Tunaomba update za interview TRA

Tunaomba update za interview TRA

Ingawa ni too personal,kama hutojali,Unilever wanalipaje?
Kwa sasa sifaham coz yaelekea miaka 20 sasa toka nimeachana nao, ila kipindi niko pale binafsi nilikuwa nachukua ndani ya 2 mil. yaan 2 point something
 
Miaka 20 au 2? Maana 20 no
Kwa sasa sifaham coz yaelekea miaka 20 sasa toka nimeachana nao, ila kipindi niko pale binafsi nilikuwa nachukua ndani ya 2 mil. yaan 2 point something
2 au 20? Maana ni 20 inakuwa Kama 2000 hivi
 
Back
Top Bottom