Tunataka wawekezaji, mara wanyang'anyeni leseni! | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunataka wawekezaji, mara wanyang'anyeni leseni!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndikwega, Jan 11, 2017.

 1. N

  Ndikwega JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 4,499
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
  Moja ya vitu vinanishangaza kwenye Utawala huu wa Magufuli, yupo Mbele saana kwamba tunahitaji Wawekezaji wa Ndani na Nje, sasa linapokuja swala la Kuwaambia tena waondoke ndipo nachoka sasa.

  Juzi juzi kasema Wawekezaji waliopo huko kanda ya Ziwa (Homeland) wasiwasumbue Wananchi. Leo tena Bariadi kasema muwekezaji eneo ambalo ndipo linatakiwa lijengwe Tank la Maji kuwa kama vipi wamnyang'anye lesseni yake. Maeneo hayo mlipokuwa mnagawa hamkujua kuwa patatakiwa papitishwe nini.

  Cha kujiuliza, sasa hawa wawekezaji wana kosa lipi maana wapo eneo husika kihalali. Pia, yeye anahamasisha ama kuwakaribisha wawekezaji halafu baadaye mnawageuka sijui tuwaelewaje sasa. Mwishowe wataona Serikali yako haiamiki na hawatakuja tena kuwekeza

  Kumbuka hautaishia hilo, pia mtaingia hata kwenye viwanda unavyovisema nchi ndiko inaelekea. Na haya ni madhara ya kufanya hotuba ambazo zinatoka kichwani moja kwa moja bila kuhaririwa na mtu huna karama hiyo.

  Hapo ulipo Mkulu nawewe Utapita tu.
   
 2. A

  Ame JF-Expert Member

  #41
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,352
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Kwaninibwasitafute technology ya kuchimba bila ku disturb mlima? Kama tu kuna under ground tubes, seuze nikel washindwe kui exploit? Wanatafuta super profit at expense of hiyo population inayohitaji maji...By the way ajira ngapi zitaletwa na maji kwenda wilaya tatu in comparison to hiyo ya kuchimba nickel?
   
 3. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #42
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,630
  Likes Received: 1,990
  Trophy Points: 280
  Waulize watu wa Nyamongo na Buzwagi walichoambulia baada ya dhahabu kuchibwa kwao, mahandaki tu...bora nickel yetu ikae chini ya mtungi wa maji hadi tutakapokuwa na viwanda vinavyohitaji hayo nadini!
   
 4. for life

  for life JF-Expert Member

  #43
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 22, 2014
  Messages: 1,298
  Likes Received: 759
  Trophy Points: 280
  Du kuna watu waongo humu mnachukua vinaneno vichache mnapachika das kasema hivi walifanya upembuzi yakinifu wa kutoa maji ziwa Victoria mpaka mkoa wa simiyu sasa ule mlima ni mrefu kwahiyo tank likiwekwa pale maji yataflow yenyewe mji mzima bila ya kutumia pump house nyingi ndio magufuli akasema''haiwezekani watu milioni moja na laki sita wakosema maji kwaajiri ya mwekezaji mmoja hata Mungu tutakuwa tunamkosea akaagiza tank liwekwe ikishindikana mwekezaji asipewe reseni tena au ajenge hilo tank yeye mwenyewe" jamani tusipondee kila kitu ko wew unafurahia watu wote hao wakosemaji kwaajiri ya mwekezaji ambae ataacha mashimo na kwenda zake na hela kibindoni tutumie utu sio kila kitu macho mbele kwenye hela basi apewe mlima awe anawanunulia kilimanjaro kila siku si Anahela!!
   
 5. w

  white wizard JF-Expert Member

  #44
  Jan 11, 2017
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Ungekuwa unajua eneo hilo usingeandika hicho, eneo linalotakiwa kujebgwa hilo tank ni kwenye kilele kabisa cha mlima ambao ndio unatakiwa kuchimbwa hayo madini, na ni eneo la mwekezaji kisheria huwezi ukamlaumu tu!!
   
 6. N

  Ndikwega JF-Expert Member

  #45
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 4,499
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
  Utakubaliana namimi kuwa walimuweka pale ni hao hao, ina maana hawakukujua.
   
 7. N

  Ndikwega JF-Expert Member

  #46
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 4,499
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #47
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,737
  Trophy Points: 280
  mkuu usiangaike nao hao watafurahi hao wananchi wakifa kwa kukosa maji....
   
 9. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #48
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,648
  Likes Received: 4,383
  Trophy Points: 280
  tapatalk_1469899153309.jpeg
   
 10. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #49
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,223
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Unajua huyo jamaa au unabubujika tu. Yaani kati ya watu kupata maji na mtu kuchimba mgodi wee waona bora wachimbe,.. Akili potofu hizi
   
 11. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #50
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,223
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Hamkumkubali kwa kura zenu mtaweza kukubali anachokifanya!? Tulieni mnaemtaka aje kupimana tena nae 2020.
   
