Tunataka wawekezaji, mara wanyang'anyeni leseni! | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunataka wawekezaji, mara wanyang'anyeni leseni!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndikwega, Jan 11, 2017.

 1. N

  Ndikwega JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 4,499
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
  Moja ya vitu vinanishangaza kwenye Utawala huu wa Magufuli, yupo Mbele saana kwamba tunahitaji Wawekezaji wa Ndani na Nje, sasa linapokuja swala la Kuwaambia tena waondoke ndipo nachoka sasa.

  Juzi juzi kasema Wawekezaji waliopo huko kanda ya Ziwa (Homeland) wasiwasumbue Wananchi. Leo tena Bariadi kasema muwekezaji eneo ambalo ndipo linatakiwa lijengwe Tank la Maji kuwa kama vipi wamnyang'anye lesseni yake. Maeneo hayo mlipokuwa mnagawa hamkujua kuwa patatakiwa papitishwe nini.

  Cha kujiuliza, sasa hawa wawekezaji wana kosa lipi maana wapo eneo husika kihalali. Pia, yeye anahamasisha ama kuwakaribisha wawekezaji halafu baadaye mnawageuka sijui tuwaelewaje sasa. Mwishowe wataona Serikali yako haiamiki na hawatakuja tena kuwekeza

  Kumbuka hautaishia hilo, pia mtaingia hata kwenye viwanda unavyovisema nchi ndiko inaelekea. Na haya ni madhara ya kufanya hotuba ambazo zinatoka kichwani moja kwa moja bila kuhaririwa na mtu huna karama hiyo.

  Hapo ulipo Mkulu nawewe Utapita tu.
   
 2. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #21
  Jan 11, 2017
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,098
  Likes Received: 11,246
  Trophy Points: 280
  Ndo tuulizane sasa..
   
 3. Rich Pol

  Rich Pol JF-Expert Member

  #22
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 11, 2013
  Messages: 7,583
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
  Wafuasi wa upinzani nawashangaa sana, yaani wananchi bariadi nzima wakose maji kwaajiri ya muwejezaji? ? Siyo serikali hii kama hampendi hamieni nchi jirani sisi tunaendelea mbele.
   
 4. M

  MTK JF-Expert Member

  #23
  Jan 11, 2017
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Hususani awamu hii, haitabiriki jambo ambalo IMF wameliona na kutoa tahadhari!!
   
 5. D

  Descartes JF-Expert Member

  #24
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 24, 2013
  Messages: 2,769
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280

  Kwa kinachoendelea, sitompinga atakaye sema si mahali salama kuwekeza au hata kuishi.

  Rejea miili ya watu 7 kwenye viroba-mto Ruvu, Ben Saanane, kwa kutaja wachache...
   
 6. D

  Descartes JF-Expert Member

  #25
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 24, 2013
  Messages: 2,769
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  Nami nasisitiza "hususani awamu hii haitabiriki..."
   
 7. py thon

  py thon JF-Expert Member

  #26
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 11, 2016
  Messages: 2,281
  Likes Received: 3,919
  Trophy Points: 280
  Kama ni madini namuunga mkono mh rais

  Bora hizo madini zikae huko huko chini ,vizazi zijazo watakaojitambua wazitumie madini hizo
   
 8. N

  Ndikwega JF-Expert Member

  #27
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 4,499
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu. Tuna wakati mgumu!
   
 9. D

  Descartes JF-Expert Member

  #28
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 24, 2013
  Messages: 2,769
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280

  Kiukweli inakatisha tamaa sana. Inaua uzalendo kabisa...
   
 10. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #29
  Jan 11, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,993
  Likes Received: 37,674
  Trophy Points: 280
  Twafaaa!!
   
 11. kwemanga1

  kwemanga1 JF-Expert Member

  #30
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 9, 2014
  Messages: 787
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 180
  Mkuu wawekezaji wengi hukopa kwenye mabenki sasa najiuliza mtu aliyepewa leseni kafanya exploration ina maana huo mkopo ataurudisha vipi naona tunajiweka kwenye hatari kushitakiwa na kulipa pesa nyingi zaidi
   
 12. iparamasa

  iparamasa JF-Expert Member

  #31
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 14, 2013
  Messages: 13,439
  Likes Received: 14,098
  Trophy Points: 280
   
 13. iparamasa

  iparamasa JF-Expert Member

  #32
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 14, 2013
  Messages: 13,439
  Likes Received: 14,098
  Trophy Points: 280
   
 14. jaji mfawidhi

  jaji mfawidhi JF-Expert Member

  #33
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 20, 2016
  Messages: 3,441
  Likes Received: 2,560
  Trophy Points: 280
  Leo Simiyu JPM kaagiza mwekezaji wa madini abatilishiwe kibali ,uuwi,eti tu kwakuwa tenki la maji linapaswa kukaa kwenye kilima,kwani tenki likikaa hapo ni mpaka mbatilishe hati?
   
 15. N

  Ndikwega JF-Expert Member

  #34
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 4,499
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
  Kwanini sasa mlimpa eneo hilo?
   
 16. l

  lucas mollel JF-Expert Member

  #35
  Jan 11, 2017
  Joined: May 30, 2016
  Messages: 256
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 60
  Fikirini kabla ya kuandika upuuzi.Wananchi kwanza.Mwekezaji ni nini kwa uhai wa wananchi wa tz?Water for life,not nikel for life.Think a bit you simple minded.
   
 17. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #36
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Kauli za taasisi ya urasis ni kama sheria.Kutengua hadi yeye aliyetoa, halafu anaona aibu kutengua Angalieni hizo hotuba ebo?
   
 18. N

  Ndikwega JF-Expert Member

  #37
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 4,499
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
  Mlivyokuwa mnampa hilo eneo Muwekezaji hamkujua kama kuna wanachi wanahitaji Maji?
   
 19. l

  lucas mollel JF-Expert Member

  #38
  Jan 11, 2017
  Joined: May 30, 2016
  Messages: 256
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 60
  Yaelekea hujui kitu.wewe ni hewa tu.
   
 20. N

  Ndikwega JF-Expert Member

  #39
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 4,499
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
  Ongea unayejua kitu.
   
 21. A

  Ame JF-Expert Member

  #40
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Lazima tuwe na uwezo wa ku way things...Hakuna hesabu za 1+1 katika maisha ya mwanadamu...Kwamfano wewe ni Rais wilaya tatu hazina maji na watu kadhaa wanakufa kwakukosa maji...hawawezi kuishi kwakua maji ni uhai...Kati ya mwekezaji wa nikel ambaye kwanza formular ya calculation is almost haijulikani kwakua wanakuja na hadithi za ku register loss ungamua nini? Hajakataa uwekezaji na wala hajamaanisha hataki wawekezaji lakini kuna prorities in life, kwahiyo kati ya maisha ya watu 1.something milions population kukosa maji kisha tuchimbe madini hiyo reasoning nadhani inahitaji scrutiny... Rais ame challenge technology inayotumiwa...Tunafahamu nchi kama Norway barabara zimechongwa katikati ya milima bila kung'oa mti hata mmoja...Huyo investor kwanini asiangalie uwezekano wa ku exploit hiyo resoirce huku akipunguza social costs? Hivi EMA, 2005 tuliipitisha kama pambo? Hapo EIA experts kama hawakuweka hizo social costs basi Rais wa nchi katumia common sense tu kuona the project cannot out compete the pressing needs za immediate population ambao wanakosa maisha...life without water...Hizo costs za wananchi wanaokufa wamezi factor in?
   
Loading...