Tunataka wawekezaji, mara wanyang'anyeni leseni!

Tunataka wawekezaji, mara wanyang'anyeni leseni!

Kamuulize mamaako kama mie nina akili au laa...

MAMA YANGU NDIYE MAMA YAKO WEWE HIVYO AKUPE JIBU KAMA HAPA NI USA AU LA MAANA UJINGA WENU KILA KINACHOFANYIKA ULAYA KIMETOKA MBINGUNI KAMA NDIVYO TANGAZENI NDOA NA BABA ZENU.
 
Ndo maana sifa kuu ya kiongozi ni busara

sababu wanaweza kuja watu kukulilia na machozi..kumbe watu hao wanaolia ndo wezi wakubwa
na waonevu....

Ndo busara inapohitajika

binafsi kiongozi yeyote anaependa kufanya maamuzi kwenye jukwaa huwa namuona 'hamna kitu'

Uongozi ni details details na more details....
Hapo ndipo mm nimetilia mkazo... maana jamaa ana lack busara kwa kiasi kikubwa sana... hali inayo mpelekea... kukosa uhakika wa nn cha kufanya... na kuishia kuropoka.. akioata hasara anajichimbia.. kimya ! Akiibuka ni kuropoka tena
 
Kazi tunayo
 
kama hafuati taratibu na kanuni na sheria za nchi, unategemea afanywe nn? hapo ni kunyang'anya leseni tu basi haina haja ya kumbembeleza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom