Tunaodate na wanaume ambao hawajatusua bado

Tunaodate na wanaume ambao hawajatusua bado

Kuna kipindi Michelle Obama, wakati huo Michelle Robinson, alikuwa ana date na Barack Obama.

Wakati huo Obama majalala kichizi. Obama kaja kumchukua Michelle waende date, Michelle kupanda gari la Obama akaona gari limechoka mpaka lina tobo chini ukiangalia unaiona barabara.

Lakini hakumtosa, kwa sababu aliona huyu jamaa ana akili, ana ambition, ni decent, ana mapenzi na ana bonge la future.

Unaweza ku date mtu mwenye hela sana leo lakini hana mipango na anaelekea kufilisika, na pia unaweza ku date mtu ambaye hana hela leo lakinibana akili na mipango mizuri ya maisha.

Michelle Obama alielewa hili.

Akakomaa na Barack ingawa Barack alikuwa hana kitu.

Mpaka wamefunga ndoa na wamepata watoto wawili, wamekaa White House miaka 8.

Kwa hiyo na wewe ukimpata mtu wako ana vigezo vyote unavyotaka, au unaona mnaweza kuvifikia pamoja, mshikilie mpaka mtafika pamoja.
Nakuunga mkono kbs, mwanaume akiwa na akili ya maisha basi ujue hela zitakuja tu kwsbb wengi ni wachacharikaji.
 
Nilidate na mwanaume asiye na pesa wala kazi 3 years alivyopata ikawa mwiba kwangu miezi6 tu mahusiano yakavunjika sitarudia tena hilo kosa kamwe.
Hio ndio shida yao, kusema ukweli mm mwanaume wa kuanza zero kbs hapana. Bora hata km tunavumiliana nae ana chochote walau kipato kidogo. Ukimpata asie nacho kbs siku akipata lazima afanye ulimbukeni wote
 
jamani naombe mtupe moyo na maneno ya faraja ili kuvumilia changamoto kwa sisi ambao tunadate na wanaume ambao hawajatusua bado.

wa kwangu nimemaliza nae chuo,wote tunasaka ajira na pia tunaangalia na upande wa pili.

kuna wakati kama mwanamke unapata vishawishi kutoka kwa wanaume wenye pesa zao lakini unapiga moyo konde tu na kusali mana ukimwangalia mwenzako ndo hivo unampenda na kanafsi kanakusuta flani ukiwaza kufanya hivo.

wakati mwingine unakaa na kuwaza mh isije kua nakosa bahati

pia unaweza skia shuhuda za wanaume kibao walokuja kuwatenda wanawake zao baada kupata vijifedha kidogo.

nb: simanishi kwamba ni tegemezi no ila unakuta wote mmechalala maskini ya Mungu hakuna hata wa kumpiga tafu mwenzie

pia kwa mwenye shuhuda aweke hapa, ambae alimvumilia mwanaume wake since hana kitu na wakaend up pamoja as mke na mume hadi leo
hao ndo wazuri coz mnaanza kutafuta wote, mi napenda mwanaume tuanze wote kutafuta maisha from grassroot sio mwanaume ukute anakila kitu japo ni vizuri but kutafuta wote ni vizuri zaidi
 
Nyie hamna lolote nyie mnataka kuserereka tuu hamtaki kuwa party ya mafanikio na ndo maana mnatumika tuu ...kila siku na kuachwa
 
hao ndo wazuri coz mnaanza kutafuta wote, mi napenda mwanaume tuanze wote kutafuta maisha from grassroot sio mwanaume ukute anakila kitu japo ni vizuri but kutafuta wote ni vizuri zaidi
Safi sana we Dada una akili ...na utafanikiwa tuu ...trust me
 
Haha watu wanafukua tu makaburi. ...Dada hongera huenda huyo ndio atakuoa
 
jamani naombe mtupe moyo na maneno ya faraja ili kuvumilia changamoto kwa sisi ambao tunadate na wanaume ambao hawajatusua bado.

wa kwangu nimemaliza nae chuo,wote tunasaka ajira na pia tunaangalia na upande wa pili.

kuna wakati kama mwanamke unapata vishawishi kutoka kwa wanaume wenye pesa zao lakini unapiga moyo konde tu na kusali mana ukimwangalia mwenzako ndo hivo unampenda na kanafsi kanakusuta flani ukiwaza kufanya hivo.

wakati mwingine unakaa na kuwaza mh isije kua nakosa bahati

pia unaweza skia shuhuda za wanaume kibao walokuja kuwatenda wanawake zao baada kupata vijifedha kidogo.

nb: simanishi kwamba ni tegemezi no ila unakuta wote mmechalala maskini ya Mungu hakuna hata wa kumpiga tafu mwenzie

pia kwa mwenye shuhuda aweke hapa, ambae alimvumilia mwanaume wake since hana kitu na wakaend up pamoja as mke na mume hadi leo
mimi hapa
 
Wengi wao wakipata pesa ndo sasa huchagua chaguo lao jipange na usali sana asibadilike
 
Kama unampenda umasikini siyo kigezo cha kumsaliti. Inaonekana we umeanza kuona.kama vile unajipotezea bahati. Na huo ndo mtihani unaowashinda walio wengi. Wenye pesa wanakutamani na huyu wako anakupenda. Mbona yeye hana pesa na anaishi? Kwani mwanamke kuchalala ndio kisa cha kufikiri kuwa na mwanaume? Kuna kazi nyingi unazoweza fanya na kupata kipato. Ondoa dhana ya kwamba pesa lazima itoke kwa mwanaume.
 
Haaaaa kama kawaida wadada na michezo yao ya kuabudu pesa
Ndo namshangaa maana maana bata huyo jamaa anayemsubiria atoke anaweza kutoka sawa. Ila maisha wakati mwingine hayana guarantee, yana kupanda na kushuka. Inaonyesha kama yakienda kombo huko mbeleni anaweza kuchepuka huyu!
 
Nilidate na mwanaume asiye na pesa wala kazi 3 years alivyopata ikawa mwiba kwangu miezi6 tu mahusiano yakavunjika sitarudia tena hilo kosa kamwe.
Duh ndio nishakukosa! Huu umaskini unanikosesha mengi.
 
Back
Top Bottom