Tunapopangiana kula

Tunapopangiana kula

hahaaaaa we na Kaizer mna lenu jambo..........
Mentor ile kitu nimeiona i will get back to U

Mimi na huyu mwizi wa wake za watu hatuna anything in common tafadhali sana ntake radhi.

Concerning that issue, I will be waiting...anza kabisa kuandaa mchakato wa majibu na maelezo yenye upembuzi yakinifu!

Najiuliza kwa nini mandenyi ame like hii post. Mentor una clue?

Shem Kaizer nahisi anakutamani...

Kaizer na mimi sijui ni kipi kimemfanya Mamndenyi agonge like
Mentor akikujibu unifikishie hilo jawabu na mimi
Heaven on earth hebu tumuulize mwenyewe Mamndenyi maana I got no clue whatsoever.:busu
 
Last edited by a moderator:
Shauri yako kama hujui

Hujui kuwa kabla ya kuingia uwanjani inatakiwa upige jaramba kwanza?
Sasa mimi kukurupuka tu siwezi bana

Hujui kuwa ukijua leo kuna mtihani unajisomea?
Sasa nikistukiza tu halafu ukute hata maandalizi hayapo si balaa?

Ratiba ndio utam wenyewe
Unajiandaa kabisa hata kwa fomesheni utakayoitumia uwanjani

Unajua kabisa leo napiga four three two!
Kisha nabadili four four two!

Hujui sasa si ndio mzuka wenyewe huo unajua kabisa ile hadithi ya kwenye mawio ni mzuka sana na utaisubiria kwa ham?

Utam ni ratiba weye!
ah wap!
KITU KIJE NATURALE!
ile kbaaaaah!kitu na boxi!
mambo ya ratiba ratiba utafanya niiweke kwenye diary sasa!
 
asipochafuka atajifunzaj banaaa!
af Kaizer hiv kwanini KAZI ZOOOOOOTE HUWA ZINATAKA UWE NA EXPERIENCE MIAKA MINGIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
HIII YA KUPATA MORNGI GLORY MBONA WATU ALWAYS DO LOOK FOR minors!
NAULIZA TU!
af mekumiss ujue!

Mi pia mekumiss wallah mwl wangu snowhite
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi ya ratiba tena!!!! Dah!!!!! Nomaaa....Naunga mkono jibu lako Ablessed.



Mmmh kazi kweli kweli mapenzi ya ratiba hebu niendelee kusoma comments pengine kuna waliofanikiwa ktk hili. Kama ulivyouliza ratiba inafaa au haifai jibu langu ni HAIFAI lkn kwa aliyepanga pengine yeye anazo sababu zilizomfanya aamue kupanga ratiba. Ushauri wangu kwa bidada amuulize mumewe ratiba kulikoni na kwenye majadiliano anaweza kutoa mtazamo wake ktk hili. Na kama bwana mkubwa akisisitiza ratiba basi akubali kuifuata , si vizuri kupinga kabla ya kujaribu so amwambie wafanye majaribio ikiwekiauti basi waendelee nayo.
 
Last edited by a moderator:
Yeah wakati wa kozi ya Uhandisi-management course tuliambiwa mahitaji makuu ya binadamu ni manne (Chakula,Malazi,Mavazi na ile kitu-sek-si).

What if they were wrong?
 
duuh seriously kuna kitu hakipo sawa ss apo! how goes....... !
 
Mh!
Huko nasikiaga eti wana kitu moja hivi inaitwa limbwata!
CC: Kaunga .....LOL!

Baba Paroko nae anaogopaga hizo mambo?
Umemuita mwenyewe ndugu wa mimi ngoja aje,andaa tu ushahidi kabla hatujakuitia kaka The Boss aje akudunde
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom