Tunaoanza NoFAP challenge leo tukutane hapa

kwaio unkwea mnazi ? au unakula tu bebiz
Yaani nachapa miguu yte miwili, kipindi naanzisha huu uzi nilikuwa mbali na mwanamke wangu, sahv karudi nikiona huu uzi napata maumivu tu. Plus mnazi hata niwe na mwanamke kila siku kuna siku tu lazima nashtua japo mara chache sana
 
Hii challenge wanaweza wakina mama tu sisi upande wa pili tunajidanganya tu kwa kubadilisha kikombe cha maji ya kunywa mkono wa pili
 
Dah hakika, shida yangu me ni majuto, yaan after sex naona yaan huu ujinga ndo ulikuwa unanipelekesha hivi?
 
Yaani nachapa miguu yte miwili, kipindi naanzisha huu uzi nilikuwa mbali na mwanamke wangu, sahv karudi nikiona huu uzi napata maumivu tu. Plus mnazi hata niwe na mwanamke kila siku kuna siku tu lazima nashtua japo mara chache sana
unazingua bruh😅😃mnazi wann na unamke
 
Back
Top Bottom