Unajua nini kuhusu mafanikio ya usaili wa kuandika kwa alama za juu ila unakosa kazi?

Mar 23, 2023
83
96
JE, KILA MTIHANI NI FURSA YA KUFANIKIWA ?

Nataka uweke hili kwenye akili yako: Unaweza kufaulu Aptitude Test au Written kwa maksi za juu sana kiasi cha kuwa wa kwanza ila ukakosa ajira. Naam!

Najua wengi mnashangaa. Ungana nami ujifunze na uepuke kuwa miongoni mwao.

Is it possible for me to excel in the written interview yet still miss out on a job after the oral interview, despite surpassing others' scores by a significant margin?🤔

Moja ya kitu kinachowashangaza watu sana, hasa wasailiwa, ni pale wanapoona waliiongoza mitihani ya kuandika Sekretariate ya ajira na baada ya usaili wa mahojiano (oral interview) kwenye PDF la ajira, majibu ya waliopata kazi wanawakuta watu waliowapita kwa maksi nyingi, hata kwa tofauti ya zaidi ya 30 kwenye usaili wa kuandika.

Kwa kifupi, hakuna sababu ya moja kwa moja ya wazi kwa nini hili hutokea, lakini mara nyingi wakitoa majina ya waliofaulu, Sekretarieti ya Ajira inasema,

"Wale ambao majina yao hayapo wajue walikosa sifa za kupata kazi hizo, hivyo wasisite kuomba tena zitakapotangazwa."

Sasa, unajiuliza, "Kweli naweza kupata 99% Written halafu nisiwepo kwenye orodha ya kuitwa kazini after oral interview?" Jobu la awali nikwamba mkisha pita written Mnaenda kuanza upya na maksibza oral zinatumika

Mbali na sababu nyingine nyingi zinazosemwa, nimejifunza kitu muhimu: Ukiwa wa kwanza, usibweteke. Yule aliye nyuma yako anapambana kukushusha kwenye usaili wa mahojiano au practical, tena tegemea makubwa. He will come back with a full plan, awareness, and upgrade to make sure he can’t take his chance lightly. It’s like Israel fighting Israeli; never celebrate the victory after attacking their homeland; wait for their comeback. Naam!

Are you adequately preparing for the oral interview, or are you simply complacent because you excelled in the written test?🤔

Watu wengi sana hudharau usaili wa mahojiano au practical, hasa wanapofaulu written exam kwa maksi za juu sana, wakidhani wamekamilisha kila kitu. Lakini, ukweli ni kwamba, usaili wa mahojiano (oral interview) inaweza kuwa changamoto kubwa zaidi in case hujajiandaa na ulisherekea ushindi mapema bila kujua mahasimu wako watakujaje oral.

Kumbuka, maswali ya oral interview hayawi magumu sana, lakini yanakuwa sawa kwa wasailiwa wote na yana marking scheme maalum inayofafanua ni nini kinapaswa kusemwa au kufafanuliwa, na kila swali lina maksi zake.

👉Never underestimate the importance of distinct responses! Providing similar answers or repeating points during the oral interview can cost you dearly. Many have faced setbacks because of this mistake.

Kwa mfano, ukiulizwa swali kama, "Taja majukumu matano ya mwalimu," marking scheme inaonesha ni nini unapaswa kusema (expected answers), na kila pointi inapata maksi maalum. Hivyo, kama swali lilikuwa na maksi 10 na ukataja pointi moja tu, basi jua una maksi chini ya kumi kwa swali hilo. Kama umetaja pointi tano, lakini zote zinafanana, utapata maksi kidogo kwa sababu ya kurudia pointi.

