britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,063
- 47,032
DuhMpanda,Katavi kuna dhahabu za kutosha na pesa ipo but wamejaa wachina kote huko hata kupata vibali vya kuchimba kama Mzawa ni ngumu..Wamejenga na Airport yao kabisa,wanasafirisha tani za kutosha za Gold..
SAMIA WHAT IS THIS SHIT 💩
Britanicca
Haiwezekani kuiroga serikali nzima iliyoko madarakani mkuu?Tutakapomaliza kugawa kila kitu ndio zitaturudia
Hapana hakuna uchawi wa namna hiyoHaiwezekani kuiroga serikali nzima iliyoko madarakani mkuu?
Ila waTanzania hawana habari na wala hawana uchungu kabisa na nchi yao. Inasikitisha sana. Wao waonge hela ndogo tu wape kushabikia muziki, mpira na ujinga wa kina Mwijaku na uwatishe kuwa wapinzani wanaleta fujo na kutaharibia amanai basi the rest you can do whatever you want ata kama kuchukua kipande cha nchi yao wao sawa tu. Hiyo ndo TanzaniaMpanda,Katavi kuna dhahabu za kutosha na pesa ipo but wamejaa wachina kote huko hata kupata vibali vya kuchimba kama Mzawa ni ngumu..Wamejenga na Airport yao kabisa,wanasafirisha tani za kutosha za Gold..
SAMIA WHAT IS THIS SHIT 💩
Britanicca
Roho ya mangungo aliyeuza ardhi ya Tanganyika kwa wakoloni nadhani ndio waTanzania wa leo wameirithi.Tutakapomaliza kugawa kila kitu ndio zitaturudia
HakikaDuh
Yule ni mashine ya kuchakata pumba.
Hakika kabisaRoho ya mangungo aliyeuza ardhi ya Tanganyika kwa wakoloni nadhani ndio waTanzania wa leo wameirithi.
Yaan tumelala kabisaIla waTanzania hawana habari na wala hawana uchungu kabisa na nchi yao. Inasikitisha sana. Wao waonge hela ndogo tu wape kushabikia muziki, mpira na ujinga wa kina Mwijaku na uwatishe kuwa wapinzani wanaleta fujo na kutaharibia amanai basi the rest you can do whatever you want ata kama kuchukua kipande cha nchi yao wao sawa tu. Hiyo ndo Tanzania
DahTutakapomaliza kugawa kila kitu ndio zitaturudia
Wewe unatuongezea tu msongo wa akili; kana kwamba yaliyopo hayatoshi kuumiza roho za watu.Mpanda,Katavi kuna dhahabu za kutosha na pesa ipo but wamejaa wachina kote huko hata kupata vibali vya kuchimba kama Mzawa ni ngumu..
Wamejenga na Airport yao kabisa,wanasafirisha tani za kutosha za Gold..
SAMIA WHAT IS THIS
Britanicca
Nilitaka nikukumbushe yaliyosemwa na Jambazi mkuu Samia aliyosema huko Kigoma.Ila waTanzania hawana habari na wala hawana uchungu kabisa na nchi yao. Inasikitisha sana. Wao waonge hela ndogo tu wape kushabikia muziki, mpira na ujinga wa kina Mwijaku na uwatishe kuwa wapinzani wanaleta fujo na kutaharibia amanai basi the rest you can do whatever you want ata kama kuchukua kipande cha nchi yao wao sawa tu. Hiyo ndo Tanzania
SanaNoma