Tunaodate na wanaume ambao hawajatusua bado

jamani naombe mtupe moyo na maneno ya faraja ili kuvumilia changamoto kwa sisi ambao tunadate na wanaume ambao hawajatusua bado.

wa kwangu nimemaliza nae chuo,wote tunasaka ajira na pia tunaangalia na upande wa pili.

kuna wakati kama mwanamke unapata vishawishi kutoka kwa wanaume wenye pesa zao lakini unapiga moyo konde tu na kusali mana ukimwangalia mwenzako ndo hivo unampenda na kanafsi kanakusuta flani ukiwaza kufanya hivo.

wakati mwingine unakaa na kuwaza mh isije kua nakosa bahati

pia unaweza skia shuhuda za wanaume kibao walokuja kuwatenda wanawake zao baada kupata vijifedha kidogo.

nb: simanishi kwamba ni tegemezi no ila unakuta wote mmechalala maskini ya Mungu hakuna hata wa kumpiga tafu mwenzie

pia kwa mwenye shuhuda aweke hapa, ambae alimvumilia mwanaume wake since hana kitu na wakaend up pamoja as mke na mume hadi leo
Tabia halisi zitaonekana siku mkizipata. Hapo ndio kila mmoja atajagundua kuwa mmepoteza bahati ngapi kabla ya huo m-vita.
 
Though wanatakiwa wanawake but let advice you in this way kila chanye advantage kina disadvantage Kuwa tayari na matokeo yoyote usihofu kwa yajayo
Hapa ndo umemaliza kila kitu mkuu, lolote linaweza tokea so kuwa tayari tu
 
Ila uache kufukua! Unaziba ridhiki za watu
Ridhiki ipo tu ukiwa mkweli utaipata na ya halali kabisa.

Kikubwa hata kama ukitaka kutunywesha chai ni vyema ukakumbuka zamani ulitunywesha supu ili tusije tukahoji sana
 
Mapenzi ya dhati yapo moyoni na wala sio kwenye pesa.

Naomba ubaki na huo msimamo wako, hakika hutojutia hapo baadae..

==================
UPDATES

Nimeamua kufukua makaburi yako nimekuta hii mada Sitongozwi, nini tatizo?

Kwa nini usiwe mkweli?
we! kuwa mvumilivu wakati mwingine basi ukiendelea hivi utamwaribia
 
jamani naombe mtupe moyo na maneno ya faraja ili kuvumilia changamoto kwa sisi ambao tunadate na wanaume ambao hawajatusua bado.

wa kwangu nimemaliza nae chuo,wote tunasaka ajira na pia tunaangalia na upande wa pili.

kuna wakati kama mwanamke unapata vishawishi kutoka kwa wanaume wenye pesa zao lakini unapiga moyo konde tu na kusali mana ukimwangalia mwenzako ndo hivo unampenda na kanafsi kanakusuta flani ukiwaza kufanya hivo.

wakati mwingine unakaa na kuwaza mh isije kua nakosa bahati

pia unaweza skia shuhuda za wanaume kibao walokuja kuwatenda wanawake zao baada kupata vijifedha kidogo.

nb: simanishi kwamba ni tegemezi no ila unakuta wote mmechalala maskini ya Mungu hakuna hata wa kumpiga tafu mwenzie

pia kwa mwenye shuhuda aweke hapa, ambae alimvumilia mwanaume wake since hana kitu na wakaend up pamoja as mke na mume hadi leo
Pesa za kuvisia utaambulia kuwa single mom..! Tumia kichwa kusaka pesa acha tamaa mpuuzi wewe..!
 
U ham ya kuwa singlo maza?
I love singo madha ni watamu balaa.
 
eti kwenye ule uzi wake wa hatongozwi anasema hataki mwanaume wa mtandaoni, wakati yeye mwenyewe wa mtandaoni,
pumbavu kabisa
 
Nilidate na mwanaume asiye na pesa wala kazi 3 years alivyopata ikawa mwiba kwangu miezi6 tu mahusiano yakavunjika sitarudia tena hilo kosa kamwe.
OK,kwa hiyo Sasa Hivi Bei yako Shilingi ngapi?,Nitakupa Laki 5 nakuhitaji Kwa Usiku Mmoja Unipe. Utamu,vipi Uko tayari?
 
Ridhiki ipo tu ukiwa mkweli utaipata na ya halali kabisa.

Kikubwa hata kama ukitaka kutunywesha chai ni vyema ukakumbuka zamani ulitunywesha supu ili tusije tukahoji sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] supu eeh! Haya bhana
 
Back
Top Bottom