu huyu ni rais huwezi fananisha na masaa yatakayo tumika kumuaga mzee wa kijiji.
Eti sisi wakatoliki .... Fuatilia vizuri ujue kama mimi sio mkatoliki .... Hilo moja , pili hata tukiwa tunaaga tunaaga kwa muda mgani!! Yaani akae kwenye kioo jeneza na kioo juu niambie huyo mkatoliki aliyewekwa hivyo masaa 10 siku yake kwanza, masaa 10 siku ya pili.. Na bado dodoma, zanzibar, mwanza, geita !!?? Muache ujinga MTAONA SASA KAMA LEO LTAFUNULIWA JENEZA ...mnashupaza shingo kwa vitu vya ajabu.
 
Basi na tusiwalaumu wanakamati wa msiba maana hawakujua yatatokea yote hayo.
Kama ulivyosema kuwa binadamu haijui kesho yake.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Kuna tofauti kati ya kiongozi na mwananchi wa kawaida.. Ndio maana linapotokea tatizo mahali wa kwanza kuwajibika/ kuwajibishwa ni viongozi

Kamati isipoteuliwa kwa weledi haya ndio matokeo yake!
 
Eti sisi wakatoliki .... Fuatilia vizuri ujue kama mimi sio mkatoliki .... Hilo moja , pili hata tukiwa tunaaga tunaaga kwa muda mgani!! Yaani akae kwenye kioo jeneza na kioo juu niambie huyo mkatoliki aliyewekwa hivyo masaa 10 siku yake kwanza, masaa 10 siku ya pili.. Na bado dodoma, zanzibar, mwanza, geita !!?? Muache ujinga MTAONA SASA KAMA LEO LTAFUNULIWA JENEZA ...mnashupaza shingo kwa vitu vya ajabu.
Sasa wewe uagwe masaa kumi kwa siku tano umekuwa nani? Na ni wapi kwenye ukatoliki wako imesemwa sio sahihi?

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Kuna ratiba ndefu sana ya kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania 2015-2021... Kwa ujumla wake ataagwa mara sita maeneo tofauti ya nchi ikiwemo Zanzibar iliyokuja kuchomekwa baadae kwa sababu za kisiasa
Msiba ni gharama kwa kila hatua na ni gharama zaidi kwa kila siku inayoongezeka kila siku ipitiyo bila kuzika...lakini zaidi kiimani ama kiroho si vema kuuhangaisha mwili uliokwisha tengana na roho labda tu iwe kwa maagizo ya mhusika
Safari ya kifo ni ndefu isiyo na kinyume ndio maana wafu hutolewa eneo alilofia, mochwari, nyumbani kisha kaburini... Ni safari ya njia moja... Ni kinyume cha mazoea kuutoa mwili mochwari na kuuanika siku nzima kisha kuurudisha mochwari tena na kuutoa tena na tena...

Watetezi wa hili wana hoja zao kama hizi
Dar kuaga ni mara mbili kutokana na wingi wa wakazi wake
Dodoma ni mji mkuu wa nchi alioupigania katika maisha yake hivyo si vizuri kuwaruka watu wa Dodoma
Mwanza ndio mkoa wa mji alikokulia
Geita na baadae Chato ndio nyumbani
Vipi kuhusu Zanzibar? Ni sehemu ya muungano , japo leo tayari kulikuwa na wawakilishi waliokuja kwa gharama za serikali
Kwa sasa ni matumizi , bajeti wanaijua wachache lakini huko mbeleni huu msiba unaweza kuja kuwa kashfa ya ufisadi
Kwa kila siku ya huu msiba kuna pesa inateketea
Per diem za viwango tofauti
Mafuta ya magari yanayohusika kwenye msiba
Malazi, chakula na vinywaji kwa waalikwa, wahudhuriaji, waombolezaji na wageni mbalimbali
Gharama za majukwaa mbalimbali, viti meza nk
Washereheshaji na watumbuizaji
Gharama za kuhifadhi mwili
Dharura nknk

Tunaweza kufanya mambo bila kujua mtazamo wake lakini isifike mahali tukakufuru kwa kuona kwamba hivi ndivyo inavyopaswa kuwa na zaidi kumbe kuna wapiga dili nyuma yake.

Hali ngumu ya maisha inawafanya baadhi kutumia misiba kama sehemu ya kujazia mashimo yao ya madeni, matumizi na mahitaji mbalimbali

Naweza kupigwa mawe kwenye hii post na wanufaikaji lakini huu... Wale wataosema msiba unabebwa na rambirambi za wapendwa wake. Na bajeti ya kitengo kwa nafasi yake kama mkuu wa nchi..lakini kuagwa mara sita sehemu tofauti za nchi kunaweza kuweka rekodi mpya.
Wanamkufuru Mungu hawa.. wanataka ionekane kana kwamba huyo aliekufa Ni mungu mdogo
 
Kutupruvia anapendwa sana. Yaan mabeberu waonee... ndo shida yao
Jana maiti ikazungushwa mara tano uwanjani eti wananchi ambao hawajapata nafasi ya kuaga waage....Hii sijui ni akili ya wapi hii
 
Wanamkufuru Mungu hawa.. wanataka ionekane kana kwamba huyo aliekufa Ni mungu mdogo
IMG-20210320-WA0089.jpg
 
Sasa wewe uagwe masaa kumi kwa siku tano umekuwa nani? Na ni wapi kwenye ukatoliki wako imesemwa sio sahihi?

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Umesoma nilichoandika au umekurupuka toka chooni !!?? Mimi nimempinga huyo aliyesema katika ukatoliki ni kawaida kukaa hata wiki .. Ndio nakamwambia mkatoliki gani huyo aliyeagwa kwa muda huo ..na wewe kurupu unakuja kuniuliza mimi muulize huyo mkatoliki masalia joseph1989
 
Muache aagwe maana watu hawaamini. Akishazikwa maisha yataendelea wala usiwe na haraka
 
Umesoma nilichoandika au umekurupuka toka chooni !!?? Mimi nimempinga huyo aliyesema katika ukatoliki ni kawaida kukaa hata wiki .. Ndio nakamwambia mkatoliki gani huyo aliyeagwa kwa muda huo ..na wewe kurupu unakuja kuniuliza mimi muulize huyo mkatoliki masalia joseph1989
Wapo wanaokaa wiki, ni wewe tu nzi wa chooni ambae hujawahi kushuhudia
 
Back
Top Bottom