theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,732
Bila shaka utakuwa umesoma biology kama mimi...Wengine tulisoma BAM na GS.
Bila shaka utakuwa umesoma biology kama mimi...Wengine tulisoma BAM na GS.
Hapo kwenye kumeza ndo changamoto sasaMambo ya kukunjua nyoka aisee...
Nilisoma BAM ila nilipata tabu sana, yaani mathematics sijawahi ielewa kabisa...
Mimi niletee mambo ya kumeza akina Biology, Chemia yaani unakula handout hadi unafurahi...
Kabisa mkuuHapo warembo wote wanakaa pembeni
Ukisikia Home of Engineerz ndo hapo unasoma mpaka unafuka moshiHiyo ni kweli tupu. Na kwa bahati mbaya,ukiwa DIT kwa mfano,matumizi ya hesabu hizo unakutana nayo hapo hapo. Kwa mfano,kwenye masomo ya Strength of Materials,kwenye First and Second Moment of Inertia nk,bila kujua hizo dx or dy ili kupata xtreme fibre points kama zile Modulus,Y and X Bar(Centroid and centroidal axis perpendicular distances) perpendicular to X or Y Axis,ndugu yangu lazima ubebeshwe virago kwa Supplementary na discontinuation.
Zipo linear equations pia.Wale wa Linear Algebra tunapita wapi ?
Huwa nikipitia pitia mavitabu yangu nasema kweli kaz ilikuwepoKabisa mkuu
Yale madude sio lelemama
Aise pharmacokinetic ya pharmacology & toxicoligy au kuna nyingine...Mimi niliyasoma kwenye Addition mathematics, nikaja kuyasoma kwenye BAM nikawa nateleza tu.
Chuoni nikakutana nayo kwenye Pharmacokinetics
Za form one kabisa hizoZipo linear equations pia.
Hiyo inaitwa "homogenized".When you differentiate constant the ans is zero.!!!
Hayo mengine manyoka nyoka hata sikuwahi kuyaelewa.
Basics.Za form one kabisa hizo
Mimi nikiamua kupitia labda Clinical Pharmacology au Therapeutics, mengine nilikuwa nikifaulu tu natupitilia mbali materials yakeHuwa nikipitia pitia mavitabu yangu nasema kweli kaz ilikuwepo
Kumbe upo hapa Pugu boy(Pondi boy) mwenzanguEGM pale PUGU (Peoples Usually Go University) .Kila weekend mwendo wa kwenda kula Pindi Kule Kibaha sec kwa washkaji zangu akina Makoye,mwendo wa kukesha bweni la mwisho Nyanza!. Daah kweli zama zimezama.
Mambo ya Os carpi radialeNiko hapa mzee mwenzangu ngoja tusubiri ubao wetu wa kucomment
Hakuna topic rahisi kama hizo...Wakuu
Mm nilisoma PCM Tabora boys 2005-2007.
Nilikula sana integral na differential equations.
Wewe je?
Zipo 2.Aise pharmacokinetic ya pharmacology & toxicoligy au kuna nyingine...
Nakumbuka mbali sana...
Labda kwa level ya chini kama F6,ila kwenye Engineering(CoET,DIT) ambapo ni application ya hayo mavitu,ni noma sana.Hakuna topic rahisi kama hizo...
Maana Integration ni kinyume tu cha Differentiation.... then Differential Equations ni applications zake tu....
Mi nimepiga hizo mambo 2008...EGM
Nilipokwaa karai langu la Anatomy nikayatupilia mbali manotes yake hukoMambo ya Os carpi radiale
Mi niliisoma mpaka f6.. sikuona ugumu wake! Najua huko mbele iko advanced sana... alafu kuna mtu anakuja hapa anauliza eti inakusaidia nini kwenye maisha yako [emoji3][emoji3]Labda kwa level ya chini kama F6,ila kwenye Engineering(CoET,DIT) ambapo ni application ya hayo mavitu,ni noma sana.