Tunaoenda interview za TRA tukutane

wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
3,984
4,131
Salam..

Wale tuliochaguliwa kwenda kwa usaili wa nafasi za TRA dodoma tupeane updates.

Kama unapossible tushtuane.

Tukifika Dom pia tuambiane bata zinakuwa wapi.

Dom inaenda kujazwa kwa muda kidogo kuanzia leo watoto wakali watakuwepo.

Hadi sasa sijabahatika kupata nafasi ya sehemu ya kulala.
 
Ingia chumba cha usaili kama umekuja kusaini mkataba wa kazi, yaani jiamini kuwa hii kazi unaipata
Jibu maswali kwa kirefu hata kama jibu lilitakiwa kuwa ndio au hapana
Sikiliza maswali kwa makini na ujibu kwa ufasaha na acha lugha za mtaani, kama ni kiswahili kinatumika, tumia kiswahili fasaha.
Kama ni kiingereza kinatumika, hapo ni homework yako, sina ushauri zaidi, maana kama lugha ni ngumu basi usaili tayari ni mgumu.

Pia tumia nafasi hii kama somo hata kama hukufanikiwa ili wakati mwingine ujiandae vizuri
Natumaini hizi nafasi zitatolewa kwa haki sio kwamba wanajua tayari nani kapata kazi kwa kutumia "koneksheni"
Kila la heri....
 
Utawaambia nini wasomi wa kukariri wakakuelewa
 
Back
Top Bottom