Tunautaabisha mwili kwa manufaa ya nani?

Kuna ratiba ndefu sana ya kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania 2015-2021... Kwa ujumla wake ataagwa mara sita maeneo tofauti ya nchi ikiwemo Zanzibar iliyokuja kuchomekwa baadae kwa sababu za kisiasa
Msiba ni gharama kwa kila hatua na ni gharama zaidi kwa kila siku inayoongezeka kila siku ipitiyo bila kuzika...lakini zaidi kiimani ama kiroho si vema kuuhangaisha mwili uliokwisha tengana na roho labda tu iwe kwa maagizo ya mhusika
Safari ya kifo ni ndefu isiyo na kinyume ndio maana wafu hutolewa eneo alilofia, mochwari, nyumbani kisha kaburini... Ni safari ya njia moja... Ni kinyume cha mazoea kuutoa mwili mochwari na kuuanika siku nzima kisha kuurudisha mochwari tena na kuutoa tena na tena...

Watetezi wa hili wana hoja zao kama hizi
Dar kuaga ni mara mbili kutokana na wingi wa wakazi wake
Dodoma ni mji mkuu wa nchi alioupigania katika maisha yake hivyo si vizuri kuwaruka watu wa Dodoma
Mwanza ndio mkoa wa mji alikokulia
Geita na baadae Chato ndio nyumbani
Vipi kuhusu Zanzibar? Ni sehemu ya muungano , japo leo tayari kulikuwa na wawakilishi waliokuja kwa gharama za serikali
Kwa sasa ni matumizi , bajeti wanaijua wachache lakini huko mbeleni huu msiba unaweza kuja kuwa kashfa ya ufisadi
Kwa kila siku ya huu msiba kuna pesa inateketea
Per diem za viwango tofauti
Mafuta ya magari yanayohusika kwenye msiba
Malazi, chakula na vinywaji kwa waalikwa, wahudhuriaji, waombolezaji na wageni mbalimbali
Gharama za majukwaa mbalimbali, viti meza nk
Washereheshaji na watumbuizaji
Gharama za kuhifadhi mwili
Dharura nknk

Tunaweza kufanya mambo bila kujua mtazamo wake lakini isifike mahali tukakufuru kwa kuona kwamba hivi ndivyo inavyopaswa kuwa na zaidi kumbe kuna wapiga dili nyuma yake.

Hali ngumu ya maisha inawafanya baadhi kutumia misiba kama sehemu ya kujazia mashimo yao ya madeni, matumizi na mahitaji mbalimbali

Naweza kupigwa mawe kwenye hii post na wanufaikaji lakini huu... Wale wataosema msiba unabebwa na rambirambi za wapendwa wake. Na bajeti ya kitengo kwa nafasi yake kama mkuu wa nchi..lakini kuagwa mara sita sehemu tofauti za nchi kunaweza kuweka rekodi mpya.
180bn msijeuliza ziko wapi
Wonders shall never end!
Yule aliyesema shithole hakukosea
Maisha magumu oh maisha maisha hiki ni ninininini

Alikufa Mwalimu ilianza hivi
UK - Dar
Ikamalizikia- Butiama

2021

Mzena hospital/clinic Nairobi(unconfirmed) India (unconfirmed) Mzena tena Lugalo Uhuru back Lugalo( kurekebisha mawili matatu) back to Uhuru Stadium Dar/Airport Dodoma
Kukicha
Dodoma Mwanza Geita/Chato
Safari ni Ndefu sana
 
Utofauti wa kisiasa mpaka kwenye misiba?

Au kisiasa mtu akifa anatakiwa kuzikwa vipi?Manake mimi ndio nasikia leo MTU KUZIKWA KWA UTARATIBU WA KISIASA.

Kabisa kuwa na mtizamo tofauti ya kisiasa si dhambi,ila usitake uharibu taratibu za kiimani za marehemu kwa sababu zako za kisiasa ambazo hazina maana,kwani hii shughuli ni ya KIROHO na si KISIASA.
Imani gani hiyo inayosema Marehemu aanikwe juani mikoa mitano kwa zaidi yake masaa 10 kwa siku !!??
 
