Tunaodate na wanaume ambao hawajatusua bado

Tunaodate na wanaume ambao hawajatusua bado

Nilidate na mwanaume asiye na pesa wala kazi 3 years alivyopata ikawa mwiba kwangu miezi6 tu mahusiano yakavunjika sitarudia tena hilo kosa kamwe.

Nahis wewe unaweza rudia kosa ..... m ndo sitak hata mazoea nao !!! If money meets money wacha nizitafute kwanza hizo pesa
 
jamani naombe mtupe moyo na maneno ya faraja ili kuvumilia changamoto kwa sisi ambao tunadate na wanaume ambao hawajatusua bado.

wa kwangu nimemaliza nae chuo,wote tunasaka ajira na pia tunaangalia na upande wa pili.

kuna wakati kama mwanamke unapata vishawishi kutoka kwa wanaume wenye pesa zao lakini unapiga moyo konde tu na kusali mana ukimwangalia mwenzako ndo hivo unampenda na kanafsi kanakusuta flani ukiwaza kufanya hivo.

wakati mwingine unakaa na kuwaza mh isije kua nakosa bahati

pia unaweza skia shuhuda za wanaume kibao walokuja kuwatenda wanawake zao baada kupata vijifedha kidogo.

nb: simanishi kwamba ni tegemezi no ila unakuta wote mmechalala maskini ya Mungu hakuna hata wa kumpiga tafu mwenzie

pia kwa mwenye shuhuda aweke hapa, ambae alimvumilia mwanaume wake since hana kitu na wakaend up pamoja as mke na mume hadi leo
Basi msaliti maana hamchelew nyiee
 
Mpekuzi..eeeeh

Sasa si atakuwa ameshaoga maji ya baharini kama alivyoandika.. tangu aandike hayo Aug '17. Now labda atakuwa amekutana na aliyemaliza nae chuo baada na wamekuwa sasa ni wapenzi.. au aliandika zaidi ndani ya uzi wake?


Mambo dada
 
Nahis wewe unaweza rudia kosa ..... m ndo sitak hata mazoea nao !!! If money meets money wacha nizitafute kwanza hizo pesa
Haitatokea kamwe acha wakusema waseme malaya anajiuza lakini hapana kwakweli wakipata hao huwaga ni shidaaa
 
Mapenzi ya dhati yapo moyoni na wala sio kwenye pesa.

Naomba ubaki na huo msimamo wako, hakika hutojutia hapo baadae..

==================
UPDATES

Nimeamua kufukua makaburi yako nimekuta hii mada Sitongozwi, nini tatizo?

Kwa nini usiwe mkweli?
Aiseee
kwahiyo umeshamdukua faster duuhh Jf hapana aiseee..
 
OK,kwa hiyo Sasa Hivi Bei yako Shilingi ngapi?,Nitakupa Laki 5 nakuhitaji Kwa Usiku Mmoja Unipe. Utamu,vipi Uko tayari?
Kwani zamani nilikwambia nilikua wa bei gani?? Enewei bei yangu inategemea unapata utamu kwa kuingizwa dildo aina gani, eiza ya mbao manual au ya umeme
 
hao unaotembea nao ndio saizi yako binti..wewe kiuno kidogo unataka pensi ya Pepe Kalle??

Eti wanakushawishi..nani akushawishi wewe wakati hufanani na thamani dollar??

Hapo huna kazi wala kujishughulisha na chochote umekaa kama katoinyo ndani unasubiri mwanaume afanikiwe..rubbish kabisa!!

Wanawake kama wewe ni mzigo sana..na mwanaume atakaekuoa wewe hana akili kabisa..!!na ninakuhakikishia jamaa uyo akitusua hawezi oa mwanamke mzigo kama wewe..empty set kabisa
hahaaa dahhhh

the list banaaa huwa haukwepeshi
 
Baba ni dereva wa gari (Familia)
Mama ni msoma ramani.
Baba anajua destination na speed
Mama anajua vikwazo na anamuongoza mume.

Kwa kifupi wanaofanikiwa walipata wake wanaowapenda na kuwajali.. Mke anajua what are your dreams..na anaweka every fibre of her being kukusaidia kufika. Mke anajua mafanikio ya mume ndio mafanikio yangu.
Mke anajua kujitengenezea kazi zitakazo-complement ndoto za familia. Hakuna Mimi/Yeye kuna sisi tu katika maono yao.

Kaka mmekutana kwa kupendana haswa sioni kwann uwe na wazo hata kidogo la kuwa na mashaka na maisha yenu ya baadae..

Maana upendo sio kupata.. Ukimpenda MTU na ukagundua we we ni chanzo cha maumivu /anguko lake..unamuacha aende. Ikiwa mtaachana huko mbeleni basi imetokea ila haimaanishi upendo haukuwepo.

Nb. Akina mama walipaswa kuwa managers wa waume wao. No wonder Leo familia haziko functional.. Zimevunjika kimfumo. Kila mtu anafanya yake halafu tunategemea unity.. Mafanikio yenu yapo mikononi mwenu. Komaa.
mkuu heshima kubwa kwako nimekuelewa sana
 
Hahahaha dah jf inawatu wa tata sana,,,nzuri hiyo ifike mbali

Aiseee
kwahiyo umeshamdukua faster duuhh Jf hapana aiseee..
Nimetoa ushauri kwa upole na umakini nikijua nimefanya jambo la maana.

Hapo hapo wazo likanijia nikasema ngoja niangalie hekima ya huyu mleta mada, nikashangaa nimenyweshwa chai bila kutarajia
 
mtoa mada ya elekea upo kwenye mahusiano na huyo mtu wako pasipo kujua sababu kuu iliyopelekea kuwanae ni ipi !??

kama ungekuwa waijua basi usingethubutu kuona kuwa ukosefu wa Pesa kwake nitatizo ..

upo kwenye fikra za wale wnaoamini kuwa mapenzi mwenzake ni Pesa ..so kwa mtazamo wako huo ulionao kama huto cahnge nakama jamaa ataendelwa hivyo hvyo bila ya kuwa na kitu basi
nawapa miezi sita tu mtakuwa mmesha bwagana
 
Back
Top Bottom