Mliohudhuria interview ya Customs Officer UDOM tujuane

goroko77

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
8,528
12,121
Wakuu kwema wale walioingia interview leo alfajiri UDOM ya Customs Officer.

Hiyo paper imekaaje wakuu? Ajira tutapata wapi kama maswali na muda ndio huo.

Dah sijui yaani manake navurugwa nauli nimemaliza akiba imekata hatari tupu

Tupeane connection wakuu
 
Mbaga Jr

JF-Expert Member
May 28, 2018
13,060
24,178
Kuna uzi fulani watu waliokuwa wanaenda UDOM kwa ajili ya interview wengi wao walikuwa wanaulizia sehemu za kula bata, sehemu za malaya na clubs, sasa kama na ww ulikuwa mmoja wao bc Natanguliza pole zangu za dhati kwako.
 
prakatatumba

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
1,328
188
Wakuu kwema wale walioingia interview leo alfajiri udom ya Customs Officer.

Hyo paper imekaaje wakuu? Ajira tutapata wapi Kama maswali na muda ndio huo.

Dah cjuj yaani mnk nafurugwa naulinimemaliza akiba imekata hatari tupu

Tupeane connection wakuu
Wamewauliza maswali gani?
Ll
 
Navy seal soldier

Senior Member
Oct 6, 2019
143
264
Wakuu kwema wale walioingia interview leo alfajiri udom ya Customs Officer.

Hyo paper imekaaje wakuu? Ajira tutapata wapi Kama maswali na muda ndio huo.

Dah cjuj yaani mnk nafurugwa naulinimemaliza akiba imekata hatari tupu

Tupeane connection wakuu
Daah paper ya Leo ni noma noma mda finyu kichizi yan ile kufumba na kufumbua Nasikia 5 minutes to time
 
Muamu3

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,712
4,391
Izo paper jiandae kisaikolojia ungepitia baadhi ya nyuzi humu jamii forum kuna wana wameeleza mi nilijiandaa kabisa na muda maana kuna point nilisikia eti dk 45 ila kwa vile wao wanataka mfeli wanakusanya dk 40 mi nilimalkza kabla ya aroboini nikakusanya haikuwa ngum wengi hawakumaliza ilikuwa mwaka jana

Kifupi mjiandae kisailojia siku nyingine
 
Navy seal soldier

Senior Member
Oct 6, 2019
143
264
Izo paper jiandae kisaikolojia ungepitia baadhi ya nyuzi humu jamii forum kuna wana wameeleza mi nilijiandaa kabisa na muda maana kuna point nilisikia eti dk 45 ila kwa vile wao wanataka mfeli wanakusanya dk 40 mi nilimalkza kabla ya aroboini nikakusanya haikuwa ngum wengi hawakumaliza ilikuwa mwaka jana

Kifupi mjiandae kisailojia siku nyingine
Vip mkuu ulipiga ngap written?
 
Myangu

JF-Expert Member
Dec 15, 2012
6,036
7,239
Amini mzee pepa ya tax kuna watu walikua nayo haya maisha sio fair kabisa
Sasa kwanini wawape paper wkt kuna watu wao aibu, dogo alinambia hakuingia kwenye paper mpk Lily aliyekuw huko saba saba afike ndiyo mzigo ukafunguliwa
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
15,065
36,471
Izo paper jiandae kisaikolojia ungepitia baadhi ya nyuzi humu jamii forum kuna wana wameeleza mi nilijiandaa kabisa na muda maana kuna point nilisikia eti dk 45 ila kwa vile wao wanataka mfeli wanakusanya dk 40 mi nilimalkza kabla ya aroboini nikakusanya haikuwa ngum wengi hawakumaliza ilikuwa mwaka jana

Kifupi mjiandae kisailojia siku nyingine
Hukupata pepa Kama wenzako?

Shakir

JF-Expert Member
Jul 31, 2012
1,236
1,257
Wakuu kwema wale walioingia interview leo alfajiri udom ya Customs Officer.

Hyo paper imekaaje wakuu? Ajira tutapata wapi Kama maswali na muda ndio huo.

Dah cjuj yaani mnk nafurugwa naulinimemaliza akiba imekata hatari tupu

Tupeane connection wakuu
Mkuu ulikua Hall lipi?
Edu Theater, Library, Social au?
 
Muamu3

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,712
4,391
Hukupata pepa Kama wenzako?

Izo ishu za kuvuja paper ndo nasikia kwenu mara ya kwanza mi nilienda mda watu wanaingia sijui chochote hall pale duce watu kibao mwaka jana

Mi siamini izo mambo since nasoma o level
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
15,065
36,471
Izo ishu za kuvuja paper ndo nasikia kwenu mara ya kwanza mi nilienda mda watu wanaingia sijui chochote hall pale duce watu kibao mwaka jana

Mi siamini izo mambo since nasoma o level
Endelea kuamini hivyo hivyo,ndio ponea yako hio.
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom