Tunaomba update za interview TRA

Tunaomba update za interview TRA

If 210 selected for oral interview out of 3954 candidates, and only 7 needed to be hired, reserving more in data base is likely to happen . Just my opinions.
yes na ukiwekwa database hua wanakupangia tu kazi yeyote inayoendana na degree yako
 
Mnadhani database itabeba kila mtu anayeattempt written...ukifika stage ya oral hapo sawa...na uwe una scores kubwa za kushawishi wakuweke huko...
 
Mnadhani database itabeba kila mtu anayeattempt written...ukifika stage ya oral hapo sawa...na uwe una scores kubwa za kushawishi wakuweke huko...
sio lazima score kubwa ,ue umepata marks 50 kuendelea
 
yes na ukiwekwa database hua wanakupangia tu kazi yeyote inayoendana na degree yako
naomba niulize swali, hivi ambao wanawekwa kwenye data base ni wale waliochaguliwa kuingia oral au ambao wameshafanyiwa oral interview alafu wakachaguliwa ila nafasi izo 7 mfano kwenye custom zimejaa so lakini wapo waliofanya vizuri ila hawajapangiwa kazi, naomba ufafanuzi tafadhali mkuu
 
Nimeona wameweka red Mark's kwa baadhi ya alama kama 35, hii inamaana gani?
 
naomba niulize swali, hivi ambao wanawekwa kwenye data base ni wale waliochaguliwa kuingia oral au ambao wameshafanyiwa oral interview alafu wakachaguliwa ila nafasi izo 7 mfano kwenye custom zimejaa so lakini wapo waliofanya vizuri ila hawajapangiwa kazi, naomba ufafanuzi tafadhali mkuu
Ni wale tuu sisi tuliotwa kwenye oral na tukafanya vizuri oral ila nafasi ikakosekana hivyo , Kama oral utafanya vizuri basi uwezekano wa jina lako kuwekwa kwenye dat base ni mkubwa,,,Pia unaweza ukawa umefanya vizuri written ila ora ukazinguwa jina lako halikai data base

Note:
1.Data base haizidi majina ishirini kwa interview moja .
2.Na wale tutakao pangiwa kituo cha kazi cha Tunduma pale boarder tukawe makini sana

Tukutane kuchukuwa barua za kireport kazi😎😎😎😎
 
Back
Top Bottom