Tunataka wawekezaji, mara wanyang'anyeni leseni!

Hiyo akili au makamasi, yaani nchi ikose zaidi ya Bilioni 600 kwa ajili ya tank la maji? Halafu hata huyo muwekezaji akikubali mjenge hilo tank, hebu jiulize tank la maji ya kunywa na madini ya nickel, ndio kuna akili hapo? Halafu jiulize lile la Acacia liliweza kutekelezwa? Poleni mnaoongopewa.
Aisee hawa Jamaa vichwa ngumu mkuu. Yaani na Rais wao yaani Sijui nimwitaje, ngoja niishie hapa hapa.
 
MUNGU atunusuru na makubwa zaid ya haya tuyasikiayo na kuyashuudia bila chenga nchini yakitokea
 
Nilishajitoa mda sn kwenye kufuatilia kauli na baba j
 
Huyo jamaa kalipa fidia ya mabilioni kwa wananchi kuchukua maeneo,kafanya exploration kwa mabilioni ya shilingi,kaweka wafanyakazi,kaagiza mitambo

Tujiandae kulipa fidia ya mabilioni,escrow na IPTL inaikumba nchi,tutalipa fidia GEITA na huko ngasamo na kwingine

Fidia mpaka sasa itafika trilioni kadhaa ikijumuisha loss of profit and business

Pia wakienda mahakamani tutashindwa na kuwafidia na eneo kubaki lao

Hawajapewa hata haki ya kusikilizwa kabla ya kunyanganywa,kesi rahisi sana kuishinda

Unajifanya kuwapenda wananchi halafu unawatwisha zigo la fidia!!!

Moja ya vitu vinanishangaza kwenye Utawala huu wa Magufuli, yupo Mbele saana kwamba tunahitaji Wawekezaji wa Ndani na Nje, sasa linapokuja swala la Kuwaambia tena waondoke ndipo nachoka sasa.

Juzi juzi kasema Wawekezaji waliopo huko kanda ya Ziwa (Homeland) wasiwasumbue Wananchi. Leo tena Bariadi kasema muwekezaji eneo ambalo ndipo linatakiwa lijengwe Tank la Maji kuwa kama vipi wamnyang'anye lesseni yake. Maeneo hayo mlipokuwa mnagawa hamkujua kuwa patatakiwa papitishwe nini.

Cha kujiuliza, sasa hawa wawekezaji wana kosa lipi maana wapo eneo husika kihalali. Pia, yeye anahamasisha ama kuwakaribisha wawekezaji halafu baadaye mnawageuka sijui tuwaelewaje sasa. Mwishowe wataona Serikali yako haiamiki na hawatakuja tena kuwekeza

Kumbuka hautaishia hilo, pia mtaingia hata kwenye viwanda unavyovisema nchi ndiko inaelekea. Na haya ni madhara ya kufanya hotuba ambazo zinatoka kichwani moja kwa moja bila kuhaririwa na mtu huna karama hiyo.

Hapo ulipo Mkulu nawewe Utapita tu.

Huo mgodi nakwambia haufutiki+_
 
Kwa ujinga wako nenda ulaya kawekeze uone kama unaweza kuwa kikwazo cha wengi kisa kabiashara kako mijitu mingine mnashabikia upumbavu kwa hiyo wewe ulitaka watu wakose maji mwekezaji atambe uhuru wa Tanzania uko wapi maji yanaharibu kitu gani kwenye huo mradi acheni ulimbukeni kupendelea wageni hebu tokeni nje ya Tanzania muone watu wanavyoishi kwao ni Tanzania peke yake ndiyo mwekezaji anaweza kumpiga risasi mtanzania na akabaki salama nenda kwa Kagame ukafanye ujinga huo kama utarudi kwenu kama mnavyofanya Mererani Kila siku Rais mbaya Rais mbaya leteni Malaika wenu tumuone.
 
CCM walituletea janga kwa mbwe mbwe na mapambio toka huko chimwaga leo tunaathirika kama taifa.
 
