Tunaomba update za interview TRA

Tunaomba update za interview TRA

Fani zinazokuacha na ujuzi unaoeleweka ni rahisi kujiajiri kuliko hizi fani zinazokufanya utegemee kuajiriwa, mfano: accounts, procurement, sociology, business administration, economics, statistics, taxation n.k
Na hao ndio wengi wamejaa vitengo vizuri mfano TRA,BoT,
 
Customs officer nafasi si zilikuwa 7 mbona nimeona wameita kazini 8?
 
Hamna cha upendeleo wala nini! Kuna mshikaji nimesoma nae tumemaliza wote, wakati tunaelekea interview Dar tulipanda bus moja, jana katangazwa kweny page za kuitwa kazini...na sio kwamba anahela au ana watu wanao mjua huko utumishi...mtu wa kawaida...juhudi zako tu ndio zitakufikisha unapotaka kuwa.
 
Kila mtu na siri yake,rafiki yako hawezi kukueleza kila kila kitu, siri anayo yeye mwenyewe
 
Interview yangu ya Tatu oral pale utumishi na zote sitoboi. Na sio kua nashindwa kujibu najibu vyema kabisa naamini. Duh ya Mungu Mengi.
 
Dah pole sana,
Wewe unahisi kama kuna 'mchezo' unafanyika ?
 
Hapana siwezi hukumu, kwa kutokupata mimi niseme kuna mchezo wowote Hapana.

Nachoshindwa kuelewa wanaangalia vitu gani na accuracy ya hiyo kunzi data kupata watu kwa ajili ya kazi.
 
Mimi interview zote huwa siziamini,huwa nafanya tu interview hiyo basi tu
 
Back
Top Bottom