BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Janeth alishaona hakuna busara akataka kuinusuru nchi na majanga makubwa ndiyo sababu akagoma kumfanyia kampeni, sasa Watanzania tunaisoma namba bila kujali itikadi zetu.
Ndo maana sifa kuu ya kiongozi ni busara
sababu wanaweza kuja watu kukulilia na machozi..kumbe watu hao wanaolia ndo wezi wakubwa
na waonevu....
Ndo busara inapohitajika
binafsi kiongozi yeyote anaependa kufanya maamuzi kwenye jukwaa huwa namuona 'hamna kitu'
Uongozi ni details details na more details....