Elimu yetu ndio inatuangusha, haithaminiki kabisa na wazungu, wanajua ni ya kubumba na magumashi
lakini kazi zipo nyingi kama kwenye Nursing..
Wakenya tunaobishana nao kila siku kwenye mambo ya kipuuzi, wako mbali sana na elimu yao inathaminika duniani, hata Wazimbabwe ambao tunaona nchi yao imekufa lakini wanakuja kikazi UK kila siku....
BENEFITS Salary band £24,907-£30,615 Refund of visa fee & flight ticket Free transport from the airport to your accommodation Free accommodation for 2 months Free certificate of sponsorship Refund the cost of NMC application Refund of academic IELTS/OET Free OSCE fee Free OSCE training...
www.nursingjobsuk.co.uk