Haina maana yoyoteNimeona wameweka red Mark's kwa baadhi ya alama kama 35, hii inamaana gani?
Haina maana yoyoteNimeona wameweka red Mark's kwa baadhi ya alama kama 35, hii inamaana gani?
SawaHaina maana yoyote
ok mkuu nashukuru kwa ufafanuzi mzuri sana ila mimi nimeitwa ya tax mgt officer ngoja tukapambane mkuuNi wale tuu sisi tuliotwa kwenye oral na tukafanya vizuri oral ila nafasi ikakosekana hivyo , Kama oral utafanya vizuri basi uwezekano wa jina lako kuwekwa kwenye dat base ni mkubwa,,,Pia unaweza ukawa umefanya vizuri written ila ora ukazinguwa jina lako halikai data base
Note:
1.Data base haizidi majina ishirini kwa interview moja .
2.Na wale tutakao pangiwa kituo cha kazi cha Tunduma pale boarder tukawe makini sana
Tukutane kuchukuwa barua za kireport kazi😎😎😎😎
We usijidanganyeNasikia mshahara wao kama halmashauri tu
Ni laki9 nasikia mkuu! Labda nimedanganywawe usijidanganye
Mkuu vp malupulupu huko yanakuwepo au inakuwajeNi laki9 nasikia mkuu! Labda nimedanganywa
Ha ha ha unamkumbuka yule jamaa wa nyumba70 alikuwa ni kamishna wa forodha na ushuru wa bidhaa,mkuu vp malupulupu huko yanakuwepo au inakuwaje
Hahahahaha,,kumbe ndio malupulupu yenyewe ayo sasa mkuu hizi kazi usipokuwa mwadilifu unaweza kwenda kunyea debe mana dahHa ha ha unamkumbuka yule jamaa wa nyumba70 alikuwa ni kamishna wa forodha na ushuru wa bidhaa,
Malizia mwenyewe Sasa!
Njooni huku chuoni tujifunze ufundi wa kuchomelea, kufyatua matofali, kutengeneza majiko, kushona viatu, kupika vitumbua n.k ili tujiajiri
[/QUOT
mkuu huko ntakuja mana kuna fursa sana nimepiga hesabu ya haraka haraka kuna faida sana
Chuo gani mkuu nije na Mimi?Njooni huku chuoni tujifunze ufundi wa kuchomelea, kufyatua matofali, kutengeneza majiko, kushona viatu, kupika vitumbua n.k ili tujiajiri
Vipo vingi tuChuo gani mkuu nije na Mimi?
Rafiki mambo, mbona kama ulipanic sanaUnasikia wap unatakiwa kwenda kwenye www.ajira.go.tz kama yapo achana na habari za kusikia
, umekua selected?Hawezi kua selected huyo...Rafiki mambo, mbona kama ulipanic sana, umekua selected?
Hawezi kua selected huyo...

naona hasira zake akaamua anihamishie mimi aisee.
Haya ndio yalikuwa maswali kiongozi
3. How do you assess value for import from a Multilateral corporation
4. How do you generate revenue from a bonded warehouse
My take: Hakuna awali nililokuwa nalifahamu kwa usahihi cause ya taaluma yangu ya awali. So, nilichojibu nilitumia akili ya kujiongeza.