Najaribu kuwaza napata picha kuwa sisi wa tz Kuna kitu hakiko sawa.Walificha habari za kuugua kwake ,sasa wanataka kutuaminisha kuwa alikuwa anapendwa ,kwa nini kipindi anaugua msiweke wazi ili wananchi kwa nafasi zao wafanye maombi na dua ajili ya Mgonjwa.
Kwa sasa haileti picha nzuri katika hali ya uwiano ,eti kuuaga Mwili mara huku mara kule, Mwili ushaachana na Roho..
Ya watanzania...aliowapenda jpm.
Nawaza Nini kitatokea baada ya siku 14 zijazo.kama covid-19 itatufanyia nini?Kitu nilicho notice sisi wa Tz Thinking capacity yetu ni ndogo kuliko punje ya haladali. Tunahis kuuzururisha mwili wa marehemu ndo kuonyesha kua tunampenda na kumjali hata tuki muaga mwaka mzima hakuna utofauti wowote tutakao ulete iwe kwa marehemu au kwa taifa zaid zaid ni gharama kuongezeka na maisha kuzi kuwa tight maana baada ya hilo zoezi bidhaa zinawez kupanda bei ili kufidia pesa iliyo tumika but who cares???
nimeaamini binaadam akisha kufa huwa anatisha....uwezi kuamini hii picha imenitisha sana...wakati nilikuwa naichukulia poa sana wakati mwenye nayo alipo kuwa hai
Kupambana na report na vyombo vya kmataifa.... KuoneshaKuna ratiba ndefu sana ya kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania 2015-2021... Kwa ujumla wake ataagwa mara sita maeneo tofauti ya nchi ikiwemo Zanzibar iliyokuja kuchomekwa baadae kwa sababu za kisiasa
Msiba ni gharama kwa kila hatua na ni gharama zaidi kwa kila siku inayoongezeka kila siku ipitiyo bila kuzika...lakini zaidi kiimani ama kiroho si vema kuuhangaisha mwili uliokwisha tengana na roho labda tu iwe kwa maagizo ya mhusika
Safari ya kifo ni ndefu isiyo na kinyume ndio maana wafu hutolewa eneo alilofia, mochwari, nyumbani kisha kaburini... Ni safari ya njia moja... Ni kinyume cha mazoea kuutoa mwili mochwari na kuuanika siku nzima kisha kuurudisha mochwari tena na kuutoa tena na tena...
Watetezi wa hili wana hoja zao kama hizi
Dar kuaga ni mara mbili kutokana na wingi wa wakazi wake
Dodoma ni mji mkuu wa nchi alioupigania katika maisha yake hivyo si vizuri kuwaruka watu wa Dodoma
Mwanza ndio mkoa wa mji alikokulia
Geita na baadae Chato ndio nyumbani
Vipi kuhusu Zanzibar? Ni sehemu ya muungano , japo leo tayari kulikuwa na wawakilishi waliokuja kwa gharama za serikali
Kwa sasa ni matumizi , bajeti wanaijua wachache lakini huko mbeleni huu msiba unaweza kuja kuwa kashfa ya ufisadi
Kwa kila siku ya huu msiba kuna pesa inateketea
Per diem za viwango tofauti
Mafuta ya magari yanayohusika kwenye msiba
Malazi, chakula na vinywaji kwa waalikwa, wahudhuriaji, waombolezaji na wageni mbalimbali
Gharama za majukwaa mbalimbali, viti meza nk
Washereheshaji na watumbuizaji
Gharama za kuhifadhi mwili
Dharura nknk
Tunaweza kufanya mambo bila kujua mtazamo wake lakini isifike mahali tukakufuru kwa kuona kwamba hivi ndivyo inavyopaswa kuwa na zaidi kumbe kuna wapiga dili nyuma yake.
Hali ngumu ya maisha inawafanya baadhi kutumia misiba kama sehemu ya kujazia mashimo yao ya madeni, matumizi na mahitaji mbalimbali
Naweza kupigwa mawe kwenye hii post na wanufaikaji lakini huu... Wale wataosema msiba unabebwa na rambirambi za wapendwa wake. Na bajeti ya kitengo kwa nafasi yake kama mkuu wa nchi..lakini kuagwa mara sita sehemu tofauti za nchi kunaweza kuweka rekodi mpya.
Kaa kwa utulivu tuachie wenyewe hata tukiamua kutomzika ni sisi.
Wewe na kundi lako mliisha maliza kazi yenu ya kumwombea kifo, mmesikilizwa.
Kimekuja Ghafla vipi si mliambiwa kama jamaa kagoma kitambo mkawa mnabisha mpaka mkawa mnaapa misikitiniTena ingependeza kama wangemzungusha kila mkoa ili kila mtanzania apate nafasi ya kumuaga mpendwa wetu. Nimeumia sana na huu msiba yani ni kama naota vile.
Above all kifo chake kimekuja ghafla sana mpaka ni ngumu kuamini.
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie, apumzike kwa amani.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Inaonekana unatamani Makufuli azinduke ufe wewe eeh!!!Ok, ngoja nikae kimya...kuna watu kama hii mijadala ingekuwa ya ana kwa ana damu ingemwagika sana, ngoja nichague kukaa kimya kwa muda.[emoji850]
Sent using Jamii Forums mobile app
Una hasira Makufuli kama babaako eeh ndo keshakufa kwa Corona alijifukiza sana yule!!Wachawi mna uwezo wa kumwombea mtu heri !!
Unamaanisha Meko alikua na afya mbovu ama vipicovid inasumbua afya mbovu mbovu kama yako.
ajabu unatoka bila barakoa.
Kama ni kifo tu hakina watu maalum, subiri muda si mrefu kinapiga hapo kwako tena kwenye mshono.Una hasira Makufuli kama babaako eeh ndo keshakufa kwa Corona alijifukiza sana yule!!
Sent from my SO-01J using JamiiForums mobile app
Huko kwenu mnazikana kama panya kwa sababu mnaishi kichawi hata thamani ya marehemu hamuioni.We tulia waendelee kumzungusha zungusha athari zake tutaziona kwenye kodi
Wanajiskia ufahari kuona watu wakizimia na wengine kufa hawathamini maisha ya kiumbe ambacho kipo hai wanaangaika na maiti ambayo muda wowote inaoza
Hivi baadhi ya watu wana akili kweli?
Unaenda kuaga mtu asiyeongea?unaenda kuaga mfu?kwanini mmekua wajinga namna hii?
,si tulishakubaliana kwamba mtu wa kuaga ni ndugu pekee?
Nyie vipi?wagonjwa nini?
Ona sasa mshakanyagiwa huko....mkanyagwe kabisa mpondeke ili mkome mmezidi sijui huu utahira mmeutoa wapi
Kama kuita malofa hakukosea
Magufuli kuwaita wanyonge hakukosea kweli kuna wanyonge malofa nchi hii
Kama ni kufa ashakufa tu kwanza sahiv yupo zake huko sijui ndo anaongoza hao malaika.....muache ujinga na upumbavu na mbadilike
Nimekereka sana....hii nchi wakati mwingine naona wazungu warudi tu kutupiga mijeledi kuna mijitu ipo km mikondoo tu