Kwa ujinga wako nenda ulaya kawekeze uone kama unaweza kuwa kikwazo cha wengi kisa kabiashara kako mijitu mingine mnashabikia upumbavu kwa hiyo wewe ulitaka watu wakose maji mwekezaji atambe uhuru wa Tanzania uko wapi maji yanaharibu kitu gani kwenye huo mradi acheni ulimbukeni kupendelea wageni hebu tokeni nje ya Tanzania muone watu wanavyoishi kwao ni Tanzania peke yake ndiyo mwekezaji anaweza kumpiga risasi mtanzania na akabaki salama nenda kwa Kagame ukafanye ujinga huo kama utarudi kwenu kama mnavyofanya Mererani Kila siku Rais mbaya Rais mbaya leteni Malaika wenu tumuone.
Watu wengine kama huna utafiti usilopoke tu kama bata anavyoharisha bila mipangilio, serikali za wenzetu hasa huko ulaya na America kila jambo hufanywa kwa tafiti maalum na hadi serikali inafikia maamuzi inamaana hakuna tatizo lolote katika hilo jambo hata aje nani kuongoza jambo
hilo litabaki vile vile.
Tatizo la Tanzania au Africa siasa ndio inanguvu kuliko wataalam but kwa wenzetu wataalam wananguvu kuliko wanasiasa, sasa huku kwetu mwasiasa akiamka analopoka anachojisikia tu ili kuwafurahisha mashabiki wake, huo upuuzi haupo ulaya ama America, na hata wakibaini kuna makosa yalifanywa huko nyuma watalaam tena wanapewa hilo jukum la kutatua hilo tatizo sio kulopoka tu kwa mihemuko ya Chato.

Na unazungumzia Rwanda kweli wewe ni zwazwa kama huyo zwazwa mwenzio wa chato, Rwanda kila leo raia wanauawa na kunyang'anywa ardhi zao kupisha wawekezaji na Rwanda haina eneo lililowazi kulingana na udogo wake, serikali ya Kagame inatumia nguvu kuwanyang'anya wananchi ardhi ili kupisha kwa jambo lolote lile bila fidia na ukibisha unapotezwa kama Ben saanane, afu unatoa mifano ya kapuuzi.
 
Naomba uedit comment yako pliiz
 
Nonsense. Ulipochukua tu Case study Rwanda, nimekupuza na sina haja ya Ku argue na wewe.
 
Watu wengine kama huna utafiti usilopoke tu kama bata anavyoharisha bila mipangilio, serikali za wenzetu hasa huko ulaya na America kila jambo hufanywa kwa tafiti maalum na hadi serikali inafikia maamuzi inamaana hakuna tatizo lolote katika hilo jambo hata aje nani kuongoza jambo
hilo litabaki vile vile.
Tatizo la Tanzania au Africa siasa ndio inanguvu kuliko wataalam but kwa wenzetu wataalam wananguvu kuliko wanasiasa, sasa huku kwetu mwasiasa akiamka analopoka anachojisikia tu ili kuwafurahisha mashabiki wake, huo upuuzi haupo ulaya ama America, na hata wakibaini kuna makosa yalifanywa huko nyuma watalaam tena wanapewa hilo jukum la kutatua hilo tatizo sio kulopoka tu kwa mihemuko ya Chato.

Na unazungumzia Rwanda kweli wewe ni zwazwa kama huyo zwazwa mwenzio wa chato, Rwanda kila leo raia wanauawa na kunyang'anywa ardhi zao kupisha wawekezaji na Rwanda haina eneo lililowazi kulingana na udogo wake, serikali ya Kagame inatumia nguvu kuwanyang'anya wananchi ardhi ili kupisha kwa jambo lolote lile bila fidia na ukibisha unapotezwa kama Ben saanane, afu unatoa mifano ya kapuuzi.

HUNA AKILI WEWE HAPA NI U.S.A AU ULAYA????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom