ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,976
Hahaahahah Mugabe alianzaga hivo hivo
kwa upofu huo huo ndo mana mlimruhusu muwekezaji mamvi bila kuangalia faida na hasara mtakayoipata ....ona sasa mnavyopaya paya [HASHTAG]#waterforlife[/HASHTAG]Ndo maana sifa kuu ya kiongozi ni busara
sababu wanaweza kuja watu kukulilia na machozi..kumbe watu hao wanaolia ndo wezi wakubwa
na waonevu....
Ndo busara inapohitajika
binafsi kiongozi yeyote anaependa kufanya maamuzi kwenye jukwaa huwa namuona 'hamna kitu'
Uongozi ni details details na more details....
Wengi wenu ndiyo mtakaoiponza CCM na Taifa Kiujumla. Tunaongelea mambo yanayogusa Taifa Kiujumla, Unazungumzia CHADEMA. Hivi ninyi CCM mnaitakia nini nchi hii?Hayo ndo maendeleo chanya tuliyoyasubili kwa mda mrefu. Magu hahitaji tume wala mtu wa kumwandikia speech na hii inaonesha nchi anaijua yote na matatizo ya wananchi. Nyie chadema mmepagawa kwa sababu hamna ajenda tena kila mnalofikilia liwape kick analimaliza ndani ya mda mfupi. Hivyo nawashaurini muungane tu na magufuli mana wananchi wameshaanza kuwachoka. Nyie ndo kikwazo cha maendeleo tofauti na jinsi watu walivyowafikilia. Magu watu wanamuelewa sana mana amejikita kwa matatizo ya wananchi mojakwamoja. Mmebakiwa na kick moja tu ya kagera ambayo wanakagera wenyewe walimuelewa mheshimiwa. Maskini upinzani!!!!
Hawa walimpa jibu la kisanii rais,
kwani bila kilima cha ngasamo maji hayawezi fika Bariadi kweli?,
kwanini wasichukulia maji ramadi au ndo kusema maji kusafiri mpaka pawe na mpando au mwinuko?[/QUOT
Na maeneo yasiyo na Milima maanake maji kupata wasahau? Hii nchi ina wataalam wa mwendo kasi kweli.
Nenda ngasamo utawakuta wanavijiji wamelipwa mamilioni kila mmoja,watakuonyesha makaratasi,na sio kwamba wamelipwa juzi,miaka sio chini ya mitatu iliyopita,jumla kwa wote ni mabilioni,ukifuta leseni yake jiandae kumrudishia hela alizofidia miaka mitatu iliyopita,kwa rate za sasa na riba juu.Huyo jamaa, mwekezaji unayemsema ni nani? Je, ana leseni gani ya uchimbaji madini kuna aina 3) na mashrti ya leseni yake ni yapi? amewekeza nini, na chenye thamani gani katika kilima hicho kinachogombewa? ripoti ya ESIA inasemaje/inatoa ufumbuzi gani kuhusiana na matumizi ya kilima hicho kwa ajili ya kusambaza maji? Kama ripoti ya ESIA haisemi kitu juu ya matumizi ya kilima kwa kusambaza maji katika wilaya nne za mkoa wa Simiyu, kwa nini hivyo? Je cost-benefit analysis (opportunity cost) ya kuchimba nickel au kusambaza maji kwa zaidi ya watu milioni 1.5 (going forward) inatuelekeza kufanyika kitu gani? Kuna maswali mengi ya kiufundi yanayohitaji majibu kabla ya kujiingiza kwenye mijadala ya yenye shutuma na lawama. hapa ni JF, GT.
Bado miaka tisa mbeleHuyo jamaa kalipa fidia ya mabilioni kwa wananchi kuchukua maeneo,kafanya exploration kwa mabilioni ya shilingi,kaweka wafanyakazi,kaagiza mitambo
Tujiandae kulipa fidia ya mabilioni,escrow na IPTL inaikumba nchi,tutalipa fidia GEITA na huko ngasamo na kwingine
Fidia mpaka sasa itafika trilioni kadhaa ikijumuisha loss of profit and business
Pia wakienda mahakamani tutashindwa na kuwafidia na eneo kubaki lao
Hawajapewa hata haki ya kusikilizwa kabla ya kunyanganywa,kesi rahisi sana kuishinda
Unajifanya kuwapenda wananchi halafu unawatwisha zigo la fidia!!!
Nadhani kuna haja ya kurudisha elimu ya siasa mashuleni, na kpitia kisomo cha elimu ya watu wazima sawia. Iwe ni kampuni ya ndani au nje ya nchi sharti ifuate sheria ya madini kuweza kuchimba madini hapa nchini. Hiyo kampuni inayosemwa bado haijapewa SML, ili ilikuwa katika mchakato wake. Kama hivyo ndivyo, nini basis ya kudai fidia basi? Leseni aliyokuwa nayo ni prospecting license, kama hajapewa leseni ya uchimbaji madini fidia atadai kwa kutumia raison d'être gani?Nenda ngasamo utawakuta wanavijiji wamelipwa mamilioni kila mmoja,watakuonyesha makaratasi,na sio kwamba wamelipwa juzi,miaka sio chini ya mitatu iliyopita,jumla kwa wote ni mabilioni,ukifuta leseni yake jiandae kumrudishia hela alizofidia miaka mitatu iliyopita,kwa rate za sasa na riba juu.