Pia, kama hujajibu swali kabisa, jua unakosa maksi nyingi—it's like failing to intercept a Russian hypersonic missile coming into your military command center. 😁 Kwa mfano, kama swali lina maksi kumi na hujajibu, jua tayari umepoteza kumi. Kwa hivyo, lazima ujipange kujua maswali yanayowezekana na ujiandae nayo vizuri ili akili yako iwe na kasi ya kufanya sorting kwa haraka

Ukiwa umefaulu mitihani ya kuandika kwa maksi kubwa lakini ukaanguka kwenye interview, unaweza kushangaa kuona mtu aliyepata maksi za chini, mfano wewe ulioata 90+ yeye akapata 70%, anapata maksi kubwa kwenye interview na anakupindua. Na wewe uliyeongoza kwenye mitihani ya maandishi unapata maksi za chini kwenye interview as normal as ulibweteka. Mkiingizwa kwenye mfumo, unaweza kujikuta unachujwa na majina yako hayapo kabisa kwenye hata database.

UMUHIMU WA HAIBA NA UMAHIRI WAKO KATIKA USAILI

Kitu kingine cha muhimu kuelewa ni kwamba, usaili wa mahojiano mara nyingi unalenga kupima haiba yako, uwezo, na umahiri. Watu wanapokuona na unavyojielezea, wanapima kama haiba yako inafaa kwa kazi husika. From what I know kwenye issues za recruitment, hata kama una akili sana, lakini haiba yako haifai, kuna uwezekano mkubwa safari yako ikaishia hapo.

Kwa mujibu wa sheria na kanuni za mchakato wa usaili, Sekretarieti ya Ajira inasema hivi:

"Usaili wa mahojiano utafanyika kwa lengo la kupima na kujiridhisha kuhusu uwezo, umahiri, haiba na taarifa za mwombaji wa ajira kulingana na kazi husika."

JE, UNAFAHAMU KAZI YA MWALIMU INAHITAJI NINI?

Kwa hiyo, kama mwalimu, lazima ujue uwezo wako utapimwa wapi, umahiri wako utathibitishwa vipi, na haiba yako inaweza kukufelisha vipi na wapi ujiongeze. Umevaa kata K, maheans kama unaenda stejini unaongea as if utubwa wapi is too risky for destiny if your expectations.

MFAHAMU USHAURI WA MAANDALIZI BORA

Katika kipindi hiki, tumia muda huu kujiandaa. Haijalishi unapenda au hupendi kuajiriwa, kwa mchakato wa usaili tambua kuwa hakuna namna, utapitia tu.

Ingawa baadhi ya watu wanasema hawajiandai mpaka majina yatoke na waone kama jina lao lipo, hiyo ni sawa, lakini nataka kukutoa hofu: Kinachoendeshwa na kanuni na taratibu lazima kiwe na matokeo kulingana nawe kufuata na kutii kanuni hizi. Hivyo hakuna mtu anaweza amua tu husi si mwiti huyu na mwita, ila masharti na kanuni za tangazo ndio mwamuzi; vinginevyo labda makosa.

UMRI NA KIPAUMBELE KATIKA USAILI

Does volunteering experience give you an edge in job applications?

Katika suala la kujitolea au umri wa kumaliza shule, kumekua na mambo mengi watu wakiongea. Baadhi ya watu wanasema waliojitolea watapewa kipaumbele, lakini huo si ukweli. Kila aliye na sifa atalazimika kufanya usaili, na matokeo ya usaili ndio yatakayoamua nani anapata kazi.

Mwisho, kuhusu suala la umri, Sekretarieti ya Ajira inazingatia umri wako baada ya kufaulu usaili tu. Kama kuna nyafasi chache, wanapoangalia mgongano wa maksi kwa kuangalia mambo ya kipaumbele kama ulemavu, jinsia, na umri, na mfaulu, ili kupata mtu anayefaa zaidi kwa nafasi husika.

Niwatakie maandalizi mema.

By Mr. Josephat H
+255656480968
Dar Es Salaam, Tanzania.
 
Na vip kuhusu mda wa kujibu maswali unakuta labda oral ni maswali 7 afu dakika unapewa 15 afu wewe ukatumia mda vizuri ukawa na speed ya kujibu kunatatixo? May be unatumia 7 kuyajibu yote au wanataka ujibu kwa kujivuta vuta?
 
