Tunapopangiana kula

Tunapopangiana kula

bora hata hiyo ya kupanga timetable yangu hii hapa chini full majanga
1391508_10201920734642074_942740581_n.jpg

Mkuu hiyo kitu ni noma...............!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hapo ujue kuna ratiba ingine ishapangwa na mwingine huko, jamaa anajaribu kutengeneza convenience of implementation

Haiwezekani kuwe na jambo lingine limesababisha?
 
Kuna kitu ukikitazama vyema utakiona kwenye majibu yako
Ni kitu chema tu cha kujifunza!

Nisaidie kuki point out basi mkuu ili nijifunze!
Miwani yangu imevunjika ujue
 
Dah!
Mkuu inaonekana ukikosa hii makitu unaweza kulia.....LOL!

Yeah wakati wa kozi ya Uhandisi-management course tuliambiwa mahitaji makuu ya binadamu ni manne (Chakula,Malazi,Mavazi na ile kitu-sek-si).
 
Nilikuja kuelezwa hili na dada mmoja ambae nieafiki yangu kama na mimi nalijua hili

Ni kwamba huyu dada mume wake amemuambia kuwa kuanzia jana hawatakuwa wanakutana kimwili bila ya kuwa na ratiba maalum,yaani kama vile ambavyo wanaweza kupanga ratiba ya chakula yaani leo tunakula ngararimu na ijumaa tutakula kiburu basi itakuwa hivyo na kwenye suala la unjumba

Dada huyu ameniambia kuwa hali hiyo haipendi na kwa kuwa ananiheshimu ameamua kuniambia hayo ili kama na mimi nakubaliana nalo ama la

Ki ukweli mimi nilimuambia jambo hilo sidhani kama linafaa kwa kuwa kwa mtazamo wangu wa harakaharaka ni kwamba kulipanga kutalifanya liwe linabore hivi

Kitendo cha kujua kesho nitakula kiburu kunakifanya chakula hicho kipoteze ule "utam" wake wa asili

Nilimueleza umuhimu wa kuliongelea hilo suala kwa upole na mumewe na ajitahidi sana kutokuonesha hasira kwani anahisi mumewe amekuwa na nyumba ndogo

Sasa hebu niambieni nyie mnalionaje suala hili la kupanga ratiba je ni jema au halifai?
Nisingependa tumjadili huyo jamaa kwakuwa sio lengo langu kuleta mada hapa
Lengo langu ni kujaribu kulitazama hili suala la kupanga ratiba ya unyumba kama linafaa ama halifai!

Karibuni nyote......!!!!!!!
Eiyer

Kuna uwezekano kuwa kuna sababu iliyopelekea maamuzi hayo.

Ama moja kazidiwa i.e too much is harmful, au moja anambania sana mwenzake, so the compromise is Ratiba.

Kama walikuwa na mgogoro wa kunyimana huko nyuma au kukosa muda kwa mojawapohuenda wameshauriwa wawe na ratiba. Wakati mwingine hili lina faida wakati mwingine ni changamoto.

Hata hivyo maswala haya ni ya asili na yanatakiwa yaende ki asili asili hivyo hivyo bila ratiba.

Nawatakia Weekend Njema.
 
Last edited by a moderator:
because we want the nature to take its course.........and why should we schedule!!!!!!!!!!!!!!!

cc Crocodiletooth
lakini dada Mbinguni- Duniani asili ya hii kitu ni kwamba tulikuja huku duniani hivyo vyakula vikiwa detached havikuwa attached so this is nature.kuvukutanisha tena bila ratiba ndo siyo nature bana!
 
Back
Top Bottom