180bn msijeuliza ziko wapi
Wonders shall never end!
Yule aliyesema shithole hakukosea
Maisha magumu oh maisha maisha hiki ni ninininini

Alikufa Mwalimu ilianza hivi
UK - Dar
Ikamalizikia- Butiama

2021

Mzena hospital/clinic Nairobi(unconfirmed) India (unconfirmed) Mzena tena Lugalo Uhuru back Lugalo( kurekebisha mawili matatu) back to Uhuru Stadium Dar/Airport Dodoma
Kukicha
Dodoma Mwanza Geita/Chato
Safari ni Ndefu sana
Umesahau atavuka maji kwenda zanzibar .. Ni kumchosha tu apumzishwe mapema
 
Kuna ratiba ndefu sana ya kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania 2015-2021... Kwa ujumla wake ataagwa mara sita maeneo tofauti ya nchi ikiwemo Zanzibar iliyokuja kuchomekwa baadae kwa sababu za kisiasa
Msiba ni gharama kwa kila hatua na ni gharama zaidi kwa kila siku inayoongezeka kila siku ipitiyo bila kuzika...lakini zaidi kiimani ama kiroho si vema kuuhangaisha mwili uliokwisha tengana na roho labda tu iwe kwa maagizo ya mhusika
Safari ya kifo ni ndefu isiyo na kinyume ndio maana wafu hutolewa eneo alilofia, mochwari, nyumbani kisha kaburini... Ni safari ya njia moja... Ni kinyume cha mazoea kuutoa mwili mochwari na kuuanika siku nzima kisha kuurudisha mochwari tena na kuutoa tena na tena...

Watetezi wa hili wana hoja zao kama hizi
Dar kuaga ni mara mbili kutokana na wingi wa wakazi wake
Dodoma ni mji mkuu wa nchi alioupigania katika maisha yake hivyo si vizuri kuwaruka watu wa Dodoma
Mwanza ndio mkoa wa mji alikokulia
Geita na baadae Chato ndio nyumbani
Vipi kuhusu Zanzibar? Ni sehemu ya muungano , japo leo tayari kulikuwa na wawakilishi waliokuja kwa gharama za serikali
Kwa sasa ni matumizi , bajeti wanaijua wachache lakini huko mbeleni huu msiba unaweza kuja kuwa kashfa ya ufisadi
Kwa kila siku ya huu msiba kuna pesa inateketea
Per diem za viwango tofauti
Mafuta ya magari yanayohusika kwenye msiba
Malazi, chakula na vinywaji kwa waalikwa, wahudhuriaji, waombolezaji na wageni mbalimbali
Gharama za majukwaa mbalimbali, viti meza nk
Washereheshaji na watumbuizaji
Gharama za kuhifadhi mwili
Dharura nknk

Tunaweza kufanya mambo bila kujua mtazamo wake lakini isifike mahali tukakufuru kwa kuona kwamba hivi ndivyo inavyopaswa kuwa na zaidi kumbe kuna wapiga dili nyuma yake.

Hali ngumu ya maisha inawafanya baadhi kutumia misiba kama sehemu ya kujazia mashimo yao ya madeni, matumizi na mahitaji mbalimbali

Naweza kupigwa mawe kwenye hii post na wanufaikaji lakini huu... Wale wataosema msiba unabebwa na rambirambi za wapendwa wake. Na bajeti ya kitengo kwa nafasi yake kama mkuu wa nchi..lakini kuagwa mara sita sehemu tofauti za nchi kunaweza kuweka rekodi mpya.
Manufaa ya wananchi
 
Imani gani hiyo inayosema Marehemu aanikwe juani mikoa mitano kwa zaidi yake masaa 10 kwa siku !!??
Umemuona marehemu kaanikwa juani?

Halafu hivi mbona vya kawaida kwa sisi wakatoliki ,kuna misiba kibao inakaa zaidi ya wiki na marehemu utakuta anaagwa mara nne,kwa kuwa nyinyi mnatwist mitizamo yenu iendane na matakwa yenu ya kisiasa ndio mnaona sio kawaida.

Kuhusu masaa inategemea na umarufu au hadhi ya mtu huyu ni rais huwezi fananisha na masaa yatakayo tumika kumuaga mzee wa kijiji.
 
TANZIA
Habari za jioni Mates mwenzetu Mbasa Mtua amepata msiba mkubwa sana kwa kumpoteza mwanae mmoja watoto wa mdogo wake watatu na mtoto wa kaka yake mmoja baada ya kukanyagwa uwanja wa Taifa walipokwenda kumuaga JPM,na hadi sasa hawajui house girl yuko wapi,watoto waliongozana na mke wa mdogo wake,msiba uko kimara nyumbani kwao,tuwaombee wako kwenye wakati mgumu sana,mwenyezi mungu awapumzishe kwa Amani[emoji120]
Hakuna haja ya kuwaombea. Mwanaume kaua familia yake kwa kuruhusu watoto wadogo waende sehemu yenye msongamano.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Kuna ratiba ndefu sana ya kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania 2015-2021... Kwa ujumla wake ataagwa mara sita maeneo tofauti ya nchi ikiwemo Zanzibar iliyokuja kuchomekwa baadae kwa sababu za kisiasa
Msiba ni gharama kwa kila hatua na ni gharama zaidi kwa kila siku inayoongezeka kila siku ipitiyo bila kuzika...lakini zaidi kiimani ama kiroho si vema kuuhangaisha mwili uliokwisha tengana na roho labda tu iwe kwa maagizo ya mhusika
Safari ya kifo ni ndefu isiyo na kinyume ndio maana wafu hutolewa eneo alilofia, mochwari, nyumbani kisha kaburini... Ni safari ya njia moja... Ni kinyume cha mazoea kuutoa mwili mochwari na kuuanika siku nzima kisha kuurudisha mochwari tena na kuutoa tena na tena...

Watetezi wa hili wana hoja zao kama hizi
Dar kuaga ni mara mbili kutokana na wingi wa wakazi wake
Dodoma ni mji mkuu wa nchi alioupigania katika maisha yake hivyo si vizuri kuwaruka watu wa Dodoma
Mwanza ndio mkoa wa mji alikokulia
Geita na baadae Chato ndio nyumbani
Vipi kuhusu Zanzibar? Ni sehemu ya muungano , japo leo tayari kulikuwa na wawakilishi waliokuja kwa gharama za serikali
Kwa sasa ni matumizi , bajeti wanaijua wachache lakini huko mbeleni huu msiba unaweza kuja kuwa kashfa ya ufisadi
Kwa kila siku ya huu msiba kuna pesa inateketea
Per diem za viwango tofauti
Mafuta ya magari yanayohusika kwenye msiba
Malazi, chakula na vinywaji kwa waalikwa, wahudhuriaji, waombolezaji na wageni mbalimbali
Gharama za majukwaa mbalimbali, viti meza nk
Washereheshaji na watumbuizaji
Gharama za kuhifadhi mwili
Dharura nknk

Tunaweza kufanya mambo bila kujua mtazamo wake lakini isifike mahali tukakufuru kwa kuona kwamba hivi ndivyo inavyopaswa kuwa na zaidi kumbe kuna wapiga dili nyuma yake.

Hali ngumu ya maisha inawafanya baadhi kutumia misiba kama sehemu ya kujazia mashimo yao ya madeni, matumizi na mahitaji mbalimbali

Naweza kupigwa mawe kwenye hii post na wanufaikaji lakini huu... Wale wataosema msiba unabebwa na rambirambi za wapendwa wake. Na bajeti ya kitengo kwa nafasi yake kama mkuu wa nchi..lakini kuagwa mara sita sehemu tofauti za nchi kunaweza kuweka rekodi mpya.
Hata kama tulimchukia JPM, this is too much jamani. Tatizo ni nini mpaka kupinga kila kitu!? Hiyo bajeti unayoilalamikia umeshaambiwa inatoka kwenye CONSOLIDATE FUND. Sometimes let's learn to be fair friends
 
180bn msijeuliza ziko wapi
Wonders shall never end!
Yule aliyesema shithole hakukosea
Maisha magumu oh maisha maisha hiki ni ninininini

Alikufa Mwalimu ilianza hivi
UK - Dar
Ikamalizikia- Butiama

2021

Mzena hospital/clinic Nairobi(unconfirmed) India (unconfirmed) Mzena tena Lugalo Uhuru back Lugalo( kurekebisha mawili matatu) back to Uhuru Stadium Dar/Airport Dodoma
Kukicha
Dodoma Mwanza Geita/Chato
Safari ni Ndefu sana
Pakawa Kuna wapuuzi povu linawatoka hapa bila kutafakari haya..
 
Hata kukokota mwili na kile kitoroli cha Jeshi sio poa. Barabara zenyewe zina mashimo halafu unavuta mwili umbali ule kwenye kile ki tela kama umepakia mzinga
 
Hata kama tulimchukia JPM, this is too much jamani. Tatizo ni nini mpaka kupinga kila kitu!? Hiyo bajeti unayoilalamikia umeshaambiwa inatoka kwenye CONSOLIDATE FUND. Sometimes let's learn to be fair friends
Asante[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Ila wanavyofanya na haya maradhi sio uungwana kabisa ni bora kuokoa uuma wa Tanzania kuliko haya wanayoyafanya itakuwaje kama wengine wakifa, wakipata corona ama kupata majeraha kwa kukusanya watu kwenye huko kuaga maana kila RAIA aliye hai na mzima wa afya anaumuhimu zaidi kuliko hiyo maiti ambayo tayari ni mfu.

Mambo mengine nikukosa hekima na busara ya uongozi hakuna mantiki yakuangaisha maiti hivi zaidi kwa sisi wenye imani nikumtesa ingali hawasikii anayonena maiti.
 
Back
Top Bottom