 12. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #51
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,823
  Likes Received: 2,765
  Trophy Points: 280
  Yaani huyu jamaa ili mjue akili yake haiko sawa, akifika kwenye kadamnasi huwa anapagawa anaongea kama kasuku. Yaani anaongea kama amekatwa kichwa, hivi unaanzaje kumnyang'anya mwekezaji eneo eti kisa mlima huo kunatakiwa kujengwa tanki la maji? Ina maana maeneo yote hayo mlima upo Ngasamo tu? Mbona Bariadi karibu na gereza huwa naona kama kuna vilima pale si waweke hata hapo? Mbona matanki ya KASHWASSA yako kwenye kilima cha kawaida tu na yanasambaza maji Shinyanga mjini? Hii mimi sikubaliani na huyo injinia eti lazima tuwe na mlima kama kilimanjaro ndo tujenge tanki. Huyu anastahili kutumbuliwa!!!
   
 13. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #52
  Jan 12, 2017
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
   
 14. Ngamanya Kitangalala

  Ngamanya Kitangalala Verified User

  #53
  Jan 12, 2017
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 180
  Yaambie ukweli majinga hayo
  Sijui yanalipwa
  Kumpinga mh Rais kwa kila jambo
  Mwekezaji gani mwenye thamani kuliko wananchi milioni 1.6?
  Tangu tumeanza kuchimba hayo madini tumenufaika na nini?
  Alichoamua leo mh Rais ni sahihi kabisa
  Wananchi kwanza
  Mwekezaji baadae
   
 15. py thon

  py thon JF-Expert Member

  #54
  Jan 12, 2017
  Joined: Sep 11, 2016
  Messages: 2,274
  Likes Received: 3,906
  Trophy Points: 280
  Halafu baadae mnaanza kulalamika na kulaumu madini yenu yanachukuliwa,sijui mnanyonywa ,mara hiki mara kile

  Wa Tz wanafki sana
   
 16. Dan Zwangendaba

  Dan Zwangendaba JF-Expert Member

  #55
  Jan 12, 2017
  Joined: Apr 25, 2014
  Messages: 2,000
  Likes Received: 1,828
  Trophy Points: 280
  Sasa kama hii ndio sababu, kulikuwa na namna nyingi tu za kubatilisha hata bila kujenga bad images kwa prospective investors. Msitetee kila jambo ovu. Nyie mnaona haya rahisi lakini tulioshiriki juhudu za kuleta wawekezaji ndio tunajua maswali tuliokutana nao, mspige nyanga tu hiyo kitu ni threat kwa uhai wa uwekezaji nchini. Ukiona hufaidiki na uwekezaji uliopo kwa udhaifu wa sheria, just badilisha sheria na heshimu sheria. Yeye atakaa miaka 5-10, image mbaya itakayowekwa itakaa mingi huko mbele.

  Tafuta impacts ya nationalization katika kuvutia uwekezaji. Wawekezaji bado wana historia kuwa utafishaji ungeweza kurudi hivyo wamekuwa reluctant kuwekeza katika sakta za uzalishaji. Badala yake wamekuwa wakiwekeza kwenye extractive industries pekee. Kabla hata mate hayajakauka tunakuja kufanya madudu yaleyale ya miaka ya 60. So sad.
   
 17. Dan Zwangendaba

  Dan Zwangendaba JF-Expert Member

  #56
  Jan 12, 2017
  Joined: Apr 25, 2014
  Messages: 2,000
  Likes Received: 1,828
  Trophy Points: 280
  Kwa kifupi namba moja anajua matatizo ya nchi yake lakini hajui sababu (causation) ya matatizo hayo na hivyo hana suluhu ( solution) ya matatizo ya nchi. Unapokuwa huna mkakati wa ndani wa kukuza soko na uwekezaji wa ndani wakati huohuo huna mkakati wa kuvutia wawekezaji wa nje, huna mkakati wa ushirikiano na mataifa yenye teknolojia, utaalam, masoko makubwa na mitaji, kufanikiwa katika uchumi ni suala la alinacha. Timewill tell.
   
 18. Bowie

  Bowie JF-Expert Member

  #57
  Jan 12, 2017
  Joined: Sep 17, 2016
  Messages: 3,053
  Likes Received: 4,094
  Trophy Points: 280
  Rais anaweza ķutengua matumizi ya ardhi kwa matumizi ya huduma kwa jamii. Hivi wananchi wanawezaje kukosa maji kwasababu ya mwekezaji. Mwacheni Mheshimiwa Rais Magufuli arekebishe mambo.
   
 19. W

  Waziri kivuli JF-Expert Member

  #58
  Jan 12, 2017
  Joined: Nov 30, 2016
  Messages: 2,310
  Likes Received: 2,496
  Trophy Points: 280
  Hv unadhanj hakuna alternative ya hilo tank kukaa kwenye eneo la muwekezaji?Kama mradi ni bil 100 basi tujiandae kulipa bil 200,case hii hata wakili kilaza anashinda!
   
 20. Ibambasi

  Ibambasi JF-Expert Member

  #59
  Jan 12, 2017
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 6,624
  Likes Received: 2,442
  Trophy Points: 280
  Dogo tuliza ball hujui lolote hapo
   
 21. Ibambasi

  Ibambasi JF-Expert Member

  #60
  Jan 12, 2017
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 6,624
  Likes Received: 2,442
  Trophy Points: 280
  Dogo tuliza ball acha mihemuko
   
Loading...