M Szan kama ni fair kumshndanisha mtu mwenye ulemavu na mtu mzma kwenye alama maana kuna wengne wanaulemavu wa akili pia sometimes yes na sometimes no nazan wenye akil wameelewa
 
Na vip kuhusu mda wa kujibu maswali unakuta labda oral ni maswali 7 afu dakika unapewa 15 afu wewe ukatumia mda vizuri ukawa na speed ya kujibu kunatatixo? May be unatumia 7 kuyajibu yote au wanataka ujibu kwa kujivuta vuta?
Akuna shida hapo.
 
JE, KILA MTIHANI NI FURSA YA KUFANIKIWA ?

Nataka uweke hili kwenye akili yako: Unaweza kufaulu Aptitude Test au Written kwa maksi za juu sana kiasi cha kuwa wa kwanza ila ukakosa ajira. Naam!

Najua wengi mnashangaa. Ungana nami ujifunze na uepuke kuwa miongoni mwao.

Is it possible for me to excel in the written interview yet still miss out on a job after the oral interview, despite surpassing others' scores by a significant margin?🤔

Moja ya kitu kinachowashangaza watu sana, hasa wasailiwa, ni pale wanapoona waliiongoza mitihani ya kuandika Sekretariate ya ajira na baada ya usaili wa mahojiano (oral interview) kwenye PDF la ajira, majibu ya waliopata kazi wanawakuta watu waliowapita kwa maksi nyingi, hata kwa tofauti ya zaidi ya 30 kwenye usaili wa kuandika.

Kwa kifupi, hakuna sababu ya moja kwa moja ya wazi kwa nini hili hutokea, lakini mara nyingi wakitoa majina ya waliofaulu, Sekretarieti ya Ajira inasema,

"Wale ambao majina yao hayapo wajue walikosa sifa za kupata kazi hizo, hivyo wasisite kuomba tena zitakapotangazwa."

Sasa, unajiuliza, "Kweli naweza kupata 99% Written halafu nisiwepo kwenye orodha ya kuitwa kazini after oral interview?"

Mbali na sababu nyingine nyingi zinazosemwa, nimejifunza kitu muhimu: Ukiwa wa kwanza, usibweteke. Yule aliye nyuma yako anapambana kukushusha kwenye usaili wa mahojiano au practical, tena tegemea makubwa. He will come back with a full plan, awareness, and upgrade to make sure he can’t take his chance lightly. It’s like Israel fighting Israeli; never celebrate the victory after attacking their homeland; wait for their comeback. Naam!

Are you adequately preparing for the oral interview, or are you simply complacent because you excelled in the written test?🤔

Watu wengi sana hudharau usaili wa mahojiano au practical, hasa wanapofaulu written exam kwa maksi za juu sana, wakidhani wamekamilisha kila kitu. Lakini, ukweli ni kwamba, usaili wa mahojiano (oral interview) inaweza kuwa changamoto kubwa zaidi in case hujajiandaa na ulisherekea ushindi mapema bila kujua mahasimu wako watakujaje oral.

Kumbuka, maswali ya oral interview hayawi magumu sana, lakini yanakuwa sawa kwa wasailiwa wote na yana marking scheme maalum inayofafanua ni nini kinapaswa kusemwa au kufafanuliwa, na kila swali lina maksi zake.

👉Never underestimate the importance of distinct responses! Providing similar answers or repeating points during the oral interview can cost you dearly. Many have faced setbacks because of this mistake.

Kwa mfano, ukiulizwa swali kama, "Taja majukumu matano ya mwalimu," marking scheme inaonesha ni nini unapaswa kusema (expected answers), na kila pointi inapata maksi maalum. Hivyo, kama swali lilikuwa na maksi 10 na ukataja pointi moja tu, basi jua una maksi chini ya kumi kwa swali hilo. Kama umetaja pointi tano, lakini zote zinafanana, utapata maksi kidogo kwa sababu ya kurudia pointi.

