Heaven on earth naomba uniambie, 'cha asubuhi' umekijulia wapi, ina maana unalala na mwanaume hadi asubuhi SIKU HIZI?:lying::lying:
Sasa si ukijua leo nakwenda kuliwa unakuwa na mzuka.....LOL!
nitafanya hivyo baadae,tumalizane na hili kwanzaSasa kama unakujaga kule mbona huwa hunistui?
Tayari zimeumana!
Ratiba muhimu eboo!!!!!
Hujambo lakini mama?
mtoto matataa kwani haiwezekani ikawa ni kawaida tu?labda ana wake wawili maana si bure kupangiana hiyo chakula
Cha asubuhi?
Sasa si unaenda kazini ukiwa umechoka?
Kuna wengine wanazisimamia kama baiskeli ......LOL!
mi jambo lolote linalohusiana na mahalat sijui mapenzi!ukishaweka ratiba sheria na maakili meeengi ni booonge la turn off aseee!mambo ya kuoangiana uwe hiv!uje saaa sita na nusu kamili,sijui iwe ni jumatatu kabala ya jua kuzama!ala umekuwa mnajimu wa nyotaaaa?aaaargh
mi sijambo baba!wewe?
ona sasa mpka nimesahau kukusalimia!
asipochafuka atajifunzaj banaaa!Heaven on earth naomba uniambie, 'cha asubuhi' umekijulia wapi, ina maana unalala na mwanaume hadi asubuhi SIKU HIZI?:lying::lying:
Sasa kupanga si muhimu ili ujiandae?
Si unajua zenu zile za "oooh mi sijajiandaa leo"
Utafikiri itawekewa dizel ili iwake ...LoL!
Shauri yako kama hujuiAHAHHAHAHHAHAH!
kuna muda huwa unakuwa chizi wewe!
Hujui kuwa kabla ya kuingia uwanjani inatakiwa upige jaramba kwanza?kujiandaa fine but niambie mapema ninachokataa mimi ni ile habari ya kila siku jumatatu!saa tatu usiku kitandani utaanza kunishika hapa kisha uhamie pale kisha uendelee !aaaaargh!
Hujui kuwa ukijua leo kuna mtihani unajisomea?yani darasani niwe na ratiba za vipindi!
Ratiba ndio utam wenyeweibada kanisani niwe na ratiba ya misa
Hujui sasa si ndio mzuka wenyewe huo unajua kabisa ile hadithi ya kwenye mawio ni mzuka sana na utaisubiria kwa ham?magazeti nijue kuna sani jumatano sijui mawio alhamis na raia mwema jumatano
Utam ni ratiba weye!mpka palkushonari kweli na yenyewe ratibaaaa!
NOPE NOPE NOPE!
why most women rejects sex time table?lets say kila jmosi tunapiga mitungi kiasi then we eat.... ktk chumba chetu kidogo chenye joto kali