Tunaodate na wanaume ambao hawajatusua bado

Tunaodate na wanaume ambao hawajatusua bado

Nimetoa ushauri kwa upole na umakini nikijua nimefanya jambo la maana.

Hapo hapo wazo likanijia nikasema ngoja niangalie hekima ya huyu mleta mada, nikashangaa nimenyweshwa chai bila kutarajia
hahaaa lakini bado hujatoka kwenye mstari wahekima maana hiyo linki uliyomuwekea nikielelezo tosha chakum kumbusha mtoa mada kuwa aache uwongo ""
kama anatuongea kwa mambo madogo kama haya ..hali ikovipi huko majumbani kwao anapoishi ''"

bado umesimamia misingi ya upole na umakini mkuu "" ingekuwa umetoka nje ya umakini endapo ungekubali kuiamini hiyo chai
 
Mtuvumilie tu
 

Attachments

  • _IMG_1478108661310.jpg
    _IMG_1478108661310.jpg
    26.1 KB · Views: 37
Kwani zamani nilikwambia nilikua wa bei gani?? Enewei bei yangu inategemea unapata utamu kwa kuingizwa dildo aina gani, eiza ya mbao manual au ya umeme
Hahaha,we ulisema Sasa Hivi unataka wanaume wanaokupa Pesa,Sasa nimekupa offer Hutaki. Unaleta Kejeli tena,we Sema sh.ngapi unataka?nije nile hiyo papuchi!
 
hao unaotembea nao ndio saizi yako binti..wewe kiuno kidogo unataka pensi ya Pepe Kalle??

Eti wanakushawishi..nani akushawishi wewe wakati hufanani na thamani dollar??

Hapo huna kazi wala kujishughulisha na chochote umekaa kama katoinyo ndani unasubiri mwanaume afanikiwe..rubbish kabisa!!

Wanawake kama wewe ni mzigo sana..na mwanaume atakaekuoa wewe hana akili kabisa..!!na ninakuhakikishia jamaa uyo akitusua hawezi oa mwanamke mzigo kama wewe..empty set kabisa
Duuh, O.P
 
jamani naombe mtupe moyo na maneno ya faraja ili kuvumilia changamoto kwa sisi ambao tunadate na wanaume ambao hawajatusua bado.

wa kwangu nimemaliza nae chuo,wote tunasaka ajira na pia tunaangalia na upande wa pili.

kuna wakati kama mwanamke unapata vishawishi kutoka kwa wanaume wenye pesa zao lakini unapiga moyo konde tu na kusali mana ukimwangalia mwenzako ndo hivo unampenda na kanafsi kanakusuta flani ukiwaza kufanya hivo.

wakati mwingine unakaa na kuwaza mh isije kua nakosa bahati

pia unaweza skia shuhuda za wanaume kibao walokuja kuwatenda wanawake zao baada kupata vijifedha kidogo.

nb: simanishi kwamba ni tegemezi no ila unakuta wote mmechalala maskini ya Mungu hakuna hata wa kumpiga tafu mwenzie

pia kwa mwenye shuhuda aweke hapa, ambae alimvumilia mwanaume wake since hana kitu na wakaend up pamoja as mke na mume hadi leo
Mimi na wife tulianza hata degrees Hakuna sasa hivi tuna madegrees na tumejiajiri na tumetusua. ila cha kujua marafiki WA mwanamke kuna wakati inafikia mpaka wanamuunganishia mwenzao Kwa vidume vilivyotusua, ni akili kichwani, Kama mnafight mtatusua tu, it's just a matter of time. Kuna ambao waliwaacha wanaume wao, halafu jamaa wakatusua na wanna vyombo vingine, sasa hivi majuto ni mjukuu.
 
Mapenzi ya dhati yapo moyoni na wala sio kwenye pesa.

Naomba ubaki na huo msimamo wako, hakika hutojutia hapo baadae..

==================
UPDATES

Nimeamua kufukua makaburi yako nimekuta hii mada Sitongozwi, nini tatizo?

Kwa nini usiwe mkweli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Hahaha,we ulisema Sasa Hivi unataka wanaume wanaokupa Pesa,Sasa nimekupa offer Hutaki. Unaleta Kejeli tena,we Sema sh.ngapi unataka?nije nile hiyo papuchi!
Tatizo lako unawashwa huko wapi niliwahi kusema nataka wanaume wanaonipa pesa kama sio kuwashwawashwa kwako kijana?? Offer yako sijaikataa nimekuuliza ili ujisikie utamu unapendelea kusindikwa na dildo ya mbao ya manual au ile ya umeme [emoji2]
 
Endelea kupiga moyo konde

Akija kutusua anavuta mtoto mkaleee
 
Wewe ndo umpe mwanamme wako moyo wa kukazana na kupigani ili mtoke.

Usidhani kutaka vitu vya gharama uonekane dada wa mjini kutampa moyo apigane, hapana. Anza kijibiashara chako, no matter how small. Show him that you too can bring something to the table.

Support him, pray with him. Kidogo mnachopata, save it and put in into use. Be good to him, be kind raise his spirits when he is feeling down.
 
Vumuilia tu ...mm nimeshuhudia kwa bro angu alipata mtoto toka form 2 wameoana mwaka juz saiv wana watto wawil
 
Wewe ndo umpe mwanamme wako moyo wa kukazana na kupigani ili mtoke.

Usidhani kutaka vitu vya gharama uonekane dada wa mjini kutampa moyo apigane, hapana. Anza kijibiashara chako, no matter how small. Show him that you too can bring something to the table.

Support him, pray with him. Kidogo mnachopata, save it and put in into use. Be good to him, be kind raise his spirits when he is feeling down.
mtoa mada unaweza kuanzia hapa
 
hii situation ilinikuta mim na niliachwa na dem wangu tuliodum kwa 4 yrs,after chuo hali ilikua mbaya sana,mi sina mia nayeye hana mia,alipopata ajira ,mizengwe ikaanza mwisho wa siku tukaachana,
Ila kwasasa nikwamba analilia turudiane anasema hajapenda tena toka aachane namim,aliokutana nao wote na hali zao nzur lakin roho yake haiko kwao,na hana furaha kabsa,ameamin pesa si kitu.yuko nao bas tu.ila kiukwel akil yake yote iko kwangu,na amegundua alikua na furaha sana kipind yuko na mim na umaskin ule
N.b,.mim niko vzur nw,na anayaona mafanikio yangu,..
 
Tatizo lako unawashwa huko wapi niliwahi kusema nataka wanaume wanaonipa pesa kama sio kuwashwawashwa kwako kijana?? Offer yako sijaikataa nimekuuliza ili ujisikie utamu unapendelea kusindikwa na dildo ya mbao ya manual au ile ya umeme [emoji2]
Nitake radhi wewe Mwanamke,ungejua unaongea na nani?usinge nitusi kiasi hicho,Anyway nilikuwa na kuchallenge tu,wewe ulisema Sasa huwezi kumvumilia mwanaume asiyekuwa na pesa,its Means Sasa hivi wewe unaangalia mwanaume mwenye pesa tu,
Ndio maana nimekuuliza tsh.ngapi?,coz mapenzi si pesa na kama unaangalia pesa tu its means unauza mwili wako!
 
Back
Top Bottom