Tunaoenda interview za TRA tukutane

Tunaoenda interview za TRA tukutane

Sasa tukiwatakia wote kila la kheri ni Unafki.

Mpo wengi sana na wapo watakaokosa tu lazima.

Mliojiandaa vya kutosha, Mungu akawapiganie. Asikuambie mtu, kuajiriwa ni raha, haswa katika taasisi zinazolipa vema.
Tuwape moyo tu maana inatia hamasa ila kimsingi odds za kukosa ni 99.5% za kupata ni 0.5% kwa kila position! Hii ni kwa wasio na connection kabisa. Anayepata ni Mungu tu hapo juu anakuwa amemkunia nazi!
 
Ni watu 9702 to be exact...halafu mnagombania nafasi 8. Hapo kuna watu 964 watarudi kuendelea na msoto mtaani. Unemployment rate ni kubwa sana.Sijui tutajikwamua vipi kutoka hapo....ratio ya job creation ni ndogo kuliko idadi ya wanaohitimu.
Kuna mambo inabidi mtu ucheke tu yani😅
 
Ingia chumba cha usaili kama umekuja kusaini mkataba wa kazi, yaani jiamini kuwa hii kazi unaipata
Jibu maswali kwa kirefu hata kama jibu lilitakiwa kuwa ndio au hapana
Sikiliza maswali kwa makini na ujibu kwa ufasaha na acha lugha za mtaani, kama ni kiswahili kinatumika, tumia kiswahili fasaha.
Kama ni kiingereza kinatumika, hapo ni homework yako, sina ushauri zaidi, maana kama lugha ni ngumu basi usaili tayari ni mgumu.

Pia tumia nafasi hii kama somo hata kama hukufanikiwa ili wakati mwingine ujiandae vizuri
Natumaini hizi nafasi zitatolewa kwa haki sio kwamba wanajua tayari nani kapata kazi kwa kutumia "koneksheni"
Kila la heri....
Hayo uliyoshauri yalitumika enzi za Zama za mawe za kale.

Madogo walienda kwny mtihani wa auditing wakakutana na maswali ya Economics ya kutafuta GDP,GNP,RNP,Per capital income etc.Hayo sijui yanahusikaje na Auditing.
 
Salam..

Wale tuliochaguliwa kwenda kwa usaili wa nafasi za TRA dodoma tupeane updates.

Kama unapossible tushtuane.

Tukifika Dom pia tuambiane bata zinakuwa wapi.

Dom inaenda kujazwa kwa muda kidogo kuanzia leo watoto wakali watakuwepo.

Hadi sasa sijabahatika kupata nafasi ya sehemu ya kulala.
Bata?😄😄😄 Mwanangu we ukitoka zako kwny pepa Kama umefikia lodge pitia zako stand ya mabus direct kata tiketi Rudi zako mkoani jmos hio hio Kama mkoa Ni wa jirani usisubiri mpk J4 mtapopewa majibu ya oral maana utachoma hela ya lodge+Bata halafu tokeo manyoya.

Niamini Mimi.
 
Hayo uliyoshauri yalitumika enzi za Zama za mawe za kale.

Madogo walienda kwny mtihani wa auditing wakakutana na maswali ya Economics ya kutafuta DDP,GNP,RNP,Per capital income etc.Hayo sijui yanahusikaje na Auditing.
Kwa nchi ninayoishi, kuuliza watu maswali ya masomo kwenye usaili, ilitumika hizo zama za mawe.

Na hata hapo ilikuwa wana watu wao tayari, hayo maswali yalikuwa ni changa la macho ili kila anayetoka kwenye usaili anakuwa ameshakubali yaishe.
 
Sasa tukiwatakia wote kila la kheri ni Unafki.

Mpo wengi sana na wapo watakaokosa tu lazima.

Mliojiandaa vya kutosha, Mungu akawapiganie. Asikuambie mtu, kuajiriwa ni raha, haswa katika taasisi zinazolipa vema.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni watu 9702 to be exact...halafu mnagombania nafasi 8. Hapo kuna watu 964 watarudi kuendelea na msoto mtaani. Unemployment rate ni kubwa sana.Sijui tutajikwamua vipi kutoka hapo....ratio ya job creation ni ndogo kuliko idadi ya wanaohitimu.
Kwakweli mkuu..
Hivi graduates wetu wangekua na viwango wangechangamkia ajira hata nchi nyingine.kuliko kubanana hapa
 
Bata?😄😄😄 Mwanangu we ukitoka zako kwny pepa Kama umefikia lodge pitia zako stand ya mabus direct kata tiketi Rudi zako mkoani jmos hio hio Kama mkoa Ni wa jirani usisubiri mpk J4 mtapopewa majibu ya oral maana utachoma hela ya lodge+Bata halafu tokeo manyoya.

Niamini Mimi.
Jamaa anaulizia bata atakuwa na maisha tayari hio kazi haitafutii kwa njaa njaa😅😅😅 sema ushauri mzuri kama ana mitikasi yake alipotoka bora asepe tu, hio ratio ni probability mkuu mie ile ya TPB tu ya watu 58 nilikosaga kumniner!
 
Huyo ndio mmbongo [emoji28] af utegemee productivity humo ndio maana wajasiriamali ma Don hujaza ngozi nyeupe tu kwenye zile top positions
Yaani yeye kwende Dodoma kwenye huo usaili tayari ameona ni safari ya kula bata na kukutana na totoz..hivi hawa mademu na hizo bata si zipo kila sehemu?..

Amenishangaza sana huyu jamaa.

Sema bongo miaka 5 tena ijayo aisee hali itakuwa sio poa..yaani wanahitajika watu 8 walioitwa kwenye interview watu 9000+..Dooh.
 
Back
Top Bottom