alumn
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 2,370
- 3,165
Mimi interview zote huwa siziamini,huwa nafanya tu interview hiyo basi tu
Mimi naamini na bahat ya mtu tu
Mimi interview zote huwa siziamini,huwa nafanya tu interview hiyo basi tu
Kujuana kupo sana mkuu, tena private sector nyingi hakufai kabisa na nimeacha kabisa kuomba kazi huko private sector.Mimi naamini na bahat ya mtu tu
Kujuana kupo sana mkuu, tena private sector nyingi hakufai kabisa na nimeacha kabisa kuomba kazi huko private sector.
dah kaka pole sana ila na mimi nilifanya oral ya tax mgt officer na nilifanya vzur tu lakin wala sijaitwa kazini lakini tusilalamike kaka tuzidi kuomba mungu ipo day tutapata tu lakini nimejaribu kutafakari kwa kina inawezekana watu wa kanzi data walikuwa wengi ivyo kupelekea kuchukuliwa wengi ni mtizamo wangu tu nduguInterview yangu ya Tatu oral pale utumishi na zote sitoboi. Na sio kua nashindwa kujibu najibu vyema kabisa naamini. Duh ya Mungu Mengi.
dah kaka pole sana ila na mimi nilifanya oral ya tax mgt officer na nilifanya vzur tu lakin wala sijaitwa kazini lakini tusilalamike kaka tuzidi kuomba mungu ipo day tutapata tu lakini nimejaribu kutafakari kwa kina inawezekana watu wa kanzi data walikuwa wengi ivyo kupelekea kuchukuliwa wengi ni mtizamo wangu tu ndugu
usijali kaka tusichoke kuomba mungu ila nasikia sijui mambo ya data base ngoja tuone kama kinachosemwa kipo au lah mana nimejaribu kuwaza na kufikiri kama hicho kitu kipo kweli nasi tuaminiAsante kaka mimi nilifanya custom officer naona wamechukuliwa wanawake wengi
Niliwahi pita UNILEVER miaka hiyo wakat ndio nimeanza life baada ya chuo & kabla ya kuingia serikalini, kiukweli hawa jamaa wanalipa vizuri sana japo kwa TZ wamegawanyika ktk makundi mawili. Kuna wale ambao office yao ipo banda la ngozi - Chang;ombe ambao wanahusika na FMCG na wale wa Iringa ambao wanahusika na zao la chai, na inaonekana wewe wa EXTENSION utakuwa wa Iringa sehemu ambayo sina ufahamu mkubwa nayo, ila kwa ujumla ni moja ya kampuni ambazo zinalipa vizuri sana hapa TZ.Samahani wanajukwaa wenzangu!
Kuna hii Company inaitwa Unilever...yoyote anayejua Salary zao kwa upande wa EXTENSION officer aniambie
Yapi?mimi mwenyewe yalinikuta hayo hayo
Yapi mkuu yalikukutamimi mwenyewe yalinikuta hayo hayo
Yapi hayo mkuu??mimi mwenyewe yalinikuta hayo hayo
Ingawa ni too personal,kama hutojali,Unilever wanalipaje?Niliwahi pita UNILEVER miaka hiyo wakat ndio nimeanza life baada ya chuo & kabla ya kuingia serikalini, kiukweli hawa jamaa wanalipa vizuri sana japo kwa TZ wamegawanyika ktk makundi mawili. Kuna wale ambao office yao ipo banda la ngozi - Chang;ombe ambao wanahusika na FMCG na wale wa Iringa ambao wanahusika na zao la chai, na inaonekana wewe wa EXTENSION utakuwa wa Iringa sehemu ambayo sina ufahamu mkubwa nayo, ila kwa ujumla ni moja ya kampuni ambazo zinalipa vizuri sana hapa TZ.
Mkuu hzo post za tasac vipi? Lini mnaachiaYanatoka kati ya leo au kesho kuweni wapole...ila watu mmeharibu kinoma...sijui vijana wa siku hizi kichwani kuna nini!

Mwenye ufahamu tafadhali na anijuze hapa.
Iwapo ukiwa umefaulu na kuhifadhiwa kunzidata je? Husubiri au wote walio katika kunzidata hupatiwa kazi kila zikipatikana au kuna mda wanaondoa hayo majina kama kazi hazijapatikana? Let say a year?
Una kadi ya CCM?
Majina hukaa kwenye kanzi data kwa muda wa miezi nane baada ya hapo hujifuta automaticallyMwenye ufahamu tafadhali na anijuze hapa.
Iwapo ukiwa umefaulu na kuhifadhiwa kunzidata je? Husubiri au wote walio katika kunzidata hupatiwa kazi kila zikipatikana au kuna mda wanaondoa hayo majina kama kazi hazijapatikana? Let say a year?
Dah ukweli wa Mungu kulingana na course nliyo soma hakuna swali ambalo ningeweza kujibu