Pia, kama hujajibu swali kabisa, jua unakosa maksi nyingi—it's like failing to intercept a Russian hypersonic missile coming into your military command center. 😁 Kwa mfano, kama swali lina maksi kumi na hujajibu, jua tayari umepoteza kumi. Kwa hivyo, lazima ujipange kujua maswali yanayowezekana na ujiandae nayo vizuri ili akili yako iwe na kasi ya kufanya sorting kwa haraka

Ukiwa umefaulu mitihani ya kuandika kwa maksi kubwa lakini ukaanguka kwenye interview, unaweza kushangaa kuona mtu aliyepata maksi za chini, mfano wewe ulioata 90+ yeye akapata 70%, anapata maksi kubwa kwenye interview na anakupindua. Na wewe uliyeongoza kwenye mitihani ya maandishi unapata maksi za chini kwenye interview as normal as ulibweteka. Mkiingizwa kwenye mfumo, unaweza kujikuta unachujwa na majina yako hayapo kabisa kwenye hata database.

UMUHIMU WA HAIBA NA UMAHIRI WAKO KATIKA USAILI

Kitu kingine cha muhimu kuelewa ni kwamba, usaili wa mahojiano mara nyingi unalenga kupima haiba yako, uwezo, na umahiri. Watu wanapokuona na unavyojielezea, wanapima kama haiba yako inafaa kwa kazi husika. From what I know kwenye issues za recruitment, hata kama una akili sana, lakini haiba yako haifai, kuna uwezekano mkubwa safari yako ikaishia hapo.

Kwa mujibu wa sheria na kanuni za mchakato wa usaili, Sekretarieti ya Ajira inasema hivi:

"Usaili wa mahojiano utafanyika kwa lengo la kupima na kujiridhisha kuhusu uwezo, umahiri, haiba na taarifa za mwombaji wa ajira kulingana na kazi husika."

JE, UNAFAHAMU KAZI YA MWALIMU INAHITAJI NINI?

Kwa hiyo, kama mwalimu, lazima ujue uwezo wako utapimwa wapi, umahiri wako utathibitishwa vipi, na haiba yako inaweza kukufelisha vipi na wapi ujiongeze. Umevaa kata K, maheans kama unaenda stejini unaongea as if utubwa wapi is too risky for destiny if your expectations.

MFAHAMU USHAURI WA MAANDALIZI BORA

Katika kipindi hiki, tumia muda huu kujiandaa. Haijalishi unapenda au hupendi kuajiriwa, kwa mchakato wa usaili tambua kuwa hakuna namna, utapitia tu.

Ingawa baadhi ya watu wanasema hawajiandai mpaka majina yatoke na waone kama jina lao lipo, hiyo ni sawa, lakini nataka kukutoa hofu: Kinachoendeshwa na kanuni na taratibu lazima kiwe na matokeo kulingana nawe kufuata na kutii kanuni hizi. Hivyo hakuna mtu anaweza amua tu husi si mwiti huyu na mwita, ila masharti na kanuni za tangazo ndio mwamuzi; vinginevyo labda makosa.

UMRI NA KIPAUMBELE KATIKA USAILI

Does volunteering experience give you an edge in job applications?

Katika suala la kujitolea au umri wa kumaliza shule, kumekua na mambo mengi watu wakiongea. Baadhi ya watu wanasema waliojitolea watapewa kipaumbele, lakini huo si ukweli. Kila aliye na sifa atalazimika kufanya usaili, na matokeo ya usaili ndio yatakayoamua nani anapata kazi.

Mwisho, kuhusu suala la umri, Sekretarieti ya Ajira inazingatia umri wako baada ya kufaulu usaili tu. Kama kuna nyafasi chache, wanapoangalia mgongano wa maksi kwa kuangalia mambo ya kipaumbele kama ulemavu, jinsia, na umri, na mfaulu, ili kupata mtu anayefaa zaidi kwa nafasi husika.

Niwatakie maandalizi mema.

By Mr. Josephat H
+255656480968
Dar Es Salaam, Tanzania.
Nikukumbushe tuu maksi ya written interview yanatumika tu kupunguza watu ndiyo maana wanaita Usaili wa mchujo kwa hiyo hata written ukipata 99% na mwingne akapata 50% mkiingia Oral interview wote mnaanza zero hizo maksi za written unakuta hazina msaada Tena,,,,
 
Nikweli Nikweli.
 
Back
Top Bottom