Tunaodate na wanaume ambao hawajatusua bado

Tunaodate na wanaume ambao hawajatusua bado

Asikuongopee mtu hakuna formula mahususi kwenye hilo. Hii ni pata potea (probability). Kuja kuwa mke na mume kuna factors nyingi sana na nyingine ni confounders kama vile pesa, dini, elimu, uzuri, ukaribu na umbali, kabila, tabia, elimu, aina ya kazi, ushawishi wa wazazi, umbile, afya, mihemko, ulaghai, ushawishi, lazima za wazazi na ndugu, usafi, mapishi, ujuzi wa kitandani, ahadi kabambe, familia ya mtu, bahati, nyota, nk. Vyote hivi vinaweza kuleta mageuzi kwenye mapenzi wakati wowote. Atakayekuwa mume wako ni yule atakayeonyesha juhudi na maendeleo ya wazi na haraka ya kuelekea kwenye kufunga ndoa na wewe yaani kujitambulisha, kuvalishana pete, kutoa mahari, vikao, tarehe ya matukio na kuoana. Siku zote ni lazima uone progress ikipigwa kuelekea kufunga ndoa sio maneno maneno tu ya kila siku.
Point.
 
Mapenzi ya dhati yapo moyoni na wala sio kwenye pesa.

Naomba ubaki na huo msimamo wako, hakika hutojutia hapo baadae..

==================
UPDATES

Nimeamua kufukua makaburi yako nimekuta hii mada Sitongozwi, nini tatizo?

Kwa nini usiwe mkweli?


We jamaa ni unaweza una undugu na Carl's Peter mpekuzi

Imenyakwaaa
 
jamani naombe mtupe moyo na maneno ya faraja ili kuvumilia changamoto kwa sisi ambao tunadate na wanaume ambao hawajatusua bado.

wa kwangu nimemaliza nae chuo,wote tunasaka ajira na pia tunaangalia na upande wa pili.

kuna wakati kama mwanamke unapata vishawishi kutoka kwa wanaume wenye pesa zao lakini unapiga moyo konde tu na kusali mana ukimwangalia mwenzako ndo hivo unampenda na kanafsi kanakusuta flani ukiwaza kufanya hivo.

wakati mwingine unakaa na kuwaza mh isije kua nakosa bahati

pia unaweza skia shuhuda za wanaume kibao walokuja kuwatenda wanawake zao baada kupata vijifedha kidogo.

nb: simanishi kwamba ni tegemezi no ila unakuta wote mmechalala maskini ya Mungu hakuna hata wa kumpiga tafu mwenzie

pia kwa mwenye shuhuda aweke hapa, ambae alimvumilia mwanaume wake since hana kitu na wakaend up pamoja as mke na mume hadi leo
tulia,anza nae chini,usipagawe na vitu vidogo vidogo.hao wenye hela watakutumia then wataku dump badae,kila kitu kikubwa kilianza kikiwa kidogo.
 
Ukweli utakuweka huru pia niliona post yako ya juzi hatongozwi haijaniingia akilini
 

Attachments

  • Screenshot_2018-01-17-17-40-24.jpg
    Screenshot_2018-01-17-17-40-24.jpg
    45.3 KB · Views: 49
Back
Top Bottom