Tunaomba Ripoti ya CHAI DEI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunaomba Ripoti ya CHAI DEI

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Washawasha, Feb 6, 2011.

 1. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Habari zenu wanajamvi wenzangu mlioshiriki na msio shiriki siku hii ya Chai day.
  Binafsi sikubahatika kuwepo ktk hafla hii basi cc wote ambao hatukushiriki tunaomba wale walishiriki watudokeze mambo yalikuwaje ktk cku hii,
  Tutashukuru.
   
 2. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  subiri inakuja,main agenda ilikuwa:
  1 commitment
  2 transparency
  3.how to formalize kilimo
  4.kila prospective member awe na shamba at least 5acres near dar
  subiri utapata adidu za rejea
   
 3. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Imetulia na imekaa vzuri ngoja tuisubiri
   
 4. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  pole sana mkuu!!
   
Loading...