Na bado kuna mikataba,makampuni yaliwahi kufanya kazi,yanafanya kazi,kuna loss of expected profit,business,capital spent
Na haya makampuni sio kama huyo bakhresa mliyemzoea,ni multinational corporations ambazo uchumi zinaomiliki ni mara mia ya uchumi wa tanzania.
Baraza la seneti la marekani lilishatoa onyo kwa tanzania kuhusu "kuvuruga" maslahi halali ya marekani na yenye leseni zote.
Na Trump kaja na moja tu,to "make america great again"
America means any place where the US has interest
Waulize kama bado wanagawa magwangala huko geita
Hii nchi itaendelea kulipishwa faini za kimataifa hadi ikome .
Yaani mtu mmoja tu tena bila hata kutafakari anajilipukia tu !
Nakulilia Tanzania .
Kweli kabisa. Roho ya ajabu namisifa ndiyo anaharibu Nchi.Afadhali angekuwa mtu tungemuelewa na kuweza kumvumilia lakini huyu si mtu ni lijitu hili. Kuna tofauti kubwa sana kati ya MTU na JITU. Eti mtaishi kama mashetani. Huu sio utu.
Ni hatari sana kwa mustakabali wetu kama raia.
Kilichosahihi ni mgodi ujengwe na wananchi wapate maji. Ni ufinyu wa mawazo kudhani kuwa matank ya maji ni lazima yakae kwenye mlima. Ungekosa kuwepo huo mlima ina maana wananchi wasingepata maji milele?Wafuasi wa upinzani nawashangaa sana, yaani wananchi bariadi nzima wakose maji kwaajiri ya muwejezaji? ? Siyo serikali hii kama hampendi hamieni nchi jirani sisi tunaendelea mbele.
Waongea ongea tu bila Data hawa jamaa. Si muda wote wapo kumtetea mfalme.Nenda ngasamo utawakuta wanavijiji wamelipwa mamilioni kila mmoja,watakuonyesha makaratasi,na sio kwamba wamelipwa juzi,miaka sio chini ya mitatu iliyopita,jumla kwa wote ni mabilioni,ukifuta leseni yake jiandae kumrudishia hela alizofidia miaka mitatu iliyopita,kwa rate za sasa na riba juu.
Na bado kuna mikataba,makampuni yaliwahi kufanya kazi,yanafanya kazi,kuna loss of expected profit,business,capital spent
Na haya makampuni sio kama huyo bakhresa mliyemzoea,ni multinational corporations ambazo uchumi zinaomiliki ni mara mia ya uchumi wa tanzania.
Baraza la seneti la marekani lilishatoa onyo kwa tanzania kuhusu "kuvuruga" maslahi halali ya marekani na yenye leseni zote.
Na Trump kaja na moja tu,to "make america great again"
America means any place where the US has interest
Waulize kama bado wanagawa magwangala huko geita
That is right, corporate social responsibility. Awasaidie wananchi kupata kaeneo lijengwe tenki LA maji nao wana haki ya kuishi. Life is about give and take! ukitaka kupata tu, unaweza kukosa pia.Umeenda mbali sana,kama huyo mwekezaji angeenda mbali kama wewe basi lazima angetafuta jinsi ya kusaidia wananchi wapate hilo eneo la kujenga tank ili wapate maji,maana maji ni uhai.
Katafute nchi yako ili uwape wawekezaji first priority.Kwa rais wetu ni wananchi kwanza.Big up my president.Sasa kama hii ndio sababu, kulikuwa na namna nyingi tu za kubatilisha hata bila kujenga bad images kwa prospective investors. Msitetee kila jambo ovu. Nyie mnaona haya rahisi lakini tulioshiriki juhudu za kuleta wawekezaji ndio tunajua maswali tuliokutana nao, mspige nyanga tu hiyo kitu ni threat kwa uhai wa uwekezaji nchini. Ukiona hufaidiki na uwekezaji uliopo kwa udhaifu wa sheria, just badilisha sheria na heshimu sheria. Yeye atakaa miaka 5-10, image mbaya itakayowekwa itakaa mingi huko mbele.
Tafuta impacts ya nationalization katika kuvutia uwekezaji. Wawekezaji bado wana historia kuwa utafishaji ungeweza kurudi hivyo wamekuwa reluctant kuwekeza katika sakta za uzalishaji. Badala yake wamekuwa wakiwekeza kwenye extractive industries pekee. Kabla hata mate hayajakauka tunakuja kufanya madudu yaleyale ya miaka ya 60. So sad.
Hiyo akili au makamasi, yaani nchi ikose zaidi ya Bilioni 600 kwa ajili ya tank la maji? Halafu hata huyo muwekezaji akikubali mjenge hilo tank, hebu jiulize tank la maji ya kunywa na madini ya nickel, ndio kuna akili hapo? Halafu jiulize lile la Acacia liliweza kutekelezwa? Poleni mnaoongopewa.Katafute nchi yako ili uwape wawekezaji first priority.Kwa rais wetu ni wananchi kwanza.Big up my president.