Tunaoenda interview za TRA tukutane

Tunaoenda interview za TRA tukutane

Hii interview mizinguo tuu. Nilienda ya Auditing swali la kwanza tuu mambo ya GDP, maswali yapo matano tena na vipengele kabisa muda lisaa. Nilifeli pepa kabla sijaanza kulijibu. Mwisho wa siku nikaambulia 34. Hii ya sasa hivi nimeona nisiendelee kuchoma nauli na hela ya lodge. Kusoma sio kazi kazi kutafuta ajira. Nilifanya interview na mtu aliyemaliza UDOM mwaka 2014.
Bora hukuchoma nauli,kumbe kitu kilikua kwa hewa kitambo tu.

 
Karibu usikose kufika chako ni chako mkuu
 
,
JamiiForums-240938180.jpg
 
Hahahahah hio ndio bongo nyoso balaa[emoji28][emoji23][emoji23] unaenda interview ya marketing executive unaulizwa maswali ya Logarithm na Algebraic Equation! Ni kipigo tu ukitoka hapo unajisemea tu fami lilahi [emoji28]
Dah, nimecheka ila hali ni mbaya saaaana kmmmk [emoji1787]
 
Back
Top Bottom